winchester
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 285
- 334
Habari. Nahitaji kutengenezewa application iwe na uwezo wa kufanya kwenye simu aina zote . Ambayo ni kama library na mtu anaweza download pdf files. Iwe ni ya kulipia kwa baadhi ya vitu na vingine vitakuwa bure. Naomba gharama zako za kutengeneza application au tunaweza kufanya partnership kwenye kazi hiyo.