Weekend Story: You Can't Handle The Truth

Weekend Story: You Can't Handle The Truth

Sana tu. Mapenzi yalikuwa matamu acha kabisa.

Aisee yale ndo yalikuaga mapenz aiseeeee yaani ukisikia nikinywa maji nakuona kwenye glass ndo mapenz ya O level
 
Hahahaaa! KUMBUKENI YOU CANT HANDLE THE TRUTH! CAN YOU?

Kwa experience yangu story zikifikamwisho panachimbikaga naonekana nimekula rushwa.
Yah!! Mimi mwenyewe nilisha hisi hivyo. Ila story nzuri ninile ambayo hujui mwisho wake.
 
lara 1 njoo mkuu endeleza gurudumu. Tushafuturu tayari na sasa chakula kinashuka taratiiiiibu. Tukiweka na madoido yako,hatulali mpaka daku. Njoo mama. Tupia mambo
 
TUONANE DAKU HALI NI KAMA HIVI JAMANIIII!

0398a1d8af43344a6112edcae4992791.jpg
 
hahaaaaa lala acha uroho bwana njoo utapasuka
 
lara 1 sio kwa mateso haya jamani... tudondoshee zigo bhana!!
Halafu daku ya nini tena ulivyoshiba hivyoo...
 
Manina Lara umenitia genye kudadadeki halafu muda mfupi tu uliopita nimenyimwa papuchi...
 
lara 1 ujue hili gubu utafanya nikamkamate mtu nimtifue shoo ya Walter ajue leo full lavydavy kumbe hasira ya kusubiri ubuyu! Zingatia ftari yenyewe nimekamua kiduchu naogopa kusinzia...please do something utaua watu na kiwuuuu!
 
IQRA

Iqra kiukweli aliyashangaa maisha ya Carina, akaoyona tu tofauti na ya kwake, yaliojaa haram nyingi, na mambo yaaiyopendeza, ila kilichomshangaza ni kwamba Carina pamoja na yote ni mtu mzuri sanaa rohoni aliejaa upendo mwingi sanaaa.

Akaamua kuendeleza nae urafiki hivo hivo lakini kwa tahadhari kubwa sanaa aiingie kwenye dunia ya Acrina iliojaa anasa nyingi mnooo. Akawa anashangaa jinsi Carina anavojiachiaa na maishaa. Akamkumbuka yule kaka aliemsaidia ambe ndo kaka yake Carina, akajilaumu kila akikutana na Carina na kutaka kumuuliza kuhusu yule kaka anajikuta mambo mengi anasahau kuomba akutanishwe nae amshukuru.

Iqra shuleni katika story nae akawa dada wa mujini kwenye story anasikiza wenzie wanavosimuliana jini kutoa bikra inavoumaaa. Yaani kila anae enda anakubali ile zoezi ni kiboko kabisaaa. Kila mtu anasema lake ila wote wanakubali yale maumivu unaweza kugoma kurudia tena. Huku wengine wakiahidi kujaribi as soon as possible na kuahidi feedbac.

Iqra akawauliza mfano mtu ukichelewa kutolewa hio bikra inakuwaje sasa? Basi wenzie wanamtisha yaaani ngozi itakuwa imekomaa na kuota sugu, utapasuka pasukaaa siku hio. Ni kama ngozi imekuwa ngozi ya mkonooo afu ipitishiwe kitu juu kuitobozaa. Iqra akaogopaaa. Mwengine akamwambia mda mwingine inatoka yenyeweee. Ukikaa sanaa hizi purukushani za dunia inatokaaa tu.

Iqra akawa akikaa peke yake anatafakariii anakosa jibu. Ikabidi siku awaite wasilamu wenzie chobingo kiwahoji. Nyie mbona mwafanya zinaa waziwazi hamuogopi Mungu atawalaanj. Kwanini mmekubali kushiriki zinaa na kutoa bikra zenu. Wenzie wakajitete umri umeenda hivo mahitaji ya mwili ndo yamewaponzaaa, na kukazia kuwa isingekuwa shule wangekuwa wameolewaaa.

Iqra akabakia njia panda kiukweli kila akifikiria kadri siku zinavoenda wengi na zaidi wanaenda kutolewa hizo bikra. Akawaza mwisho si atabakia peke yake sasa bikra. Bwana tu hana acha huyo wa kumpa kitu chake cha thamani kama hiko.

