Recent content by doreenbryn

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ninavyoendelea kumdanganya huyu mrembo

    Hivi wewe unaesema akili zao za kuvukia balabala za kwako make kuunganisha watu wote hao akiwemo mke wako una huruma na watoto wako huogopi ukimwi unapotukana wanawake hivo unamtukana na mama ako akili yako ni ya kuvukia mtaro tu huna jipya
  2. D

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    Bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe
  3. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa kama claudio Makelele enzi zile akiwa pale Chelsea

    Wewe ni ukawa kilichokufurahisha nini husomeki
  4. D

    JamiiForums Tanzania GE2015 Lowassa ashindwa kuhutubia Geita

    Huo mdahalo ni lini nisaidieni
  5. D

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee amwita Dk. Magufuli Jembe

    Hata chadema watampa kura Magufuri tu hamna namna nyingine
  6. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nipeni bakora niwachape mafisadi!

    Ulishawahi kuona anaejichapa hakuwa na uhakika kipi anazungumza
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kweli nimeamini ulikuwa moto wa mabua

    Uko sahihi kabisa hao ukawa sio
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake wote wanajiuza ila kila mmoja hutumia njia yake tu ya kujiuza!!

    Umemekosa sera na mama ako na dada zako wanajiuza
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kutoka uwanja wa Taifa: Mechi ya Tanzania vs Nigeria leo tarehe 05/09/2015

    Tim gan imefunga?
  10. D

    JamiiForums Tanzania UKAWA waanza kuchangisha fedha baada ya ukata Mkali

    Hawa wakipewa nchi tumekwishaaaaaaaaaa
  11. D

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa karibu ACT-Wazalendo

    Wana ukawa wa ukweli wako kimya
  12. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Hayo si mapenzi tena ni mahaba kasema mwenyewe
  13. D

    JamiiForums Tanzania Unaweza kutueleza ni kwanini unaichukia CCM?

    Hata hao wakichaguliwa changamoto zilezile kila mmoja ni kuchumia tumbo lake na watoto wake tu
Back
Top Bottom