Ubuntu Vs Windows

Ubuntu Vs Windows

Sasa WOTE Tizameni hii video na mu kune kichwa kwa umakini mniambie ipi bora

Afu kumbuka umoja ni bora kuliko ubinafsi. Linux nyingi ni OpenSource lakini Windows ni mali ya Microsoft, hata TOS zao zinasema System software kwenye pc yako ni mali ya microsoft. Tofauti na Linux ambazo nyingi (mfano OpenSUSE) ni open source

AFU WINDOWS INA BOOT MWAKA, CHEKI VIDEO UONE

Video hii hapa
 
Ubuntu is cheaper, thats about the only advantage hasa kama unataka kuitumia kama server, software nyingi ni free and open source kama unataka kuzimodify.

Disadvantage, hairun software za Windows (Wine inarun some things), drivers mara nyingi ni ngumu kupata hasa za laptop na za accessories. From my personal experience iko sluggish kuna delay kati ya click na action, pia wakabadilisha window buttons kutoka kulia wakaziweka kushoto ndo wakanichosha kabisa inaonyesha hawapo serious :smash:
 
Ubuntu is cheaper, thats about the only advantage hasa kama unataka kuitumia kama server, software nyingi ni free and open source kama unataka kuzimodify.

Disadvantage, hairun software za Windows (Wine inarun some things), drivers mara nyingi ni ngumu kupata hasa za laptop na za accessories. From my personal experience iko sluggish kuna delay kati ya click na action, pia wakabadilisha window buttons kutoka kulia wakaziweka kushoto ndo wakanichosha kabisa inaonyesha hawapo serious :smash:

Wako serious, hawataki kukopi,

Tatizo umekua huku windows ikiwa kichwani, unajaj everything kwa kutumia windows, we huoni kwanini software nyingi ni za linux (Utabisha kwasababu ni shalow) na kuhusu drivers, zina patikana ila We/Watu tunanunuaga pc ambazo ni Designed for Windows Hivyo windows market inahamia kwetu na linux market inakua shalow kwetu TZ.

Kama we ni webdeveloper ama programa utaelewa na moyoni utakua unaipenda linux but hard to admit

SEE THIS FOR TTTTT
 
Wako serious, hawataki kukopi,

Tatizo umekua huku windows ikiwa kichwani, unajaj everything kwa kutumia windows, we huoni kwanini software nyingi ni za linux (Utabisha kwasababu ni shalow) na kuhusu drivers, zina patikana ila We/Watu tunanunuaga pc ambazo ni Designed for Windows Hivyo windows market inahamia kwetu na linux market inakua shalow kwetu TZ.

Kama we ni webdeveloper ama programa utaelewa na moyoni utakua unaipenda linux but hard to admit

SEE THIS FOR TTTTT

Kuhusu software nyingi kuwa za Linux sidhani kama kuna ukweli hapo. Kama walikuwa hawataki kuiga wangeanza tangu mwanzo kuiweka kushoto, kubadilisha bila sababu ya muhimu kunaonyesha hawaelewi usability na users wao.

Mimi ni web developer na programmer, kuna Dreamweaver Ubuntu? Kuna Photoshop Ubuntu? Kuna program siwezi kuandika in Windows?

Hiyo boot time hainiimpress.
Kuokoa sekunde hakunisumbui kama ntapata superior experience.

ubuntu_vs_7-4.png
 
Kuhusu software nyingi kuwa za Linux sidhani kama kuna ukweli hapo. Kama walikuwa hawataki kuiga wangeanza tangu mwanzo kuiweka kushoto, kubadilisha bila sababu ya muhimu kunaonyesha hawaelewi usability na users wao.

Mimi ni web developer na programmer, kuna Dreamweaver Ubuntu? Kuna Photoshop Ubuntu? Kuna program siwezi kuandika in Windows?

