At least one storey building. You can find one only at Bagamoyo old arab/german town or stone town in zanzibar. It is one of its kind hata mimi nisingemjengea nyingine hata ningekuwa bilionea. Kwasababu huyo mzee atakuwa alikuwa very proud na huo mjengo
Half an hour ago jamaa tuliyepoteana zaidi ya 10 yrs na kuonana wiki tatu zilizopita kanipigia simu eti kuna jamaa yake anataka kuoa hivyo tushirikiane ili kuongeza network.... Nimemshangaa sana kwani hata hiyo network na yeye haipo sasa sijui ndo anataka kuiactivate kwa style ya mchango kwa...
Salaam Mkuu! Mimi ni mzalishaji wa hayo mafuta hapa singida. Npe mchanganuo wako PM aina ya wateja wako, kiasi cha mafuta unachohitaji, bei ambayo wateja wako unawauzia kwa ujazo upi n.k. Tufanye biashara
Amewaitia nini kama sio huo unafiki na uzandiki. Jk mwenyewe anamkubali kwa hoja zake ndio maana kagwaya kusaini. Adui haumsifii ndugu, unajifanya kumponda ili kuwafurahisha mamburula wako wasijekujiona wajinga halafu unachukua hoja za adui na kusonga mbele huku mamburula wako wakishangilia...
Hivi ingekuwa kama huyu mleta mada alivyotafakari kwa muda mrefu hiviangefikiri kidogo tu na kujiuliza kwanini JK anasafiri kila siku kwenda majuu lakini hajawahi hata siku moja kuambatana na wajumbe wa mitaa wa CCM. Akili zingine bwana aaah!
Heri mnafiki kuliko anayesema fulani mnafiki au muongo bila kuthibitisha uongo huo au unafiki huo. Daima onyesha uongo wa muongo kwa kueleza ukweli wa jambo lenyewe. La sivyo wewe utakuwa mwongo zaidi na dhambi yako itakuwa kubwa zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.