Tafuna punje za vitunguu swaumu kuanzia tano hadi kumi kila unapoenda kulala.Habari!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 week ya pili mfululizo sasa nimepatwa na tatizo la kusikia njaa tena kali sana kila baada ya masaa mawili japo ninakula vizuri tena chakula kingi
Hatari zaidi ninapoamka asubuhi ni kama usiku sijala kitu kwa njaa ninayoisikia msaada tafadhali je ni minyoo au ni tatizo lingine Dawa za minyoo nilikunywa muda mrefu sana!