Hiyo boot time hainiimpress.
Kuokoa sekunde hakunisumbui kama ntapata superior experience.

ubuntu_vs_7-4.png

Yawezekana Adobe Softwares ndo zinakuweka mjini maana ndo unatolea mfano, use linux and GET NVU FREE SOFTWARE LIKE DW
 
1867 x more better than windows OS,
Iam a web developer and about 80% of web pages in the world run on linux severs, because they are virus free (*not virus free 100% but , now days there some issues like The First Linux Virus) but coming to windows, its a MESS.
Also Security while browsing kwa kutumia kinux os ni super ni lightweight AND SECURE
--------
I use a linux os and runs fast than ever, na uzuri ni kwamba ina branding yangu (sio ubuntu) na we kama unataka see SamOS – SUSE Studio


this post is really helpful man.. nmeipenda..
 
my pc, HP 620 ilikuja na SUSE Linux Enterprises Desktop 11 ila wakaitoa wakaniwekea Windows 7 stater sasa hii windows 7 kwangu imekuwa hell caz hata kudisplay wallpaper wala theme haitaki. Naweza nkapata SUSE Linux niweke tena??
 
...................

Kwa Mawazo yangu Ubuntu OS bado kiboko kuliko Windows XP

Mzizimkavu hiyo kitu umeweka hapo juu ni flooding.

Sasa kwa nini unalinganisha ubuntu OS na windows XP ?


Anyway karibu tena ulipotea sana.
 
Ukweli unabaki pale pale kuwa, uzuri wa OS unategemea na mahitaji yako... That is why kuna OS za aina nyingi sana...

Kuna:
Desktop OS
Palmtop OS
Network OS
Real time OS
Handheld OS and so on...

For the Network OS linux plays a great role .. Kama ni mtu wa Vi-Photoshop photoshop we endelea na Windows yako.. But when u come to Servers Linux flavors are the best ..

They are more secured and not easily hacked .. Kernel ya Window inaweza ika be hacked kirahisi sana..

Simple example:
I have a LIVE CD of ubuntu 10.0.4 , when I boot my system from the live CD I can access and modify the files of windows 7 in my system.. Licha ya kuja na NTFS file system, Microsoft bado ana kazi nzito sana ya kuzizidi Linux EXT3 file system, na wakati tayari sasa hivi kuna EXT4 file system..

I am using dual boot in ma machine.. I am having Ubuntu 10.0.4 and Window 7 in the same hard disk.. When I load the window 7 os, I can't access any file of Ubuntu 10.0.4 which are in EXT4 file system. But when I restart my system and load the Ubuntu OS, I can access all the files of Window 7.. This is a simple example to show how Powerful is Ubuntu...

Linux flavors ni nzuri kwa Servers na System Kubwa kubwa ..
Ila we kama ni mtu wa Vi-foto shop foto shop na Vi-powerpoint Endelea na Window 7, Graphics zake ni nzuri ...

Nani atakataa kuwa Final Cut is the best video Editor?? Huwezi ipata pengine, isipokua kwenye Mac OS ... For better video editting go for Mac OS... Kila OS, na uhitaji wako tu ndugu..
 
Advantages of Ubuntu vs Window
1.Ubuntu is free,
2. Ubuntu is free from Virus
3. Ubuntu doesn't use more resources ( even 64MB of RAM is OK)
4. Ubuntu has a good interface
5.No drivers need

Mkuu hapo kwenye RED sio kwamba is free from virus, bali most of computer viruses are created to infect windows os, so wale walio wengi hawana effect kwenye LINUX/UNIX/MAC n other operating systems, bali pia wapo virus waliotengenezwa kwa ajili ya LINUX, ndo maana hata wanaotengeneza ant-virus pia wanatengeneza za LINUX mfao AVG.

Na kuhusu suala la driver inategemea na hardware, kwa common hardwares kama sound card, vga, network interface card NIC, etc, huwa haina shida ya driver suala ambalo hata windows wamejitahidi sana kulisolve kwenye Windows 7. but ukiwa na hardware zako ambazo sio common, kwa mfano una modem yako ya HUAWEI, au FINGER PRINT READER (kwa wale wenye laptop za kulog kwa kidole) inabidi uanze kutafuta drivers hata kwa kutumia program kama synaptic package manager, au ubuntu software center.
 
One major disadvantage is that Ubuntu is heavily internet dependent.

Software zote inabidi u install kwa ku download, unless uko mzima sana kwenye kuhifadhi na ku install applications za linux from HDD.

Kila siku Ubuntu inataka ku download tens to hundreds of megabytes of updates. Vinginevyo inaweza ku crap out, unlike Windows ambayo hata ukizima updates linaendelea kudunda tu.

Huwezi hata kubadilisha Wallpaper bila ku deal na repository lao la Wallpaper!

No internet no full applicability of Ubuntu. Kwa Bongo internet access bado ni issue, Ubuntu inakuwa extremely expensive to run.
 
