Recent content by Dreamcheaser

  1. Dreamcheaser

    Mrejesho: Nitamtokeaje huyu msichana?

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  2. Dreamcheaser

    Asante kwa ushauri wenu, niko single tena

    sure we don't have voices especially when our hearts start lovi some 1 but kuwa single n kpnd cha mpito tu ipo cku utarud kundini japo being single is really enjoyable
  3. Dreamcheaser

    Mpangaji aliyehamia anaanika chupi zake nje ananitesa

    atajikojolea kabsa[emoji13] [emoji13] [emoji13]
  4. Dreamcheaser

    Kwanini funguo za gari zipo mkononi muda wote?

    kwani ni lazima kuweka simu na funguo mfujo mmoja
  5. Dreamcheaser

    Free at last hatimaye naishi maisha niliyokuwa nayatamani

    Kama heading ilivyo hapo juu kwa muda mrefu nilikuwa na uhusiano binti flani kiukweli alinipenda sana (nisiwe mnafiki kwa hili ) sababu hakuwa na tabia za wanawake wa cku hizi kama kuomba hela na mengine tatizo lake kubwa anataka aolewe na me wakati me sina hata mfano wa wazo la kuoa sababu im...
  6. Dreamcheaser

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    dhambi nyingine jaman n ngumu kusamehewa #MheshimiwaNapewewebadonibora
  7. Dreamcheaser

    Najuta kwakweli najuta, nimegundua ana ugonjwa wa Ini

    alikwambia ana ukimwi bado ukawa kupe basi subiri upate na huo ugonjwa maana ya kukwambia ana ukimwi hakutaka upatwe na chochote kibaya sababu yeye anajijua afya yake
  8. Dreamcheaser

    Naomba kujua kuhusu déjà vu

    me mwenyewe huwa inanitokea mara nyingi sana naweza kuwa nafanya kitu flani siku nyingne sehemu nyingne ila ikafanana na tukio la nyuma location ile ile na tukio lile lile hadi natabiri tukio litakavyoisha na kweli inakuwa exactly the same sasa sijui hii ni nini nimeshawah kufikiria mara nyingi...
  9. Dreamcheaser

    Kwa wale mliosoma kithungu

    Emmanuel is the name of Paulina's father
  10. Dreamcheaser

    Kuna mtu nimemzimikia

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] tii kiu yako
  11. Dreamcheaser

    Nimepoteza matumaini

    asante sana mkuu kwa ushauri wako ubarikiwe
  12. Dreamcheaser

    Nimepoteza matumaini

    una maana gan mkuu au mimi ndiyo sijui lugha
  13. Dreamcheaser

    Nimepoteza matumaini

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza nilikosa mkopo ila wazazi wakafanikiwa kunilipia ada ya semister moja amabayo imeisha mwezi huu wa tatu tatizo sasa ni ada ya semister ijayo maana mzazi niliyekuwa namtegemea aliugua toka december mwaka jana shughuli zake zote zimesimama kwa sasa sina...
Back
Top Bottom