Nyumbani, safari ya Fahad ikawa imefikaaa. Wako tayari na bibi kwa safari. Bibi akamuaga Iqra kwaheri ya kuonana maana huko atakaa sana na kwa umri ule huenda akafia hjko huko. Akambarikia mjukuu wake Iqra, akamsihi afate mafunzo ya dini na Mnyaazi Mungu atamjaliaaa tu kwa kweli. Haina haja ya kuendkeza ya ulimwenguuu.

Siku wanaondoka Iqra aliloaaa, Fahad nae aliliaa, mpaka baba alilia. Sema tofauti Iqra anatoa sauti, baba anatoa machozi tu. Bibi akawa kaondoka na Fahad, ila katika maongezi ya mwisho mwisho Iqra alisikia bibi na baba wakijadiliana hio shule ya Fahad itawafilisi wasipo angalia vizuri manake ni pesa nyingi sanaa, sanaaa zatikwa afu kwa Pounds tupuuu. Baba akasema inabidi ajitahidi kweli kweli kumudu ghara za hio shule.

Ikapita kama wiki hivi tangu Fahad aondoke, akawa kaketi dukani kwao hana hili wala lile. Akaja gule mteja cha fujo, akakumbuka siki ya mwisho alimyeyushaaa na kuondoka na Carina. Akajua tu lazima kuna vurumaiii atazushaaa. Wakasalimiana pale kama watu vile, Babu Ali akaja kumletea kiti harakaa.

Mteja akamuuliza dogo leo hayupo? Maana kila nikija namkutaga kaka hapa na wewe.Iqra akamjibu tu kwamba dogo kaenda UK kusoma, mzee kidogo kaona kule ndo kutamfaaa, sahivi nimebakia mie tu babu yanhu pale Babu Ali orijinale, ukisikia mwengineo fekiii, babu kijanaaa. Mteja akachekaaa.

Mteja yuko sikikwambiaga jina langu, naitwa Walter, ni mzururaji hapa mjini wa siku nyingi sanaaa. Iqra akasema mimi naitwa Tajiriii au Iqra, muuza duka wa tajiriii kubwa alieko kwenye maduka yake mengine huko anatafutaaa. Wakajikuta wote tu wamechekaaa.

Basi Walter akaanza kuleta story zisizo elewekaaa, wala zisizo na kichwa wala miguuu. Iqra akamuomba msamaha kwa yote yalio tukia baina yao, na akamshukuru kwa wema wake aliomtendea Fahad, kama angekuwa na akili angemshukuru mwenyewe ila maadamu hakujaliwa uwezo huo, basi yeye Iqra anamshukuru kwa niaba ya fahad na familia yake.

Wakapiga story pale ambazo kiukweli hazina hata kichwa wala miguu, ukizingatia Iqra hapo form 3 yule mwengine anakaribia kufuzu jeshi. Ila Walter mbishiiii, mbishiiii hamna mfanooo, akazunguka mmbuyuuu weee baada akatumbukizia siku ukitaka kunywa soda tuwasiliane basi. Au siku unayopumzikaa ambayo hukai dukani nambie nikupe hata soda japo moja ya hamu.

Iqra akamchomolea kuwa yeye yuko busy na dukani sanaa, na mzee wake yuko strict sanaa so sio rahisi yeye kipata mda wa kusema kutoa, au kuspend na yeye huyo mtu bila kutokea kizuizi. Akamwambia tu hio haitowezekanaaa. Labda huko mbeleni ila kwa sasa hivi amebanwaa sanaaa.

Ikatokea tatizo na mizigo ya mzee wake, ikamlazimu kwenda Dubai, na Iqra alikiwa kwenye mitihani akashindwa kwenda nae. Akaa nae kitako kumwambia Iqra umekua nakuamini, usimamie biashara hizi huu mda nitakao kaa hukuu. Nyumba nakuacha nayo peke yako, kama unaogopa sanaa basi umwiste Sajida yule mjukuu wa bi Salim mje muishi wote hapa mpaka nitakapo rudi. Iqra akajitutumuaaa mi nala mwenyewe mbona siogopi kabisaa. Mzee kaondoka.

Siku ya kwanza kulala peke yake saa 2 tu anaona jumba linazidi kiwa kubwa kadri mda unavoendaaa. Hata mjusi akipita roho inampiga paaaaaaa! Akachukua simu na kumpigia Carinaa. Akapokea mwanaume hakujua nani, akaamua kusalimia tu Shikamooo. Akajibiwa marahabaaaa. Akamwambia namuomba Carina. Akaambiwa nimwambie nanj? Akasema Iqra. Ukapita ukimya lama dakika 3 tu akasikia sawa ngoja nikuitie.

