doreenkemy
Member
- Oct 1, 2014
- 15
- 35
wala usiwaze umeyataka mwenye.we subiri mke wa pili huyo,hakuna aja ya kunyata kwenda ku duu nae.
I am taken my dear...poleeee.umri unaendana uwe baby na mke wangu ..nakuja inbobo
DONT WORRY RE-TAKE PROCESS IN FRONTLINEI am taken my dear...poleeee.
Kijana ni mmi ndo mwenye huyo mke jiandae nakuja [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Yaani mie nawaza unazidi kunikandia.
Ulitaka afanye nini? Nasubiri mwaliko wa jamaa wakati anakuweka sawa ili nikuchukue vi picha kadhaa.Yaani mie nawaza unazidi kunikandia.
Ndo maana kuna wakati nasikia harufu za nepi humu, siku nyingine nasikia harufu za maziwa, juzi kati ile na login nakutana na mapampasi kibao, kumbe kumejaa watoto mimi sikujua kabsaaaaaaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimekuelewa mm...!!!hahahaha dogo una miaka mingapi usiassume kuwa kwa vile nimesema ndo nilikuwa namaliza mwaka wa kwanza basi niliingia chuo nikitoka shule nilitokea kazini ndo mana nikasema wewe ni mtoto
Same to me aiseeNa mi nilikua form three mwaka huo! Ko huyu atakua age mate wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Same to me aisee
Sawa Dada geniverosmuwe mnatuamkiaga aiseeehhh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ndiyoooSawa Dada geniveros