Hii tabia dada zetu mmeitoa wapi siku hizi?

Hii tabia dada zetu mmeitoa wapi siku hizi?

Huyo dada kicheche balaaa hapo anakupima kinafki ili usjue anafanya akiwa huko semina. Na ndio maaana anapewa seminar mara kwa mara......ukiona mkeo Anapewa sana semina ushtuke kijana

Mkuu Unaniliza Sasa Na Haswa Ukizingatia Nina Wivu Ndiyo Najisikia Vibaya Sana.
 
Hivi kumbe Dna inaona virus walioingia kwenye damu kwa wiki tu tangu waingie??? btw story yako nzuri sijui inatufundisha nn?

Sasa Mimi Nimewaombeni Nyie Msaada Na Wewe Badala Ya Kunisaidia Unaniuliza Tena Maswali. Mkuu NATESEKA Na Misindano Hii.
 
ajira kitu gani mbele ya mke wewe...

Kwahiyo Kwako Wewe Mke Ana Umuhimu Mkubwa Kushinda Kazi au Ajira Yako Hiyo Uliyonayo? Nikiacha Kazi Nitaishije Mkuu? au Unaniombea Mabaya Tu!
 
Kwahiyo Kwako Wewe Mke Ana Umuhimu Mkubwa Kushinda Kazi au Ajira Yako Hiyo Uliyonayo? Nikiacha Kazi Nitaishije Mkuu? au Unaniombea Mabaya Tu!

abiria chunga mzigo wako wewe...huoni mama kikwete aliacha kazi ya ualimu ili aambatane na mmewe!
 
abiria chunga mzigo wako wewe...huoni mama kikwete aliacha kazi ya ualimu ili aambatane na mmewe!

Kula Tano Mkuu Hapa Hoja Yako Sasa Naona Kabisa Ina Mashiko Na Itabidi Nilifanyie Kazi Hili Jambo. Akhsante Kwa Maarifa Yako Mkuu.
 
Teh! Teh! Teh! Lakini si mnapima wote vumilia mwili hauwezi jeuka kua chujio
 
mcshangae jman. Inatokana na kuathirika saikolojia eidha ulimtenda hadharan (kukufumania), anafaham ukoo wenu kiundan kw tabia y kusex ovyo, au unatabia y kujcfia mbele yake au kw rafk zake kuwa unagonga wanawake weng kw cku n.k hyo ndyo inayopelekea awe hvyo. By mtizamo.
 
Akiwa na safari za mikoa ya karibu kama tanga ,zanzibar,morogoro,moshi ,arusha,pwani na lindi na mtwara nawe unaomba mapumziko ya ugonjwa walau cku 2 unamuibukia kwa kumshtukizia kama kuna mchezo unaendelea utajua, mazingira yatakupa ufunuo wa mchezo mzima
NB
Usitoe taarifa kwamba unaenda ,na hakikisha unamuibukia apo hoteli night kuanzia saa4 usiku, kumbuka kuwa unadata zote za alipofikia nk
Cha msingi kuliko vyote usiwe na presha (BP)
 
hahahaha kisa ni nini alishawahi kukufumania!?


Ila safi sana mambo ya mwanamke anajichunga mume ndio anamletea miwaya hataaaa mkeo anaakili saaana
 
Sasa si ungesema hii tabia ya mkeo na sio dada zetu labda kama michepuko nayo inakupima
 
Pole sana mkuu, we endelea tu kuchoma hizo sindano, huku mwenzio analiwa, angalia usije kuwa kama chujio la nazi
 
na yeye anakubali kupima au anakupima mwenyewe tu? Ukiona mtu akimshuku saaana mwenzake kuwa ni mwizi ujue na yeye ana element za wizi.

kweli mtupu na yeye huwa anapimwa huko aendako
 
kama unarudi na kusafiri tena kabla ya siku 90 inakuaje? vvu vinaonekana baada ya naite dais
 
Ukibadilisha hili jina hatakutoboa tena,anadhani
kwa kuwa wewe ni dawa ya sindano anajihami kwa kukuwahi wewe
usije ukamdhuru.
 
Back
Top Bottom