wanawake wengi tunaachia tupate mimba kwa sababu mbalimbali.wengi tunategesha mimba ili kuolewa,wengine tunategesha kwa mwanaume wenye hela tukidhan kuwa nikizaa nae ndo nitakula hela yake vizur.wengine umri umeenda anaamua kuzaa na mwanaume yeyote ilimradi naye apate mtoto wake.kwa wale waopata...
kila jambo na wakati wake mdogo wangu.mungu katika kujibu maombi yetu huwa hawai wala hachelewi bali hujibu kwa wakati.nakushauri usisikilize maneno ya masengenyo kutoka kwa watu, wala kuangalia huyu kaolewa mi bado hata kama mdogo wako wa tumbo moja .we endelea na ratiba zako na plani zako kama...
shidaaa kwahiyo Diploma na certificate zinafutwa au.jaman hii elimu sijui mwisho wake itakuwa nini.kila wazir anaingia na staili yake kila kukicha jipya.huku majipu yanaendelea kupasuliwa.tupo kama bendela kufa upepo
duuu pole sana ndugu.yan najitahid kuimajin ingekuwa mimi ningefanyaje.mi nimeisha maisha ya hivyo baba ndugu kibao mpaka watoto tunasaulika hata kula chakula kizur ilishindikana ni kula ugali maharage kama shule za boarding.na mwisho baada ya kufanikiwa hakuna aliyetukumbuka zaid ya...
Huwa mtoto anaendelea kunyonyeshwa mpaka mpaka miezi mitatu ya mimba au sita,ila mama unatakiwa ule msosi vizur kwani unaweza kudhoofika.
Baada ya hapo unamuachisha kunyonya kabisa aanzi kunywa ya kopo au uji wa dona uliochunywa na wengine huwa mtoto anachukuliwa eidha na bibi yake au mlezi...
usiwe na wasi ndugu we sio wa kwanza nimewashuhudia wengi,dawa kubwa huwa wanachoma hiyo sindano na wanajifungua salama salimin.na watoto wao wapo na Afya tele
inaelekea elimu ya kutumia kinga huna kila unaekutana nae kavukavu.hiyo dalili mbaya hata uliye mtia mimba namuinea huruma kwani ataletewa sana watoto wa nje.ajiandae.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.