Niko Safarini naelekea Jimbo la Moshi Mjini (Moshi) kushiriki kampeni za CCM!

Wanabodi kwa ujumla,
Kwanza naomba mnitakie safari njema. Nasafiri kutoka Dodoma kuelekea Moshi Mjini
kwa watani zangu na lengo la safari ni kwenda kushiriki kampeni za uchaguzi.

Pili, Baada ya kuhakikisha mazingira ya ushindi wa kishindo wa CCM katika Jimbo la
Dodoma Mjini sasa tunapeleka nguvu sehemu nyingine ambayo ni Moshi Mjini. Kijana
mwenzangu na Mbunge anayesubiri tuu kuapishwa Anthony Mavunde tayari ameshashinda
kwa hapa Dodoma. Mkoa wa Dodoma haujawahi kutoa Mbunge ambaye hatokani na CCM
hiyo ni historia na haiji kutokea. Kwa kifupi tunasema "Dodoma ni CCM na CCM ni Dodoma"

Tunakwenda Moshi Mjini kuhakikisha Jimbo hilo linarudi mikononi mwa ccm ili nao wafaidi mema
ya CCM. Nitashiriki katika kampeni katika kata zote 21, ili kuhakikisha Mh Davis Mosha anashinda
katika Ubunge na pia nitahakikisha ccm inapata madiwani wengi ili Manispaa hiyo iongozwe na CCM.

KWA TAARIFA YENU: Sijawahi kwenda kushiriki uchaguzi katika Jimbo lolote na CCM ikashindwa huo
ndio uzoefu wangu na hili pia naahidi mtakuja kuniambia baada ya uchaguzi.

Kwa wale vijana wenzangu wa ccm jimbo la moshi mjini, nitakuwa bega kwa bega na nyie bila kuchoka
tutatembea usiku na mchana katika kata zote 21 mpaka tuhakikishe tunashinda.
UMOJA NI USHINDI.

Mandla,

Ndesapesa hatumuwezi Moshi mjini
 
Naomba umwambie Mosha awalipe boda boda aliowakodisha juzi,hlf naomba umwambie hawezi kushinda hapa Moshi akatafute sehem nyngne.

Teeeeh, teeeeeh, teeeeeeh mosha alifikiri ni kufunga tairi za malori?
 
Wanabodi kwa ujumla,
Kwanza naomba mnitakie safari njema. Nasafiri kutoka Dodoma kuelekea Moshi Mjini
kwa watani zangu na lengo la safari ni kwenda kushiriki kampeni za uchaguzi.

Pili, Baada ya kuhakikisha mazingira ya ushindi wa kishindo wa CCM katika Jimbo la
Dodoma Mjini sasa tunapeleka nguvu sehemu nyingine ambayo ni Moshi Mjini. Kijana
mwenzangu na Mbunge anayesubiri tuu kuapishwa Anthony Mavunde tayari ameshashinda
kwa hapa Dodoma. Mkoa wa Dodoma haujawahi kutoa Mbunge ambaye hatokani na CCM
hiyo ni historia na haiji kutokea. Kwa kifupi tunasema "Dodoma ni CCM na CCM ni Dodoma"

Tunakwenda Moshi Mjini kuhakikisha Jimbo hilo linarudi mikononi mwa ccm ili nao wafaidi mema
ya CCM. Nitashiriki katika kampeni katika kata zote 21, ili kuhakikisha Mh Davis Mosha anashinda
katika Ubunge na pia nitahakikisha ccm inapata madiwani wengi ili Manispaa hiyo iongozwe na CCM.

KWA TAARIFA YENU: Sijawahi kwenda kushiriki uchaguzi katika Jimbo lolote na CCM ikashindwa huo
ndio uzoefu wangu na hili pia naahidi mtakuja kuniambia baada ya uchaguzi.

Kwa wale vijana wenzangu wa ccm jimbo la moshi mjini, nitakuwa bega kwa bega na nyie bila kuchoka
tutatembea usiku na mchana katika kata zote 21 mpaka tuhakikishe tunashinda.
UMOJA NI USHINDI.

Mandla,
Moshi wala usithubuto unajisumbua bure
 
Mwaka huu ma ccm mmechanganyikiwa sana kwa moto wa lowasa, jiandaeni kisaikolojia maana baada ya uchaguzi kutakuwa na safari ya kuwasindikizeni the hague
 
Mkuu isije ikawa ni mbinu ya Mwigulu kukutuma kwenda Moshi ili huku nyuma amfaudu mkeo!!
 
Wanabodi kwa ujumla,
Kwanza naomba mnitakie safari njema. Nasafiri kutoka Dodoma kuelekea Moshi Mjini
kwa watani zangu na lengo la safari ni kwenda kushiriki kampeni za uchaguzi.

Pili, Baada ya kuhakikisha mazingira ya ushindi wa kishindo wa CCM katika Jimbo la
Dodoma Mjini sasa tunapeleka nguvu sehemu nyingine ambayo ni Moshi Mjini. Kijana
mwenzangu na Mbunge anayesubiri tuu kuapishwa Anthony Mavunde tayari ameshashinda
kwa hapa Dodoma. Mkoa wa Dodoma haujawahi kutoa Mbunge ambaye hatokani na CCM
hiyo ni historia na haiji kutokea. Kwa kifupi tunasema "Dodoma ni CCM na CCM ni Dodoma"

Tunakwenda Moshi Mjini kuhakikisha Jimbo hilo linarudi mikononi mwa ccm ili nao wafaidi mema
ya CCM. Nitashiriki katika kampeni katika kata zote 21, ili kuhakikisha Mh Davis Mosha anashinda
katika Ubunge na pia nitahakikisha ccm inapata madiwani wengi ili Manispaa hiyo iongozwe na CCM.

