Mrejesho: Nitamtokeaje huyu msichana?

Mrejesho: Nitamtokeaje huyu msichana?

Habari zenu wadau wa MMU, jana nilileta mada ya kutaka ushauri jinsi ya kumtokea mtoto mmoja hivi aliekuwa anauumiza mtima wangu baada ya kusoma ushauri wa wachangiaji waliotoa mawazo yao sasa huu ndio mrejesho niliowaahidi kuuleta baada ya kukamilisha zoezi.
Baada ya kusoma maoni mbalimbali ya wadau nikachukua uamuzi wa kumuandikia kimemo ambacho nimeambatanisha na namba yangu ya simu. Mwanaume baada kumaliza shughuli zangu za kila siku nikashika njia kurejea home huku nikiwa na Kimemo changu mfukoni nikafika maeneo ya yule bint anapoishi daah bahati mbayanikakuta shazi nje kwaona yeye akiwepo watu km wanne hv akiwemo dada yake pamoja na mzee mmoja wa makamo basi ikabidi nipitilize nikaishia kutoa salamu tu, moyo ukaniuma sana nikasema haiwezekani hata njia hii inishinde km vipi subiri nikajilipue km mbwai mbwai tu.....nikaenda kwanza mpaka home nikachange Nguo nikasema subiri nirudi hata km akiwa na ndugu zake ntamuita pembeni nimkabidhi alaf nisepe....nikaanza safari ya mafanikio moyo wa uwoga nikauto nikafika eneo la tukio Mungu si athuman nikakuta shazi limepunguaa akawa amebaki yeye na bint mmoja mdogo nadhani ni mtoto wa dada yake mwanaume kufika pale nikamsalimu nikamwambia dada samahani nina ujumbe wako, bint akashtuka mimi? nikamwambia ndio huku natoa kimemo changu mfukoni nikamkabidhiakapokea kidume huyo sikutaka hata kusubiri nikasepa huku nikiwa najiona nimetua bonge la mzigo kichwani kweli mapenzi balaa.........
Sasa basi wadau kufika mida flani hivi naiti napiga story na wanafamilia wangu home mara sms inaingia kuangalianamba ngeni....
Mambo...
nikajibu Poa....
ujumbe wako nimeupata...nikamwambia fresh hii ndio namba yako?.......kanijibu ndio...basi baada ya hapo story nyingine ziliendelea kidogo tukaagana.
Kwa hiyo mazee mdau wenu sijawaangusha nimetekeleza jambo mtoto sasa yupo kiganjani hapa sasa mimi tu kama samaki ndo nshamvua chaguo langu nimkaange, nimbanike, nimuunge supu au mchuzi wa chukuchuku.
AHSANTENI SAAAAAAAAAAAAAAANAAAAAAAAAA
[/QUOT
Wasiwas wangu mkuu asijekuwa member wa JF akajua karata nzima mkuu! Anyway kila la kheri mkuu! Safar moja huanzisha nyingine!
 
Mkuu hizo jitihada ukizihamishia kwenye kutafuta pesaaa!!! Utakua Dangote soon
 
chagua mwenyewe hapa unataka umtokeaje kijini au kichawi? nikuunganishe fasta mkuu
 
Mtumie sasa pesa kwa njia ya mtandao wake(tigo, voda, airtel, nk) tuma laki moja uone maajabu
 
Usijali mkuu zidi kuomba mungu mana muda mwingine mapenzi huwa sawa na kutia mkono kizani mana unaweza jua umekula kumbe umeliwa.
hilo nalo neno maana unaweza kudhani umepata kumbe umepatikana
 
Mkuu hizo jitihada ukizihamishia kwenye kutafuta pesaaa!!! Utakua Dangote soon
Paprika yaani mindio niko hivyo hata kwenye maisha mengine ya utafutaji hua sipendi kitu kinisumbue akili yangu hua naona km nimebebamzigo kichwani ambao unanifanya nishindwe kufanya jambo jingine lolote ndio maana napendaga nimalizage fwasta
 
Paprika yaani mindio niko hivyo hata kwenye maisha mengine ya utafutaji hua sipendi kitu kinisumbue akili yangu hua naona km nimebebamzigo kichwani ambao unanifanya nishindwe kufanya jambo jingine lolote ndio maana napendaga nimalizage fwasta
Hongera mkuu... Endelea hivyo hivyo
 
Inasikitisha sana...

Omba jamvi mapema kabla wenzio hawajawahi...


Cc: mahondaw

Yeah.. nakumbuka mzee wangu those days nimepata job alikua akiniasa sana na baadhi ya misemo mmoja ukiwa TOO LATE LEFT ME BEHIND ndo nilihusianisha na comment yako Smart911 love naona walau ka picha

NB: Enyi wavulana wa jf nawashauri tu muwe mnawasilisna na STUNTER kwa mambo kama hayo
kila siku anawapa mbinu na maujanja ya chamani huko Kiumeni mnamuangushaa

cc Smart911u
 
Jana wakati naomba ushauri ndio nilikua natafakari na nilisha andaa barua so baada kupata maoni ya wadaundio nikaandaa kimemo jioni nikampatia
Barua zama hizi za dijitali mkuu?,au mko nanjilinji?
 
Back
Top Bottom