je kina muwasha au kinauma kw vile ni mtoto hawezi kuongea atakua na dalili hizi, joto kuongezeka, kulia sana, kujikuna hio sehemu, kimenza lini? kinaendelea kukua, kina ukubwa gani itabidi mama awe anamchunguza kila bada ya muda
pia nakushauri umpeleke spital ya watoto kw uchunguzi zaidi...