10 reasons Linux should be your netbook operating system


Takeaway: Some users believe that Windows is the best netbook OS. But others - such as Jack Wallen - think Linux is a much better fit. Check out his reasons and see if you agree.
Some users believe that Windows is the best netbook OS. But others - such as Jack Wallen - think Linux is a much better fit. Check out his reasons and see if you agree.


I’ve read countless Microsoft-funded “studies” trying to persuade me that Windows is already dominating the netbook space. According to these studies, Linux might as well just take a curtain call because its act is over in the world of netbooks. That is simply not true. If it were, Asus wouldn’t be selling netbooks with Linux preinstalled. Linux is not going anywhere but up in the netbook market. Here are 10 reasons why I can say than

1: Netbook hardware is the perfect match for Linux

One of the biggest arguments people use for Windows over Linux is that “You can’t play games with Linux.” Well, guess what? You can’t play games on a netbook (outside of Web-based games). And there are tons of other software types you can’t (or won’t) use on a netbook. No Photoshop, no Quark, and none of those proprietary apps that people seem to need to do their day-to-day business. Nope. Netbooks serve a small purpose — to let you get online — and they do it well.
Linux is the perfect networking operating system. It plays well with other OSes, it’s secure, and it’s fast. But one thing any purchaser of a netbook should know is that space is prime. Although a fresh installation of Eeebuntu might take up nearly 2.8 gigs, you can quickly trim that down using the Synaptic package manager by removing the applications you won’t be using. Windows XP with SP 2 takes up 2.5 gigs of space so the tradeoff there is minimal.

2: Netbooks require a secure OS

If you are using Windows XP on an ultra portable piece of hardware, you are a mobile risk for viruses. And you won’t be installing Norton’s or McAfee on your Netbook — especially if you are using a flash-based storage netbook. With Linux, you won’t need those tools in the first place. Your Linux-based netbook can travel anywhere you want and you won’t have to worry about picking up viruses or spyware like you would with a Windows-based netbook.
3: It’s all about the interface

If you have limited screen real estate, why not use a desktop interface designed for that real estate? Instead of using the standard desktop metaphor, the Eeebuntu Netbook Remix desktop introduces an interface that is perfectly suited for the desktop size offered by netbooks. This interface makes the netbook experience far more efficient than any Windows interface. Sure, it’s not what you’re used to. But it’s cleaner, faster, and more user-friendly, and it will soon become familiar to you. And this interface isn’t different just for the sake of being different. It’s obvious that the interface was well thought out and aimed at the new PC user as well as the new netbook user.
4: Your netbook can be more than just a slow laptop

When I purchased my last netbook, one of the first things I did was install Eeebuntu (over the purchased Xandros Linux). Why did I do this? Because Xandros is a limited operating system, whereas Eeebuntu is a full-blown Linux distro that happens to install on an Eee PC. When using Eeebuntu on a netbook, you really feel like you have the power of a full laptop at your fingertips. You can even install a full-blown LAMP (Linux, Apache, MySQL, PHP) server on your netbook if you like.
5: Linux will keep your cost down

One of the reasons why netbooks are so popular is that they’re cheap. Where, other than ebay, can you find a PC for near or under $300? And soon, the magical $200 price tag will be reached when Freescale releases its Linux-only ARM-based netbook. Remember, Linux is open source, so any software you are installing will be free. Because of the cost of the Linux operating system, the cost of netbooks can continue to fall. If Microsoft were to attempt to use Vista or Windows 7, the cost of your average netbook would not fall. And any extra software you want to install - or any antivirus or firewall software you’ll want to use when you’re running a Windows operating system on your netbook? You’ll pay for it.
6: Linux offers more flavors to choose from

There are plenty of Linux varieties to choose from. Even with netbooks, you can go with the basic Xandros or even try the full-blown 3D Elive+Compiz — yes, even on a netbook! I have witnessed the 3D goodness of Compiz running on a netbook and it’s impressive. Of course, it’s not for everyone. But that’s okay, because there really is a Linux distribution for everyone. Just be careful when you make a choice: Some of the distributions (such as Eeebuntu and OpenGeeeU) include the array kernel, which has wireless for netbooks built in by default. Some of the others will require you to take a few extra steps to build in wireless support. And with some of these distributions, there are different sub-variations. Eeebuntu has the standard release, which is just like a standard Ubuntu desktop, along with the Netbook Remix, which is a special desktop designed with the Eee PC user in mind.
7: You’ll gain speed

