Nini msimamo wako kama mtanzania. Serikali,mbili au tatu

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Piga kura yako sasa kwa kuandika neno MBILI AU TATU Ilikupata msimamo wako ju ya serikali unazizitaka katika katiba mpya.

NIWAOMBE MOD'S WATUSAIDIE KUTENGENEZA UTARATIBU KAMA ULE WA MPAMBANO KATI YA DR.SLAA NA LOWASA NA MSIUONDOE MPAKA KATIBA ITAKAPO PATIKANA. TAFADHALI SANA.
 
Piga kura yako sasa kwa kuandika neno MBILI AU TATU Ilikupata msimamo wako ju ya serikali unazizitaka katika katiba mpya. NIWAOMBE MOD'S WATUSAIDIE KUTENGENEZA UTARATIBU KAMA ULE WA MPAMBANO KATI YA DR.SLAA NA LOWASA NA MSIUONDOE MPAKA KATIBA ITAKAPO PATIKANA. TAFADHALI SANA.
Mbona unaturudisha nyuma? tulishatoa maoni yetu 61% ya watanzania wote wanataka serikali 3.
 
piga kura yako sasa kwa kuandika neno mbili au tatu ilikupata msimamo wako ju ya serikali unazizitaka katika katiba mpya.

Niwaombe mod's watusaidie kutengeneza utaratibu kama ule wa mpambano kati ya dr.slaa na lowasa na msiuondoe mpaka katiba itakapo patikana. Tafadhali sana.
tatu...
 
Piga kura yako sasa kwa kuandika neno MBILI AU TATU Ilikupata msimamo wako ju ya serikali unazizitaka katika katiba mpya.

NIWAOMBE MOD'S WATUSAIDIE KUTENGENEZA UTARATIBU KAMA ULE WA MPAMBANO KATI YA DR.SLAA NA LOWASA NA MSIUONDOE MPAKA KATIBA ITAKAPO PATIKANA. TAFADHALI SANA.

Achaga propaganda nyepeccc
 
Cha msingi tuwarudishie mchanga wao na sisi tubaki na wetu!!

9k=
 
Mbili ila za awamu
Zanzibar tayari miaka hamsini sasa Tanganyika nayo iwe na serikali yake kwa miaka 50 Zanzibar wawe watazamaji nao.
 
Kwa mchakato unavyoendelea, serikali moja haiwezekani!

sasa huu utakuwa muungano gani? nadhani hata nchi za wenzetu watahoji uwezo wa akili zetu tutakapokuwa tukijitambulisha kama united republic of tanzania. watahoja what is united kama kila nchi iko kivyake?
 
mbili ni zenu,mimi na 61% ambayo mm simo ni serikali 3,bado tunawapenda wazenji
 
Hivi hatua za kuowa na kujenga nyumba ni zipi?

Kuoa:
Utafute m/ke.
Akukubali.
Umtolee mahari then umuoe!
...
Kujenga nyumba:
Uwe na kiwanja.
Uwe na hela ya kununulia vifaa, ya usafiri na hela ya fundi!
Then unajenga!
...
Nipe mantiki ya maswali yako.
 
Back
Top Bottom