Akaja Carina na bashasha kubwa sanaaa, hello! Whats up! Nambie mbona usiku mamiii! Akamsimulia naogopaaa kulala mwenyewe mwenzio, baba kasafiri, bibi na Fahad hawapoo. Carina akamwambia basi njoo uishi kwetu manake niko tu kaka yangu yule Collins niliekkukuta nae siku ile na dada tu basi. Mzee na mama wameenda nje, mzee kaenda kwa vipimo vya afya mkewe kamsindikiza. Yaani huku ni full kujiachiaaa, huyu Collins nammudu.

Iqra akusubiri mpaka mwisho akadakia nakujaaaa sasa hivi. Akapakia uniform zale, nguo 2, 3 na mahitaji express kwenye rambo, kaita tax chini motooo kwa kina Carrina.Kafika kugonga dada akamfunguliaaa. Akainhia, Carina akamkaribisha chumbani kwake. Carrina kibokoooo. Sio kwa chumba kile kilicho sheheniii mavitu kibaoooooo.

Akaweka mizigo yake. Akajia wanalala akaona Carrina anavaa anataka kutoka usiku huo huo, anamwambia twende wewe, twende acha ushambaaa. Iqra akagomaa, roho ikasitaaa. Akawa amaekaa tu chumbani akawakumbuka bibi na Fahad kweli akawa anajiuliza sijui wanaendeleaje maana bibi a,epiga mara chache sanaa tangia aondoke.

Akamsikia Carrina anabishana na Collin sebleni lwanini kamleta mtu aje kukaa pale bila kumshirikisha Collins, wakati Collins ndo mwamuzi wa mambo yote paleee.Yeye ndo amepewa awe incharge. Carina amsisitiza hana pa kukaa Collins, kama utamfukiza alowe na mbwa sawa ila jua dhambiii na mama akija nitamwambia, kwani akikaa hapa kidogo baba yake akirudi utapungukiwa nini.

Iqra akawa ashabeba vitu vyake, akamwambia Carrina kama itakiwa tatizo ngoja tu nikakae mwenyewe niwagombanishe na kaka yako. Collins akashtuka kama Iqra kawasikia ubishani wao. Collins akajiwahi hamna tatizo binti hamna tatizo kabisaa, karibu sanaa, jisikie uko nyumbaniii kabisaaa, wala usiwe na hofu yoyote. Iqra akapiga magoti Asante kaka Collins. Collins akili yake ikafanya kazi haraka haraka Kaka tenaaa? Ananiita kaka anataka kuninyima nini? Akazuga tu, Iqra usipige magotiii bwanaa, mambo madogo haya, mimi hapa ndo mwangalizi wenu, incase of chochote we niulize tu.

Carina akadakia ndo tayariii twende basi unipeleke Collins. Collins akamuuliza Iqra na wewe ndo upo tayari hivooo kutoka? Iqra akajisemea mimi sitoki nabakia. Collins bila kupoyeza mda akamwambia Carrina twendeeeee, njia nzima anawaza akamdump Carrina huko aendako ili yeye awahi kurudi nyumbaniii apate washa wa kutengeneza mazingira na lile toto la kiarabuuuu. Akikukmbuka Carrina ahatokiwepo kiwabugudhi na dada analala chumba cha mwisho kabisaaa, akasema kwanza nikifikaaa namuita sebuleni kwa maongezi ili nimfaidi vizuriiii. Mmmmh! Akawa anatabasamu kabisaa.

Kamshusha Carrina kwenye hio party anamuuliza leo hulali huku? Carrina akamshangaaa eeeeh? Nauliza kama kuna mipango ya kulala, manake wazee hawapo ujana ndo huu kila siku unalal nyumbani umekuwa utumbo kwani? Siku zingine una party till morning! Au sio Carrina? Carrina akwa hamuelewi maana sio kawaida yake, akamwambia bwna mi sina mda wa masihara saa 5 uje kunifata hapa kesho shule.

Collins kucheki mdaa saa 2 akasema huu mda unatusho kabisaa kuspend na Iqra masaa ma 3, akawa anatoka mperaa mperaa kurudi kumuwahi Iqra, kifika kati Flat tire. Akasonyaaa. Akatoa tairia kubadilishaaa. Hangaika hangaika nanwewe tairi limetengamaa kicheki mda saa 5 na dakika 10. Akageuza kumfata Carrina wakarudi nyumbani. Akawa ashamkosa mtoto wa kiarabu. Akajipa moyo kesho nayo siku.