I have used the same netbook running both Windows XP and Eeebuntu, and there is no comparison. The Eeebuntu desktop was noticeably snappier than the Windows XP. The Web browser and mail clients opened nearly twice as fast on the Eeebuntu install than they did on the Windows XP install. Of course, there are differences between the various Linux flavors. For instance, the Xandros distribution is slower than the Eeebuntu distribution, but the Xandros is noticeably faster than OpenGeeeU and Elive.
8: Improvements will come faster and more often

Just like any software in the open source community, the Linux netbook operating systems will continue to improve at a much faster rate than the Windows operating systems for netbooks. For one thing, more people are working to improve the experience. It is well known that open source bugs are found and fixed far faster than Windows bugs. This will help improve the Linux netbook OS far faster than anything Microsoft can manage. Open source users are more apt to submit bug reports, and open source developers implement patches faster. These patches and bug fixes will not come in the form of Service Packs (as they do in Windows), which are released infrequently and in large chunks. Because of this you are less likely to fubar your network when updating a Linux-based netbook.
9: The next version will work

Are you sure Windows 7 will work on your Eee PC? And if it does, how well will it work? You can be sure the next release of Eeebuntu will work on your Eee PC because it was made for that hardware. From release to release, you never know what a Windows operating system will work on. Vista was a total bust on the netbook. Windows 7 has yet to be released or to even prove it can work well on the netbook hardware. And XP is eventually going to meet its demise. So why take a chance on purchasing hardware that Microsoft will make irrelevant with its next release? Instead, rest assured your Linux OS will continue to work whenever you upgrade it.
10: Support is better (believe it or not)

Finding support for a Windows-based netbook isn’t as easy as it is for a standard laptop or desktop. The nice thing about the Linux netbook community is that the developers are interested in making sure the OS works well and are quick to listen to their users. So you know if you have a problem with your Linux-based netbook, a quick search on Google will most likely find a simple solution to your problem. And if you don’t find an answer on Google, you can go to the Web site of the distribution developers, where they’ll either have a support forum or a contact form (or email address). Getting help on your Windows-based netbook will require a call to the company that sold you the netbook or a call to Microsoft - or you’ll have to hope your problem has already been reported and fixed so you can find it on Google.
Give it a shot

I am always amazed that people think, even for a moment, that Windows is a better OS for netbooks. If you are curious, try a couple of Linux distributions on your netbook. Not only will you be thrilled with the difference, you will most likely find yourself having to install that same OS on your friends’ and family’s netbooks. And you’ll be all the happier that you did.

Source; 10 reasons Linux should be your netbook operating system | TechRepublic

Nakubaliana na haya mawazo ni kweli ukitaka Laptop yako iwe Safe na kuondokana na Virus tumia Ubuntu OS kwenye Laptop yako.
 
Hiyo 11.o4 imetoka lini umedowload wapi na lini
cheki hapa https://wiki.ubuntu.com/LTS na cheki hapa https://wiki.ubuntu.com/PReleaseSchedule

Sasa hizo 3D unazosema zimetoka wapi. Nadhani wewe ubuntu unaisoma tu mkuu tofauti na ulivyoniambia mimi kuwa nitaitupa windows mimi nina zote( Windows na Ubuntu) . Na wewe fanya hivyo Mkuu Usiishie kusoma tu mambo.



Mkuu naona pia kuna mambo unachanganya . Ni kweli kuna umhumhimu wa kuhimiza kutumia open source kupunguza gharama lakini kwani wewe computer yako unalipia kila mwaka hiyo windows.?Computer nyingi zina windows ya OEM so haziitaji kulipiwa ila mwaka kama unavyosema labda kama unaongelea server sio client

Kuhusu kununua CD ya ubuntu ni kama una hela za kupoteza au ni mvivu. ubuntu una unadowload bure. Hiyo USD 16 ukichukua bundle ya USD10 unaweza kudowload hata image zaidi ya tano za ubuntu. Ukiwa mvivu wa kudowload ukataka wakutumie wao CD basi ndo wanahitaji hizo pesa.

Ujumbe niliotaka wanaJF tuupate ni juu ya serikali zetu za kiafrica zihamasike na tuanze kutumia hii mifumo inayoweza ku-save gharama za uendashaji.

zipo nchi kadhaa zilizojaribu na zimefanya vizuri sana.