KWA TAARIFA YENU: Sijawahi kwenda kushiriki uchaguzi katika Jimbo lolote na CCM ikashindwa huo
ndio uzoefu wangu na hili pia naahidi mtakuja kuniambia baada ya uchaguzi.

Kwa wale vijana wenzangu wa ccm jimbo la moshi mjini, nitakuwa bega kwa bega na nyie bila kuchoka
tutatembea usiku na mchana katika kata zote 21 mpaka tuhakikishe tunashinda.
UMOJA NI USHINDI.

Mandla,
Kwani wewe ni nani?Acha kujitoa ufahamu,aligalagazwa Mkapa na mitusi yake yote hadi akajaribu kuifitinisha familia ya Mwalimu kule Arumeru Mashariki na bado mkaangukia pua,sasa wewe una nini hadi useme utalirudisha jimbo la Moshi mjini?Hata ungeongozana na Mkubwa wa tume hilo jimbo mtaishiwa kuliwa hela zenu tu kama tunavyozitafuna "sadaka za mama.
 
nenda kapige hela za billionea! kwanini usiende Kawe,Ubungo,Iringa, au jimbo lolote linalohitaji kukombolewa kutoka upinzani kama unavyodai!

Nitajie Jimbo ambalo toka vyama vingi vianze liko upinzani zaidi ya Moshi Mjini???

Mandla.
 
Kwani wewe ni nani?Acha kujitoa ufahamu,aligalagazwa Mkapa na mitusi yake yote hadi akajaribu kuifitinisha familia ya Mwalimu kule Arumeru Mashariki na bado mkaangukia pua,sasa wewe una nini hadi useme utalirudisha jumbo la Moshi mjini?Hats ungeongozana na Mkubwa tume hilo jumbo mtaishiwa kuliwa hela zenu tu kama Kama tunavyozitafuna "sadaka za mama.
na alivyomkampenia mama minde kipindi kile lakini chalii wamoshi wakampa ndesa
 
Kwani wewe ni nani?Acha kujitoa ufahamu,aligalagazwa Mkapa na mitusi yake yote hadi akajaribu kuifitinisha familia ya Mwalimu kule Arumeru Mashariki na bado mkaangukia pua,sasa wewe una nini hadi useme utalirudisha jumbo la Moshi mjini?Hats ungeongozana na Mkubwa tume hilo jumbo mtaishiwa kuliwa hela zenu tu kama Kama tunavyozitafuna "sadaka za mama.

Hivi mkapa yuko wapi jamani baada ya kututukana kaamua kujificha kabisa?
 
Wanabodi kwa ujumla,
Kwanza naomba mnitakie safari njema. Nasafiri kutoka Dodoma kuelekea Moshi Mjini
kwa watani zangu na lengo la safari ni kwenda kushiriki kampeni za uchaguzi.

Pili, Baada ya kuhakikisha mazingira ya ushindi wa kishindo wa CCM katika Jimbo la
Dodoma Mjini sasa tunapeleka nguvu sehemu nyingine ambayo ni Moshi Mjini. Kijana
mwenzangu na Mbunge anayesubiri tuu kuapishwa Anthony Mavunde tayari ameshashinda
kwa hapa Dodoma. Mkoa wa Dodoma haujawahi kutoa Mbunge ambaye hatokani na CCM
hiyo ni historia na haiji kutokea. Kwa kifupi tunasema "Dodoma ni CCM na CCM ni Dodoma"

Tunakwenda Moshi Mjini kuhakikisha Jimbo hilo linarudi mikononi mwa ccm ili nao wafaidi mema
ya CCM. Nitashiriki katika kampeni katika kata zote 21, ili kuhakikisha Mh Davis Mosha anashinda
katika Ubunge na pia nitahakikisha ccm inapata madiwani wengi ili Manispaa hiyo iongozwe na CCM.

KWA TAARIFA YENU: Sijawahi kwenda kushiriki uchaguzi katika Jimbo lolote na CCM ikashindwa huo
ndio uzoefu wangu na hili pia naahidi mtakuja kuniambia baada ya uchaguzi.

Kwa wale vijana wenzangu wa ccm jimbo la moshi mjini, nitakuwa bega kwa bega na nyie bila kuchoka
tutatembea usiku na mchana katika kata zote 21 mpaka tuhakikishe tunashinda.
UMOJA NI USHINDI.

Mandla,

Nakutakia Safari Njema Mungu akubariki Sanaa kwani Watu wamechoka ugomvi Mwaka mzima ,matusi Mwaka mzima Karibu sana
 
Nipo Moshi..rudi tu swaiba..huku habari tunayoijua ni chadema tu,kura kwa jafari ndio habari ya mjini..Moshi ni chadema, chadema ni Moshi
Nimejipanga vizuri sana kwa kila sekta. Siwezi kurudi nyuma, mimi nina uzoefu na siasa.

Mandla.
 
Back
Top Bottom