Majimbo yatakayopotea kwa chadema 2015,wape ushauri

Majimbo yatakayopotea kwa chadema 2015,wape ushauri

Future president

Senior Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
144
Reaction score
39
Naupenda upinzani unaoneshwa na cdm japo si mwana cdm mana wana wabunge makini,ila watu husema wanamsaada sana na matatizo ya taifa kuliko majimboni kwao,hii ikanipa hofu sana kama je wangapi watarudi majimboni kwao 2015,kuna watu hutabiri majimbo yanayoshikiliwa na hao yapo kwenye hatari msigwa,tundu lissu,mnyika,mdee halima,je kama mtanzania embu tushauri kitu katika kuimairasha upinzani tz
 
lema akirudi bungeni baada ya uchaguzi wa mwakani ,nitatembea uchi kuanzia kijenge mpaka stand ya vifodi
 
wabunge wa chadema watakaopoteza ubunge wao ni hawa wafuatao
1. lema
2. kiwia
3. wenje
4. nassary
5 mnyika
6.mchungaji msigwa
7.sugu.
 
Msingwa itategemea kama kwenye kura za maoni CCM hawatampitisha Mwakalabela basi Msigwa atarudi bungeni, lakini Mwakalabela akigombea na yeye Msigwa atapata 22%.
 
Nyie mnaota ndoto...
Tajeni na ccm watakaopoteza majimbo yao
 
Watanzania wenyewe watambue haki na mahitaji yao; kama ilivyo kwa CCM upinzani pia unawekwa na wananchi.
 
Mchungaji Msigwa hana jimbo maana aliazimwa tu na Mwakalebela. Akigombea Mwakalebela Msigwa arudi kanisani.
 
Mchungaji Msigwa hana jimbo maana aliazimwa tu na Mwakalebela. Akigombea Mwakalebela Msigwa arudi kanisani.

mchungaji msigwa atarudia ile kazi yake ya kubrush viatu pale stand. hakuna la maana alilowafanyia wana iringa
 
Ninyi hamjasoma katiba mpya inavyopendekezwa majimbo yawe. Majimbo yatakuwa saizi kama mikoa. Fikiria wabunge wote wa Mbeya ( kuanzia mwakyembe hadi Sugu) atoke mbuge 1 mwanaune na mwanamke 1. Hizi sura zote zitapotea bila kujali CCM au CDM. Kuna mikoa moto utakuwa mkubwa sana mfano Kilimanjaro ; Mwanza, Kagera nk. Wengi watapumzika kabisaa kwa umri au kuogopa ligi.
 
lema akirudi bungeni baada ya uchaguzi wa mwakani ,nitatembea uchi kuanzia kijenge mpaka stand ya vifodi

Kaka mi ni mkazi wa Arusha na sio mshabiki wa Lema,hata kura huwa sipigi,na kusema kweli naona kwa mapana kabisa ya kuwa hakuna kitu cha maana Lema amefanya tokea achaguliwe kuwa mbunge,ila huyu jamaa ana kundi kubwa sana la vijana na wamama wanaomuunga mkono na hilo ndio kundi kubwa la wapiga kura,usijiapize bure ndugu yangu,siasa za hii nchi ni kama ligi ya uingereza leo unamfunga man u kesho unapigwa na west ham au sunderland,mambo hayatabiriki,kama huamini shauri yako si umeshuhudia Kalenga?
 
labda tume ibaki hii hii ya kuhakiki daftari gizani kila kwenye chaguzi ndogo! Huku wakituambia kila siku hawana pesa za kuliboresha.Wafanye uhovyo wao wa mwisho ktk kipindi hikihiki kabla katiba mpya haijaja kuwafukuza kazi.
 
Naupenda upinzani unaoneshwa na cdm japo si mwana cdm mana wana wabunge makini,ila watu husema wanamsaada sana na matatizo ya taifa kuliko majimboni kwao,hii ikanipa hofu sana kama je wangapi watarudi majimboni kwao 2015,kuna watu hutabiri majimbo yanayoshikiliwa na hao yapo kwenye hatari msigwa,tundu lissu,mnyika,mdee halima,je kama mtanzania embu tushauri kitu katika kuimairasha upinzani tz
hiyo RED unamaanisha nini?
 
Jamani mi ni mpenda upinzani,upinzani unaoletwa na cdm umesaidia mambo mengi ktk kuistua serikali,mambo mengine wanafanya kwa kuogopa umakini wa wabunge wa cdm,hivyo tuwashauri cha kufanya mana usitegemee jimbo la mpinzani liwe na maendeleo mana fungu linatoka serikali ya ccm,wabunge wa cdm wanachangamoto nyingi,tuwape strategics za 2015
 
Kipigo cha kalenga kinazidi kudhihirisha kuwa hakuna mbunge wa chadema atarudi bungeni
 
Chagadema haina safu nzuri ya uongozi

Lumumba FC bana... Mambo ya maana ya kama muungano hawaonekani kwenye mjadala. Aliyoyasema Werama yanakua kweli, vichwa vya kufugia nywele tu. Njaa mbaya sana!
 
mbowe na dr.slaa sasa hivi hawaelewani baada ya dr.slaa kumdanganya mbowe watashinda kalenga na kuingia mitini huku akimuacha mbowe akiaibika kalenga mwenyewe
 
Back
Top Bottom