Tunayo nafasi kubwa ya kuishauri serikali yetu maana tunaweza tukazitumia pesa hizo zinazogharamia uendashaji wa mifumo ya komputer kuajili walimu wa hesabu na sayansi ndani ya nchi yetu.
 
Hiyo 11.o4 imetoka lini umedowload wapi na lini
cheki hapa https://wiki.ubuntu.com/LTS na cheki hapa https://wiki.ubuntu.com/PReleaseSchedule

Sasa hizo 3D unazosema zimetoka wapi. Nadhani wewe ubuntu unaisoma tu mkuu tofauti na ulivyoniambia mimi kuwa nitaitupa windows mimi nina zote( Windows na Ubuntu) . Na wewe fanya hivyo Mkuu Usiishie kusoma tu mambo.


Mkuu mi pia natumia ubuntu ila ni ya chini kidogo, kuna mshikaji wangu niliona ya kwake nikwa so excited kweli ni 3D labda kama kuna manyonyo aliongeza nilipomuuliza ni version gani akaniambia ni latest one!! yeye mwenyewe hajui ni 11 or 12 I will let you no Sir.
 
5.5 Desktop Effects
The KDE 4 window manager has built-in support for 3D desktop effects. A basic, unobtrusive selection of effects will be enabled out of the box if you have the proper hardware and driver support in place. Try pressing Ctrl+F8 or Ctrl+F9 for example.

To disable effects or to enable other/more effects: Configure Desktop => Desktop Effects


The keyboard shortcut to temporarily toggle desktop effects on/off is Alt+Shift+F12.
 
Ubuntu ina advantage kwa sababu ya virus. Japo si mtaalam sana lakini najua kwamb virus wanao affect OS ya windows hawawezi ku function kwenye ubuntu na kuleta madhara.

Sidhani kama ni kweli hapo kwenye red,virus (hackers) wana weza kudhuru ubuntu au linux/unix distribution yoyote ile!
Ubuntu hailiwi sana na virus kwa sababu watengeneza virusi wanaangalia wapi kuna watu wengi wanatumia OS ipi (windows kwa sasa) na huko ndiko kuna maslahi yao so virus wao wengi wana attack windows,wakigeukia ubuntu basi umekwisha pia!

Ubora wa ubuntu,kama zilivo distributions zingine za unix/linux ni kwamba ni open source na kila kitu ni free kwao!
Ila usalama sio guaranteed
 
Nimeona faida nyingi sana sasa ni kwanini serikali isiamue kutumia ubuntu ili ku-save gharama? mf.CD 1 ya ubuntu unainunua USD 16 na utatumia kwenye zaidi ya computer 10000 lakini kwenye window CD 1 kwenye computer moja na inagharimu USD 304 inategemea na version.

Jaribu kupiga thamani tunayopoteza kwa ajili tu ya ku-run hizi computer mf: wizara ndogo ina computer 50 zenye window OS. na zinalipiwa kila mwaka achilia mbali pesa ya kununulia.

Jamani wataalamu amkeni tuwaelemishe hawa wenzetu japo siasa imeingia kila nyanja hata za kiutaalamu tunaweka siasa! mimi nimeweza kuelimisha watu zaidi ya 30 hapa kazini kwangu ambapo nafanya kama systems analyst na sasa wanafurahia.

Tukiungana tunaweza.

Ni kweli kabisa! Tatizo ni mazoea; binadamu yeyote akiwa amezoea kitu fulani sio rahisi kubadilika! Pia, namna manunuzi yanavyofanywa serikalini, taratibu zilivyokaakaa sio cost concious! Kinachoangaliwa kikubwa ni kufuata taratibu. Kwa client computer hakuna sababu ya kuweka Ubuntu kama issue ni cost. Hata utangaze tenda leo uka-specify OS kuwa Ubuntu, nina wasiwasi kama bei itakuwa tofauti na ile yenye Win 7!
 
Mi Ma-linux yote naona yananiboa!
Bora Windows
Zote ni nzuri inategemeana na nini unafanya kwenye komputa, tatizo siyo tool bali unataka kufanya nini? kama wewe unapenda kuchezea ma video game na unataka kutumia ubuntu then good luck. Lakini wewe kama unataka control ya OP at kernel level basi *nix system ndiyo nyumbani.
 
Back
Top Bottom