"Peoples Power"

"Peoples Power"

huna jambo la maana kujadili wewe. kwanza hao akina Okwi@Boban@sunzu wote hawapo msimbazi siku hizi

Mkuu umejiona vile ulivyo na hoja za kitoto sana. Kweli kua uyaone, nashuhudia watu wakubwa lakini wana mawazo ya kitoto.
 
Slogan ya CDM ya peoples power, inanipa picha halisi ya hao "people" ni kina nani...maana nilijaribu kupata tafsiri yake mpaka hivi majuzi kuja kugundua kuwa...

"people" ndio hao viongozi wa chama wenyewe...

Maana:

Safari za majuu , wanakwenda wao na wake zao... hao "people" sijawaona....

Majumba ya kifahari wanajenga wao.... hao "peoples" hawaonekani katika hayo..

SO:

Movement nzima na dhana halisi ya M4C na kauli mbiu ya "peoples power" Kwa tafsiri nyingine peoples power ni "power for ourselves"

Ni kujinufaisha binafsi wao wenyewe, na si kwaajili ya ukombozi wa watanzania.....

Wakombozi pekee na ambao watabakia kua wakombozi wa watanzania ni CCM...
Na je tafsiri ya CCM INAWENYEWE? Maccm haki ya Mungu sijui kama mnaakili za wanadamu hai,nahisi mnaakili za Mai
 
Slogan ya CDM ya peoples power, inanipa picha halisi ya hao "people" ni kina nani...maana nilijaribu kupata tafsiri yake mpaka hivi majuzi kuja kugundua kuwa...

"people" ndio hao viongozi wa chama wenyewe...

Maana:

Safari za majuu , wanakwenda wao na wake zao... hao "people" sijawaona....

Majumba ya kifahari wanajenga wao.... hao "peoples" hawaonekani katika hayo..

SO:

Movement nzima na dhana halisi ya M4C na kauli mbiu ya "peoples power" Kwa tafsiri nyingine peoples power ni "power for ourselves"

Ni kujinufaisha binafsi wao wenyewe, na si kwaajili ya ukombozi wa watanzania.....

Wakombozi pekee na ambao watabakia kua wakombozi wa watanzania ni CCM...

Kwa hiyo ulitaka waende ulaya chama kizima na wakereketwa wote..duh... Kweli akili timamu ni adimu sana siku hizi
 
Wakati mwigulu nchemba akitumia pesa za wauza unga(wafadhiri wa ccm) eti kufungua matawi marekani na uk,imebainika kuwa matawi ya ccm tz mengi yamebakiza wafuta vumbi maofisini sababu wanachama wengi wamekihama chama hicho.ccm inawapumbaza wanaccm wao kwa kisingizio cha kufungua matawi kumbe ni kutokana na ziara za viongozi wa chadema ambazo zinazaa matunda kwa kupata wahisani wengi tu.
Chadema dr slaa yuko marekani akizungukia taasisi muhimu sana za kukitangaza chama na kuzidi kupata wahisani toka usa.mbowe alikuwa denmark moja ya wafadhiri wakubwa wa chama hcho.
Amani golungwa alikuwa uk kwa mualiko wa conservative amabao wamehaidi kukichangia chama hicho takribani pound 1.2million na wiliam hague amevutiwa na sera za chama hicho. Kuonesha chadema ikiingia madarakani tz itarudisha uhusiano wa makampuni kama landrover,massey fugurson na makampuni mengi ya ujenzi.
Ccm na mwigulu wao ni kuwapikia chapati na pilau wale watanzania wanaotegemea benefit kutoka uk ili wawepo kwenye vikao vyao.
Tuliiambia miccm mwaka 2011 kwamba pumziko la kamanda Lema litapambana kupigana vita vinavyo pumbaza akili za wanadamu,kazi ilifanyka barabara,ukomavu wa fikra kwa watanzania umeongezeka,Liberation is coming tommorrow.
 
Hivi ingekuwa kama huyu mleta mada alivyotafakari kwa muda mrefu hiviangefikiri kidogo tu na kujiuliza kwanini JK anasafiri kila siku kwenda majuu lakini hajawahi hata siku moja kuambatana na wajumbe wa mitaa wa CCM. Akili zingine bwana aaah!
 
mkuu, kwani wewe hawa jamaa hujawashrukia tu? hawa wanatuhadaa tu wananchi. hawawezi kututumia tu kama mipira ya uzazi.

Mnaiga tena?Tulianza kuitana jembe mkaiga,tukaanza kuitana makamanda mkaiga,tukawaita wafuasi maccm yanatumika kama condom leo mnatugeuzia sio? SASA NI HIVI,ACHENI KUCOPY NA KUPASTE KAMA BIG RESULTS MILLION YEARS TO COME IN CCM DREAMS.
 
Yale yale ya hoja dhaifu za kuzungumzia vitu ambavyo havina hata manufaa kwa taifa. Sasa hapa unataka kumaanisha nini mkuu? Au unataka kuaminisha uma kuwa safari za viongozi wetu wa CCM huwa wanatubeba na sisi wanachama wao? Sidhani kama kila mwanachama wa chama fulani basi na yeye natakiwa aende kila sehemu wanazosafiri viongozi wa chama. Jamani tuacheni ushabiki wa vyama na tuizungumzie nchi yetu Tanzania tutaikwamua vipi hapa ilipofikia.

