Kwenye prospectus ya vyuo vingi vinasema ili ufanye UE unatakiwa uwe na course work ya 16/40 na ufaulu kwa ujumla ni 40/100. UE ili iwe 40%, unatakiwa upate 24/60. Ikiwa UE ipo chini ya 24 na mwanafunzi amefaulu kwa jumla juu ya 40%, watamuwekea supp sababu ya UE au atakuwa amefaulu?
Ninatatizo la kukojoa mara kwa mara ninapokunywa maji mengi kuanzia lita 1.5 na kuendelea kwa muda mrefu. Ila nikishiba na kushindilia maji inakuwa kawaida sana. Kinachonikera ile kwenda chooni mara kwa mara kwa dakika chache.
Nahitaji maji ninayokunywa yakae mwilini. Ni tatizo la muda mrefu...
Dr. Ndalichako tunaomba uje kuangalia uozo wa NIT kuanzia mfumo wa ratiba na mambo mengineyo.
Mimi nitagusia kwenye suala la mikopo ndiyo inaathiri zaidi wanafunzi wengi wa NIT haswa mwaka wa kwanza. Sasa hivi tupo field chuo kinafunguliwa mwezi wa saba kwa semister ya pili. Wametusaini pesa...
Hiki chuo ni jibu. Wanatabia ya kuchelewesha mkopo na hata mkisaini wanatabia ya kuchelewesha kuingiza pesa hadi wiki mbili nakuendelea tofauti na vyuo vingine. Mamlaka husika inabidi washughulikie hii kero. Kuna michezo michafu nahisi inafanyika. Inawezekana pesa wanawekeza kwenye fixed account...
Mkuu nimechagua kozi hii kwa kujikuta kuipenda programming language. Kuna video niliiona youtube wakiipigia promo kuhusu kujifunza Computer Programming huko USA. Wenzetu wana misingi mizuri kuanzia ngazi ya chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.