Maisha ya shule za dini kiislamu

Maisha ya shule za dini kiislamu

MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA

Nimehoji watu kumi wa kata moja sitoitaja huko Morogoro na kugundua wengi hawana maji safi na salama, na matumizi ya vyoo yako chini sana, kaya hazina vyoo watu hao wamesema huwa wanajisaidia vichakani.
Najiuliza hivi watanzania nini kinawasibu mpaka mnakunya vichakani?

Mkuu watu kumi katika kata wanatosha kuwakilisha TANZANIA kama hapana basi WANAFUNZI # hawatoshi kukupa uhalisia wa shule za dini za kiislamu.

Pia katika shule za kawaida kuna tabu kuliko hii. Ungeongea tu kiujumla namna gani mambo yaboreshwe.

Halafu ulikuwa unatafuta nini na hao wanafunzi hasa, mlianzaje anzaje? Walikuwa wa jinsia gani? Sijui kwanini napata hisia hasi😎
 
Back
Top Bottom