JimCarrey
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 214
- 124
Habari za usiku wapendwa.. Mim ni baba wa mtoto mmoja wa kike, leo usiku huu tukiwa tunaingia kulala na mke wangu ikabidi amangalie mtoto Kama amekojoa ili ambadilishe nguo ili tulale.... Wakati anambadilisha nguo akiwa anamchunguza na kufanyia usafi ili amvishe nguo safi ndipo alipogundua mtoto Ana kidoti Kama kipele cheupe ndani ya sehemu ya haja ndogo pale juu kabisa kwenye antenna yake.... Siku nzima ameshinda nae na hakua na kitu hicho na kila akijaribu kukifuta hakitoki...
Kama kuna mwenye ushauri au alowahi kuexperience kitu Kama hiki plz nahitaji msaada... Maana humu kuna wazazi na madaktari pia.... Hata Kama sio mzazi wala daktari ila unafahamu chochote karibu...!!!
Kama kuna mwenye ushauri au alowahi kuexperience kitu Kama hiki plz nahitaji msaada... Maana humu kuna wazazi na madaktari pia.... Hata Kama sio mzazi wala daktari ila unafahamu chochote karibu...!!!