Ubuntu Vs Windows

Ubuntu ina advantage kwa sababu ya virus. Japo si mtaalam sana lakini najua kwamb virus wanao affect OS ya windows hawawezi ku function kwenye ubuntu na kuleta madhara.
 
ubuntu is the best OS ever....unaweza kufanya kila kitu ambacho windows anafanya, lakini windows haiwez kufanya kila kitu ambacho Ubuntu anafanya, haihitaji software kufanya mambo yako(sana sana ukitumia Ultimate Edition), Graphics interface yake ya ukweli kinyama...sema tu ikiwa inasumbuasumbua(coz ina kawaida ya kustack smtm) inabidi uwe na idea kidogo kuhusu codes.
 
Anyway!
For Ubuntu, ukitaka addition software say ku install, unatumia WINE hii inatabia ya kubadili application programs zenye extention ya .exe, ambazo katika windows ndizo unazotumia. Wakati ubuntu application programs zina extention ya .lbm kama sijasahau .lbs, so unapata kila unacho kitaka kama kwenye windows.
Thanx.
 
Advantages of Ubuntu vs Window
1.Ubuntu is free,
2. Ubuntu is free from Virus
3. Ubuntu doesn't use more resources ( even 64MB of RAM is OK)
4. Ubuntu has a good interface
5.No drivers need

Mkuu naomba nitofautiane nawewe kwa machache na kuonngeza mengine
1. Yes ubuntu is free

2. Ubuntu is not free from virus . it is just people writing virus are focusing on windows because it is the most popular user OS.and application running on windows. U can not write/code a universal virus for all OS. Linux kernel is diffent from windows kernel.

3. Window is the one with the better interface than Ubuntu. Linux and its breeds, ubuntu being one of them were not originnally designed for drags and clicks. they were originaly desinged for keyboard interaction only.

4. Drivers are Neccessary for every OS. Comunication between OS and hardware(HDD,Keyboard,Monitor,etc) require a driver in between regardless of the OS type

In addition some advatanges of Ubuntu and other linux breed/distros over windows are .

1.
Most powerfull, efficient and effective Network Monitoring, Auditing, Management and hacking tool run on Linux breeds. eg Angalia kitu kinaitwa backtrack BackTrack Linux - Penetration Testing Distribution hii tool inaweza pia kurun kwenye Ubuntu. Vile vile hata yenyewe ni OS on its own.

2. Ubuntu Sio lazima iwe installed on HDD inaweza kuruna from CD or USB. Ubuntu inaweza kuwa instaled kama program within windows.

3.
Another advatange is than ubuntu and linux can be used to do and run simple tasks and application like open office,MySQL database etc just like windows.

 
1867 x more better than windows OS,
Iam a web developer and about 80% of web pages in the world run on linux severs, because they are virus free (*not virus free 100% but , now days there some issues like The First Linux Virus) but coming to windows, its a MESS.
Also Security while browsing kwa kutumia kinux os ni super ni lightweight AND SECURE
--------
I use a linux os and runs fast than ever, na uzuri ni kwamba ina branding yangu (sio ubuntu) na we kama unataka see SamOS – SUSE Studio
 
Habari zenu wakuu,

Naomba mnifahamishe advantages za Ubuntu over Windows..

Pia kama kuna disadvantages za kutumia Ubuntu naomba kufahamishwa.

Shukrani wakuu..
Advantage ni kwamba haisupport executable files ambazo ndizo zinabeba virus,disadvantage hii sio user friendly!!
 
Wakuu nawashukuru sana...

Atleast nimepata info zaidi kuhusu ubuntu.

peace, love & blessings...
 
mkuu naomba nitofautiane nawewe kwa machache na kuonngeza mengine
1. Yes ubuntu is free

2. Ubuntu is not free from virus . It is just people writing virus are focusing on windows because it is the most popular user os.and application running on windows. U can not write/code a universal virus for all os. linux kernel is diffent from windows kernel.

3. Window is the one with the better interface than ubuntu. Linux and its breeds, ubuntu being one of them were not originnally designed for drags and clicks. They were originaly desinged for keyboard interaction only.

4. Drivers are neccessary for every os. Comunication between os and hardware(hdd,keyboard,monitor,etc) require a driver in between regardless of the os type

in addition some advatanges of ubuntu and other linux breed/distros over windows are .

1.
Most powerfull, efficient and effective network monitoring, auditing, management and hacking tool run on linux breeds. Eg angalia kitu kinaitwa backtrack backtrack linux - penetration testing distribution hii tool inaweza pia kurun kwenye ubuntu. Vile vile hata yenyewe ni os on its own.

2. Ubuntu sio lazima iwe installed on hdd inaweza kuruna from cd or usb. Ubuntu inaweza kuwa instaled kama program within windows.