Labda walisafiri na Bulembo kwenda Tanga sasa imekuwa issue. Shule za kata ziborezhwe jamani. Hii product yake ni disaster..
 
"ccm ina wenyewe"...means only few who own and befit the party, acha chadema watambe, ccm mna dhambi kubwa sana kwa watanzania

Slogan ya CDM ya peoples power, inanipa picha halisi ya hao "people" ni kina nani...maana nilijaribu kupata tafsiri yake mpaka hivi majuzi kuja kugundua kuwa...

"people" ndio hao viongozi wa chama wenyewe...

Maana:

Safari za majuu , wanakwenda wao na wake zao... hao "people" sijawaona....

Majumba ya kifahari wanajenga wao.... hao "peoples" hawaonekani katika hayo..

SO:

Movement nzima na dhana halisi ya M4C na kauli mbiu ya "peoples power" Kwa tafsiri nyingine peoples power ni "power for ourselves"

Ni kujinufaisha binafsi wao wenyewe, na si kwaajili ya ukombozi wa watanzania.....

Wakombozi pekee na ambao watabakia kua wakombozi wa watanzania ni CCM...
 
Slogan ya CDM ya peoples power, inanipa picha halisi ya hao "people" ni kina nani...maana nilijaribu kupata tafsiri yake mpaka hivi majuzi kuja kugundua kuwa...

"people" ndio hao viongozi wa chama wenyewe...

Maana:

Safari za majuu , wanakwenda wao na wake zao... hao "people" sijawaona....

Majumba ya kifahari wanajenga wao.... hao "peoples" hawaonekani katika hayo..

SO:

Movement nzima na dhana halisi ya M4C na kauli mbiu ya "peoples power" Kwa tafsiri nyingine peoples power ni "power for ourselves"

Ni kujinufaisha binafsi wao wenyewe, na si kwaajili ya ukombozi wa watanzania.....

Wakombozi pekee na ambao watabakia kua wakombozi wa watanzania ni CCM...

Poorest post ever!! Nadhani facebook kunakufaa zaidi!!
 
kumbe unaongeka kwa visafari? unakuwa kama lukosi shame on u
 
Mkuu umejiona vile ulivyo na hoja za kitoto sana. Kweli kua uyaone, nashuhudia watu wakubwa lakini wana mawazo ya kitoto.

mkuu hiyo kitu aliiona msigwa akasema profesa wa miccm anachangia kama darasa la pili sasa unafikiri kidato cha nne cha shule ya kata cha miccm atachangia nini
 
Huna uwezo wa kututoa kwenye kujadili mambo ya msingi. muokota makopo
Kula na vipofu kunahitaji taiming, mmpigwa changa la macho na mnaowaita wakombozi, wanajineemesha wenyewe mnabakia kutukana tu...nyie endeleeni kutukana wenzenu wanaingiza siku na matrip kila kukicha...
 
Poorest post ever!! Nadhani facebook kunakufaa zaidi!!
Join Date : 16th December 2012
Posts : 130
Rep Power : 369
Likes Received27
Likes Given122

mda mwingi unautumia kuangalia pono na fb..karibu JF
 
Slogan ya CDM ya peoples power, inanipa picha halisi ya hao "people" ni kina nani...maana nilijaribu kupata tafsiri yake mpaka hivi majuzi kuja kugundua kuwa...

"people" ndio hao viongozi wa chama wenyewe...

Maana:

Safari za majuu , wanakwenda wao na wake zao... hao "people" sijawaona....

Majumba ya kifahari wanajenga wao.... hao "peoples" hawaonekani katika hayo..

SO:

Movement nzima na dhana halisi ya M4C na kauli mbiu ya "peoples power" Kwa tafsiri nyingine peoples power ni "power for ourselves"

Ni kujinufaisha binafsi wao wenyewe, na si kwaajili ya ukombozi wa watanzania.....

Wakombozi pekee na ambao watabakia kua wakombozi wa watanzania ni CCM...

njoo kinyumenyume.! Labda karne 18
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhh,kweli hauna akili,kwahiyo unataka siku viongozi wa CHADEMA wakiwa ziarani nje ya nchi waende na raia wote? You must think like a grown man,siyo unakuwa na fikra fupi kama za kichanga,shame upon u
 
wewe kweli ni ng'ombe ulaya..unashindwa kuelewa japo post ndogo tu kama hii mistari kadhaa tu, sijui ulifaulu vp maradasa uliyosoma..ngoj anikueleweshe, post hii ilikua na lengo la kuuliza wana CDM kua mbona kasi ya maendeleo binafsi ya viongozi wao haiendani na ukuaji wa wananchi wanaowawakilisha?? nadhani umenielewa..haya sasa changia ukiwa umenielewa
 
Join Date : 16th December 2012
Posts : 130
Rep Power : 369
Likes Received27
Likes Given122

mda mwingi unautumia kuangalia pono na fb..karibu JF
Rudi shule,au nenda fb,usi dhalilishe JF kwa kupost utumbo wako humu
 
Back
Top Bottom