Iqra hakijua walirudi saa ngapi maana alilaa. Asubuhi kawahi kuoga akataka atoke kwenda shule, akawahiwa na Collins nikimpeleka mwenzio nitakupitisha na wewe subiri. Wakajiandaa wakanywa chai wakashibaaa. Lengo la Collins ni kuwa ampeleke Carrina afu apate mazingira ya kubakia na Iqra kwenye gari, sasa kuingia kwenye garo Iqra akamwambia reporting yime yao inawahi so inabid aanze kupitishwa Iqra kwanza ndo Carrina na alishikia mbali kidogo.pp

Shuleni akawa anawaza kaka Collins ana roho nzuri jamaniii. Hajamjua siku nyingi ila tangia amjue huyu kaka ni kumtendea mema tu. Afu kikubwa ni kwamba ana heshima hamuangalii ile mijicho ya chuuu na matamanio kama wanaume wengine akiwemo yule mteja wao sugu. Akawaza na ratiba za Carrina kutoka usiku akawa tu curious kujua anatoka kwenda wapi, anasikiaga tu habari za makumbi ya starehe ila hajawahi kuingiaaa.

Alivotoka shule akaenda kukaa dukani na kufunga hesabu za maduka yoteee na kupeleka bank. Jioni walivofunga akajitia anarudi nyumbani ndo kuchukua tax mpaka kwa kina Carrina. Akamkuta dada wakapiga story. Carrina alikuwa katokaaa. Akaoga na kufua nguo za shulee. Carrina akamtaarifu kuna sleep over siku hio ajiandae wanakuja wenzao itakuwa full shangwe.

Kweli usiku wakaja wenzao, wakawa wamelaa kama watu 7, rahaa si kidogo. Wakaanza kupiga. Story za mabwanaaa! Kila mtu anasimulia bwana wake hivi, bwan wake vileee. Akabakia Iqra peke yake. Wakamuuliza wewe bwana hunaaa? Iqra akasema anae. Wakamwambia kesho yake awatambulishe, aje nae out, yeye na Carian. Kila mtu atatoka na bwana wake. Wakapanga sehemu ya kukutana huo usiku wakesho.

Iqra akajua tu atazisha uonho wowote hio kesho kuwazuga tuuu. Amekaa ametuliaa, hana hili wala lile, si Walter akaja dukani, kama kawaida akongelea mambo ya kutoka wote out. Iqra akakumbuka ile get together akaona kuliko aonekane mshambaaa na awe peke yake bora aende na Walter. Akamuuliza Walter unatokaga usiku? Walter akajua tu kuna upenyoo umejitokeza akaamua hapo hapo akamwambia sanaaa, huweiz amini. Basi Iqra akawambia kesho mimi na rafiki zangu tutakuwa movies, then tutabadili joints kadhaaa. Njoo na wewe tutakuwa wote. Almanusura Walter aimbe HALLELUYA kuu. Akajikaza tu.

Kesho imefika Iqra akavaa hijab yake, na nguo za kawaida tu, Carrina akamuuliza unaenda wapi hivo? Unaenda na nani? Huweiz kutoka na mimi hivooo, njoo nikutengenezaaa. Akamchana nywele vizurii, akaziachiaaa na kumbana nusu. Akampaka make up. Akampa na gauni fupi. Iqra kajiangalia kwenye kioo akakubali yeye ni mzuriii. Ila gauni ikamshinda akawa anajiona kama antembea mtupuuu mtupuuu kabisaaa yaani uchiii wa mnyama. Carrina akampa na socks chupi avalie ndani hilo gauni . Atleast Iqra akapata nguvu ya kutembea. Carrina akakubali hands down wewe ni mzuriii sanaa.

Iqra akiwa chimbani Carrina akaenda kwa driver wao Collins kumbembeleza awaruhusu kutoka na sio hilo tu na kuwapeleka juuu. Collins akakaza walale. Carrina akamwambia Iqra kapendezaaaa, yaani ni mzuriii Collins nakuruhusu uwe na Iqra kwa uzuri ule akiwa an mtu mwingine tofauti na wewe kaka yangu roho itaniuma sanaaa. Hapo anonge maneno yote anajimalizaaa maadamu tu waruhusiwe watoke usiku huo.