3.
Another advatange is than ubuntu and linux can be used to do and run simple tasks and application like open office,mysql database etc just like windows.


which version of ubuntu are you using, try ubuntu 12.04 with 3d!! Utatupa hiyo window yako

linux kernel structure is very complicated for virus penatration sio kama windows

have ever installed ubuntu and one of your component missed drivers??


 
which version of ubuntu are you using, try ubuntu 12.04 with 3d!! Utatupa hiyo window yako

linux kernel structure is very complicated for virus penatration sio kama windows

have ever installed ubuntu and one of your component missed drivers??



Sir
am still running ubuntu 9.04 and refering to Download | Ubuntu is can see the latest version is 10.10. Am not outdated that much .... Where did u download version 12.04? when was it launched.?

Not only installing am using Ubuntu.

Saying linux kernex structure is very complicated for virus penetration is diffeferent from saying linux is free from virus.

Simple example that linux too need drivers are these modem we use in Tanzania or Digital Camera . And again when u say no driver needed is differefnt from saying Ubuntu come preinstalled with all drivers.


Windows is ahead of ubuntu for plug and play devices. So if it was true no need of drivers may be it is windows and not Ubuntu .
But this is not the case even the latest window 7 need drivers and some need to be installed.
 
which version of ubuntu are you using, try ubuntu 12.04 with 3d!! Utatupa hiyo window yako

linux kernel structure is very complicated for virus penatration sio kama windows

have ever installed ubuntu and one of your component missed drivers??



Ubuntu 12.04?

Where cani get that?
 
Nimeona faida nyingi sana sasa ni kwanini serikali isiamue kutumia ubuntu ili ku-save gharama? mf.CD 1 ya ubuntu unainunua USD 16 na utatumia kwenye zaidi ya computer 10000 lakini kwenye window CD 1 kwenye computer moja na inagharimu USD 304 inategemea na version.

Jaribu kupiga thamani tunayopoteza kwa ajili tu ya ku-run hizi computer mf: wizara ndogo ina computer 50 zenye window OS. na zinalipiwa kila mwaka achilia mbali pesa ya kununulia.

Jamani wataalamu amkeni tuwaelemishe hawa wenzetu japo siasa imeingia kila nyanja hata za kiutaalamu tunaweka siasa! mimi nimeweza kuelimisha watu zaidi ya 30 hapa kazini kwangu ambapo nafanya kama systems analyst na sasa wanafurahia.

Tukiungana tunaweza.
 
oops!! sorry mwalimu is 11.04

Hiyo 11.o4 imetoka lini umedowload wapi na lini
cheki hapa https://wiki.ubuntu.com/LTS na cheki hapa https://wiki.ubuntu.com/PReleaseSchedule

Sasa hizo 3D unazosema zimetoka wapi. Nadhani wewe ubuntu unaisoma tu mkuu tofauti na ulivyoniambia mimi kuwa nitaitupa windows mimi nina zote( Windows na Ubuntu) . Na wewe fanya hivyo Mkuu Usiishie kusoma tu mambo.

Nimeona faida nyingi sana sasa ni kwanini serikali isiamue kutumia ubuntu ili ku-save gharama? mf.CD 1 ya ubuntu unainunua USD 16 na utatumia kwenye zaidi ya computer 10000 lakini kwenye window CD 1 kwenye computer moja na inagharimu USD 304 inategemea na version.

Jaribu kupiga thamani tunayopoteza kwa ajili tu ya ku-run hizi computer mf: wizara ndogo ina computer 50 zenye window OS. na zinalipiwa kila mwaka achilia mbali pesa ya kununulia.

Jamani wataalamu amkeni tuwaelemishe hawa wenzetu japo siasa imeingia kila nyanja hata za kiutaalamu tunaweka siasa! mimi nimeweza kuelimisha watu zaidi ya 30 hapa kazini kwangu ambapo nafanya kama systems analyst na sasa wanafurahia.

Tukiungana tunaweza.

Mkuu naona pia kuna mambo unachanganya . Ni kweli kuna umhumhimu wa kuhimiza kutumia open source kupunguza gharama lakini kwani wewe computer yako unalipia kila mwaka hiyo windows.?Computer nyingi zina windows ya OEM so haziitaji kulipiwa ila mwaka kama unavyosema labda kama unaongelea server sio client

Kuhusu kununua CD ya ubuntu ni kama una hela za kupoteza au ni mvivu. ubuntu una unadowload bure. Hiyo USD 16 ukichukua bundle ya USD10 unaweza kudowload hata image zaidi ya tano za ubuntu. Ukiwa mvivu wa kudowload ukataka wakutumie wao CD basi ndo wanahitaji hizo pesa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom