Miezi 8 ya utawala, mbona hali haitengemai?

Miezi 8 ya utawala, mbona hali haitengemai?

mimi hapa nawaza kuacha kazi leo nimepokea barua ya bodi ya mikopo naanza kukatwa mwezi huu 8%,,ukiangalia ni kama 9k,,sijui imekokotolewaje wakati ada ilikua laki nane miaka mitatu,,,nikiangalia nina mkopo wa bank,,nina makato ya paye,,nina makato ya tuico,,,hapa kweli sioni tena mwanga mbele inabidi nistaafu tu kabla ya umri wa ppf,,,nisaidieni jaman,,,
 
Tumia akili kidogo uliyo nayo. Nimekuonyesha tarehe 10/11/2015 na hali ya leo 14/7/2016 ufanye tathimini. Wewe umeona hiyo moja tuu?

Hilo si jitu la Lumumba linaambiwa nini la kufikiri, kusema. Limeambiwa 2016 basi halina la kusoma post na kunyambulisha
 
Ukiongelea suala la stability ya pesa yetu stability tangu aingie JPM kuna kueleweka. Ungekuwa mtumiaji wa pesa za nje ungelijua hili na husingefananisha kipindi cha nyuma na sasa. Kwa taarifa yako angalia kwa mwaka wote 2014-15 July tu pesa ilikuwaje awali na ilafika wapi ndio utapata picha na kujua pesa inayodondoka inakuwaje. Ila kwa sasa shukuru mafanikio unayoyaona. Kuna hatua kubwa sana.
Bwana mkubwa, tunajaribu kufanya comparison ya utawala huu. Hali ilivyokuwa November na ilivyo leo. Kwa nini hakuna mabadiliko? Hizi sio lawama bali mjadala kuwa wapi panakosewa na kufanya anguko la shilingi liwe palepale wakati tunaambiwa juhudi ni kubwa katika kukusanya na kubana mianya ya upotevu?
 
Tunaambiwa makusanyo ni makubwa, mianya ya wizi imedhibitiwa ikiwa na utoroshaji wa fedha nje. Lakini mbona thamani ya fedha yetu haiboreki zaidi ya kudidimia ingawa sio kwa kasi lakini ni polepole.
Tarehe 10/11/2015
View attachment 366171
Leo hii tarehe 14/7/2016
View attachment 366173
Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro imesitisha huduma ya chakula cha bure kwa wagonjwa kutokana na UKATA .
 
Wao kazi yao kutumbua na kuacha mambo ya msingi ya kuboresha maisha ya wananchi.
 
Sijawahi kuamini juu ya utawala wa kiccm
Nayasongesha maisha mwenyewe
 
Nenda kasomee uchumi hata ABC kala haujaleta post hapa ya masuala ya ki uchumi ambao haujui hata vitu vinavyosababisha currency kupanda / kushuka,,,,,,, hivi umeongeza export na kupunguza import au?
 
Labda kukithiri kwa matumizi ya dola baadhi ya sehemu kama 'means of exchange' imechangia kwa kiasi fulani
 
Ukiacha ndio suluhisho? Wanakudai jumla ngapi? Kama ni zaidi ya kile ulichokopeshwa unaweza kwenda kupata ufafanuzi huko bodi ya mikopo.!
mimi hapa nawaza kuacha kazi leo nimepokea barua ya bodi ya mikopo naanza kukatwa mwezi huu 8%,,ukiangalia ni kama 9k,,sijui imekokotolewaje wakati ada ilikua laki nane miaka mitatu,,,nikiangalia nina mkopo wa bank,,nina makato ya paye,,nina makato ya tuico,,,hapa kweli sioni tena mwanga mbele inabidi nistaafu tu kabla ya umri wa ppf,,,nisaidieni jaman,,,
 
Mliambiwa vumilieni kidogo mambo mazuri yanakuja-sululu
Subira yavuta kheri na mvumilivu hula mbivu.....

Lakini vile Vile kuna msemo usemao ngoja ngoja huumiza matumbo......

Hiyo tafsiri yake ni kuwa hata uvumilivu nao una kiwango chake, usiwe tooooo much.......
 
Back
Top Bottom