Mozilla Foundation is empowering its Fellows to address their local challenges. Irene Misoi and Dr. Jabhera Matogoro worked together to address digital divide using alternative & complementary approaches such as community networks in Kenya and Tanzania.
Follow and Retweet...
Kuna muda unalazimika kuvaa rasmi kulitetea Taifa lako. Serikali imefanya kazi kubwa sana ya kufikisha huduma ya mawasiliano katika maeneo mbali mbali. Kwa dhati ya moyo wangu Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) chini ya kiongozi shupavu Dada yangu Justina Mashiba wamefanya kazi kubwa sana...
It was such a great honour meeting with Walter Minja, the only Tanzanian at Tesla, USA. We agreed to collaborate in pushing forward school connectivity and emerging technology agenda. Prof. Walter is one of the very active Diaspora who is willing dedicate his energy back home.
Picha Na JamiiForums.
Alizaliwa Kantare, Kagera na ni waanzilishi wa Jamii Forums na Mkurugenzi Mtendaji. Na sasa Mjumbe wa Bodi huyu si mwingine bali ni Maxence Melo. HONGERA
Hon.Dr.Pius Chaya is a Member of Parliament of Tanzania through CCM Party, Manyoni East Constituency in Singida Region.Dr Chaya holds PhD in Public Policy and Management, Master of Science in Public Policy and Masters in Public Health. He attended AI4DLab Anglophone the 1st International...
Artificial Intelligence for Development (AI4D) hosted the 1st International Conference on the Advancements of Artificial Intelligence in African Context in Arusha, Tanzania.
The overall objective of the 1st International Conference on the Advancements of AI in African Context is to strengthen...
Ndugu yangu,unaweza ukawa unaongea vitu usivyovijua.Katika dunia hii facebook imesaidia kuleta mabadiliko makubwa sana haya ya ku-share idea.
Maana sikuelewi dunia hii ya sasa web 2.0 applications such as facebook zina mchango mkubwa sana tatizo tu ni matumizi.
Watu makini wanatumia facebook
Ujumbe niliotaka wanaJF tuupate ni juu ya serikali zetu za kiafrica zihamasike na tuanze kutumia hii mifumo inayoweza ku-save gharama za uendashaji.
zipo nchi kadhaa zilizojaribu na zimefanya vizuri sana.
Tunayo nafasi kubwa ya kuishauri serikali yetu maana tunaweza tukazitumia pesa hizo...
Nimeona faida nyingi sana sasa ni kwanini serikali isiamue kutumia ubuntu ili ku-save gharama? mf.CD 1 ya ubuntu unainunua USD 16 na utatumia kwenye zaidi ya computer 10000 lakini kwenye window CD 1 kwenye computer moja na inagharimu USD 304 inategemea na version.
Jaribu kupiga thamani...
PINDA NI ZAIDI YA LOWASA
Nimependa Maada iliyokuwa ikijaribu kumsafisha LOWASA na mazuri yake, ila ni kweli alifanya kazi kama nyuki usiku na mchana may be kwasababu ya usaiba sina uhakika zaidi.
Ila Jamani mi naona kasi aliyonayo mtoto wa mkulima ni kasi nzuri ambayo ni kasi zaid ya ile ya...
Nchi hii inahitaji viongozi walio tayari kupigwa risasi kwa makosa yao, Jamani tufikilieni zaidi kumpa nchi kijana na ndo maana vijana tunasema tunahitaji katiba ambayo ni rafiki wa kijana, si lazima ufike 40+ ndo uiongoze hii nchi. wapo viongozi wengi waliofanya kazi na mwalimu lakini...
Hii si mara ya kwanza kuifundisha spss, ninao wanafunzi wa postgraduate na PhD sema nimeona si mbaya kama tuki-share tangazo ili ikitokea mmoja wetu kama wana-JF anahitaji basi asisite kuuliza.
karibuni sana kwa wale wenye nia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.