Recent content by dr mau

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kwa waliooa tu: Mke kutime simu na kuikagua

    nimeolewa
  2. D

    JamiiForums Tanzania Serikali iwamulike hawa manabii

    wewe vp? yamekujaje haya?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Serikali iwamulike hawa manabii

    ??????????????????????
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kwa waliooa tu: Mke kutime simu na kuikagua

    kwani unamficha nini? ana uhuru na wewe na mume wake sioni sababu ya kugombana kwa vitu vidogo au wewe sio muaminifu? kuwa muwazi kwake ni ishara anakupenda sana rudisha upendo labda useme humpendi tena
  5. D

    JamiiForums Tanzania Sina hamu ya kuendelea kuishi na mke niliyezaa naye watoto watatu

    Usije ukatafuta huyo unae,penda mwengine ukajuta.......................... Akakupandisha pressure ukajuta na maji kushayamwaga jaribu kumwambia usivyopendelea uzuri wa mwanamke sio sura ni tabia watoto ni baba na mama
  6. D

    JamiiForums Tanzania Eti bora vita kuliko udhalimu wa CCM

    mmejiandaa kwa kupigana lakini
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 47 kati ya 50 ya muungano, Zanzibar haijachangia fedha

    balozi zenu nje wamajaaaa wazanzibar???????? kwa hiyo wazanzibar hawana haki ya kua mabalozi??????? balozi ni za Tanzania c zenu:A S 465:
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wale waliokuwa wakidai Zanzibari yao kwa matusi na vidumu vya tindikali?

    watuondee tu kwani kwani tatizo liko wapi? kama njaa hatujaanza sisi kulala njaa.............. kuna watanganyika wangapi wanalala na njaa na bado wapo. kula njaa is just a challenge BUT WE NEED OUR "ZANZIBAR".
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nini msimamo wako kama mtanzania. Serikali,mbili au tatu

    tatu aisee
Back
Top Bottom