ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Napata shida kuona hawa manabii wa sasa wakiwa na maisha ya juu sana wakati kundi la wafuasi ambao ni kubwa wengi wao wakiwa masikini wakutupa.
Sijafika katika mikutano yao ingawa mimi ni mkristo lakini through televisheni naweza kuona moja kwa moja aina fulani ya kujikusanyia pesa kwa njia rahisi sijaelewa kama ni mimi tu naeona haya au vipi?
Mungu amlaze pema mchungaji Moses Kulola ambae ni mfano tu wa mtumishi ambae nilihudhuria mikutano yake mingi tangu nikiwa mdogo kule Tabora.
Sikuwahi kuhisi kama anaenda ki biashara! Leo hoi tunashuhudia nadii akikodi tv station na anajielezea yeye binafsi,anajisifu yaani tofaiti na wale manabii wa mwanzo!
Nabii anatoa namba za m pesa na tigo esa airyel money...jamani wapi tunaelekea na analindwa na mabaunsa wa nne wanazunguka gari yake ya kifahari!
Mbona imeandikwa usimtegemee binadamu kama kinga yako?mbona yesu na hao manabii hawakua na magari wala walinzi?mbona wao hawakuomba wapewe pesa?
Zaidi angeweza fanya miujiza upatikane msaada na yeye kuwapa/kusaidia kusanyiko na si kusanyiko limsaidie yeye!
Jamani wapi tuendako?