Collins akalegeza masharti kwa kuuliza kwa hio huo mtoko upoje na iwaje Iqra aje? Carrina anmwambia kiukweli sikufichi tunaenda Disco na BF wetu, sasa i doubt Iqra ana mtu, so wewe unaweza kuziba hio nafasi na kumkeep company all night long, huwezi jua you mighty get lucky! Hahaaaa! Collins moyoni ni kama alijisemea say no more i am in. Ila huku kwa Carrina akazuga tu, mmmmmmhhh! Sababu sipendi binti kamam yule kubakia mwenywe na yie navowajua mtamtelekeza bora nije kjmlinda kama KAKA MKUBWA namna ile ile ambayo ningekulinda wewe Carrina. Cartina yuko whatever!

Collins akamwambia Cartina muwe tayari in 10 minutes. Carrina akaenda kumuita Iqra chumbani, wakawa wamesimama sebuleni wanamngoja. Iqra akawa anaona aibu kumuangalia Collins usoni sio kwa vazi lile alilolivaa na kichwa wazi namna ile. Akawa tu anaangalia chink. Basi Collins ndo kumfaidiiiii kwa machooo. Akawa ashaanza kudinda mapemaaa kabisaa. Akawaza club atakavo kabambiaaa, na kukahug. Leoooooo! Akajisemea tu moyoni. Akamsifia tu Iqra kapendezaaa.

Wakaenda Cinemaa, baada a hapo ndo sasa wakaenda Mbowe Club, na vibwana vyao vikawa vimetangulia kule sasa. Collins ana uhakia asilimia 200 Iqra hana danga kabisaaa, na yeye ndo atasimamia show, maana aliona wanchelewa kuondoka wale wengine wawape nafasi ajiachie na toto la kiarabu. Akaona kabisaa dalili sio nzuri watu wanamtolea macho yule mtoto sio kidogooo.

Hamad akatokea mkaka akawajia wote hawamjui, ndo Iqra kutambulisha huyu rafiki yangu anitwa Walter. Collins akastukaaa na giza lile hakutaka kuamini masikio yake. Akasogea amuone huyo dogo Walter ndo nani sasa! Kusogea si ndo akajua Walter yule yule wa jeshini mzee mwenzie. Akapanic akasihiwa pozi akajikazaa. Akijafanya kumkomalia Iqra unamjua huyu? Iqra akajibu ndiooooo. Akazidi kuchefukwaaa.

Walter akamsalimia fresh Collins, Collins alijikazaa sanaa sanaa kumjibu. Ila akamjibu hivo hivo sio kwa ubaradhuli ule wa kumpora tonge mdomoni. Wakaingia ndani. Walter furaha yake iko mbinguniiii! Iqra anamwambia mi sijui kuchezaa. Walter akamwambia nifatize mimi usiogope. Basi anmsifia wewe mzuriiisanaaa. Walter sifa zilimiminikaa.

Collins anamfatilia Iqra tu, kilivhozidi kummaliza nguvuuuu kabisaa kabisaa ni Walter anajuaaaaa kudanceee! Yaani ana dance kila mtu anakubali Walter kibokoooooo! Hiiiii! Ana danceeee, yani ana dance mpaka rahaaaa. Collins akawa amekaa kwenye meza anakunywa bia, anaona Walter anavombambia Iqra. Uzalendo ukamshinda, akaenda kuwapora Carrina na Iqra nyumbanii.

Carrina alikasirikaaa, we just got here, how can you do this to us? Alilamika wapiii. Iqra kimyaaa. Collins anachimba mkwaraa ingieni kwenye gariii. Wakaingia. Akaja Walter, Hahaaaaa! Walter akaja kwa heshima na adabu zoote kumiomba Collins ampe mdogo wake Iqra acheze nae kidogo tu. Please za kutosha, na kuomba kwa uungwana mwingi sanaa. Hahahaaa! Moyoni Collins alikuwa anatamani hata kumtoboa macho ila kasimamia kesho shulemda umeenda sanaa. Walter kamuomba kamuombaa mpaka nae akaanza kupanic sema akajia yule Jeshini mzito Walter akasusa akaondoka, Collins akatabasamu moyoni, tabasamu la ushindi. Akawasha gari nyumbanii.

Njiani anagomba gombaaa njia nzimaaa hataki mawasiloano wala suluhu.

ITAENDELEA
 
Back
Top Bottom