Recent content by Drat

  1. Drat

    JamiiForums Tanzania IFM ingefaa ibadilishwe jina na kuitwa WICKNELL CHIVAYO INSTITUTE

    Pesa zake zina walakini, shutuma za kuingilia chaguzi mbalimbali, skendo za silaha...n.k Wala sio jambo la weusi, na kuna uwezekano wanasiasa wameamua asonge mbele katumika nakujua mengi asije akawaponza
  2. Drat

    JamiiForums Tanzania Nani ni adui wa taifa: CCM au Katiba mbovu au mfumo wa udhibiti (power hegemony)

    Mambo? Wewe ni mwanamke? Una umri gani? Kuna vitu unaandika vinanipakitu kikubwa sana.
  3. Drat

    JamiiForums Tanzania MISEMO YA WIKI

    Umetisha na kufundisha, lakini watu hawajatokea ku comment. Lakini ungeandika story ya "nilivyomfanya mtoto wa mbezi akojoe nana kushindwa kulitaja jina langu. Wangejaa sana. Jamii yetu ina tatizo.
  4. Drat

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Juisi ya bamia inaimarisha na kuongeza mbegu za kiume?

    Inategemea na ugonjwa mkuu? Kuna watu wana upungufu wa madini ya vitamin A, C, and K, plus fiber, magnesium, and antioxidants, lakini itumike kwa kiasi, sababu ina kitu kinaitwa gossypol ambacho kinaweza kusababisha mbegu za kiume zisiogelee vizuri na kukwamisha usababishaji wa mimba. Tatizo...
  5. Drat

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje baada ya kwenda kumuona mtoto wako wa nje?

    Hawa ndio huwa wanasababisha bodaboda wanatandika mali zao, sababu mkewe anakuwa anajua huyu ataenda kuichapa, na yeye(mkewe) anawaza jamaa huwa anamsumbua kasema atamtoa out akale biambili na kuku wa kienyeji kisha baada ya majamboz atampa 35.Mke anaenda kutoa hasira. Kuna jamaa mkewe...
  6. Drat

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje baada ya kwenda kumuona mtoto wako wa nje?

    Kaeleweka anamaanisha nje ya ndoa, ofcourse sio fair, vipi mfano mkeo akikuletea mtoto ndani ya ndoa, utampokea huyo "mtoto wa ndani". Yani mkeo akipigwa miti in Dudubaya voice, utavumilia? Jamaa hajamaliza kitu, je mkewe hofu yake ilikuwa sawa, jamaa aliichapa huko Tanga?Angetoa stori kamili
  7. Drat

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa aina hii, najitolea misumari kwenye ujenzi wa sanamu zenu…

    Mbona haujaweka hii ya siku hizi, nyumba kadhaa nimekaa hapa town, naskia mdada ananyegeka kama anatusimulia, utaskia, Ananif*rah. Nadhani hapo anakuwa jamaa anajitaja jina na kumuuliza, kama vile Muddy anakufanyaje, halafu anaitikia ananifir* Mwingine aaliniambia alibakwa, lakini kwenye audio...
  8. Drat

    JamiiForums Tanzania Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

    Utajiri ni concept ngumu kuiongelea, sasa ukiweka na kabila kuwa tajiri hususan kwa nchi kama hii inakuwa ngumu zaidi. Tukienda na concept ya kabila, tukianza hata na idadi ya watu na rasilimali nadhani wajomba zangu Wasukuma watakuwa mbali. Maendeleo ya mikoa yanachagizwa na vitu vingi, lakini...
  9. Drat

    JamiiForums Tanzania Kwanini “kataa ndoa” wengi ni vijana wa kikristo?

    Tutakuwa tunaharibu uzi. Anyway niliku challenge kuhusu mafundisho ya ndoa uliposema katika ukristo hayapo, Nikaonyesha yapo. Kupinda kwa wanadamu ni kwa nia zao. :cool:Unachangaya mambo, na sidhani kama unaweza kuelewa kwa sababu umeshafaanya maamuzi ya KUPINGA WAKATI WOTE. Kanisa...
  10. Drat

    JamiiForums Tanzania Kwanini “kataa ndoa” wengi ni vijana wa kikristo?

    Hii umeitoa wapi mkuu kuwa katika ukristo hakuna mafundisho ya ndoa? Catholics mafundisho ya ndoa yanachukua miezi sita mpaka mwaka. Lutherans inachukua miezi miwili mpaka sita, Moravian miezi mitatu mpaka sita. Au ndio ile huwa wasio wakristo wanauliza imeandikwa wapi katika biblia? Na hili...
  11. Drat

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sikumuomba Samia nirudi nchini, Yeye ndiye aliyenitafuta wakati huo Mbowe yuko Gerezani

    Hapa kijana unatumia HISIA ZAIDI, tulia hivyo hivyo furahia maisha ila ujue HAYO UNAYOYAFURAHIA KUNA WATU WAMEYAPIGANIA, story zipo hata siku mkoloni anaondoka sio weusi wote walifurahi, kuna watu walisikitika na kumwaga machozi. Kipindi Mkwawa anakinukisha kuna watu alilalamika kuwa anawaletea...
  12. Drat

    JamiiForums Tanzania Lissu kuachiwa Agosti 21?

    Watamuachia tu, wanaona aibu :cool:. Halafu wanawaza akitoka ataanza kupeleka tena moto. Ukumbukea zama zile wanaume wote tuliponywea kama nyumba ndogo. Huyu ndio mwanaume pekee aliitamka neno "Dikteta uchwara":cool: Jamaa ana wito wa kipekee huyu
  13. Drat

    JamiiForums Tanzania Lissu kuachiwa Agosti 21?

    Na kama hana hatia hana kosa? Unashauri kifanyike nini Mwanasheria?
  14. Drat

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi nijuzeni hili kwa mwenye kujua

    Family: They belong to the beetle family Lampyridae, not true flies. Bioluminescence: Their light is made by a chemical reaction combining oxygen, calcium, ATP, and an enzyme called luciferase.
  15. Drat

    JamiiForums Tanzania Yanga kumsajili selemani mwalimu nani alaumiwe?

    Biashara mbovu hiyo Yanga tutasema kapata kama jamaa atasaidia timu,ila waliopata zaidi ni Wydad. Hela yote hiyo kwa mkopo. Simba tuliona ikizidi sana watawapa Wydad 50,000 usd. Yanga wametoa 200,000 usd tena kwa mkopo wa mwaka mmoja. Kocha hakuwa anamtumia sana, ha fit mipango yake na aina ya...
Back
Top Bottom