Mi ni cdm damu waulize wanaubungo watakwambia tulikesha cku ngapi kulinda kura za jembe Mnyika pale loyora
Ila punguza jazba maccm tunayajua yanamawazo mtindi yaani mgando so tuwaelekeze taratibu kama kumvunja msichana birika
Msimamo hana ndo mana alikuwa anahama hama vyama vya siasa we utasemaje anasimamia sera ya chama?
Au tujuze chama gani hiki alichopo ama alichotoka kabla ya hiki?
Fuatilia historia yake Ktk siasa ndo useme ulichokisema
Na ndo utajua kwann jjjjkkk kampa jina la tayson
Maccm na mapoliccm yanaanza kugwaya coz yanajua kesho aibu yao kalenga....
Hapana chezeya kamanda lema mzee wa kampeni nyumba mpaka nyumba kudadadekiiii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.