Dreamcheaser
Member
- Feb 28, 2017
- 15
- 20
Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza nilikosa mkopo ila wazazi wakafanikiwa kunilipia ada ya semister moja amabayo imeisha mwezi huu wa tatu tatizo sasa ni ada ya semister ijayo maana mzazi niliyekuwa namtegemea aliugua toka december mwaka jana shughuli zake zote zimesimama kwa sasa sina tegemeo lolote.Nakaribisha maoni na ushauri.