Kweli nimeamini ulikuwa moto wa mabua

Kweli nimeamini ulikuwa moto wa mabua

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
13,433
Reaction score
21,446
Karibu miez miwili toka kampeni zianze wapinzani hasa ukawa walianza kampeni zao kwa mbwembwe nyingi sana, tuliona watu wengi wakihudhuria kwenye mikutano yao, lakini kadri uchaguzi unavyokaribia naona watu wamezidi kuwakimbia UKAWA baada ya kuona sera zao ni mbovu

Mfano: Lowassa kipaumbele chake alitamka kuwa atamtoa Babu Seya na Uhamsho. Said Kubenea naye ambaye anagombea ubunge kwa ticket ya chadema Ubungo kipaumbele chake amedai kuwa ni kutaja majina ya ESCROW na Richmond kwa vile atakuwa na Kinga ya bunge huku wananchi wa Ubungo wakisumbuliwa na shida ya maji toka enzi za Mnyika aliyelikimbia jimbo hilo baada ya kushindwa kutatua kero za wananchi wake.

Kutokana na mfululizo wa Sera mbovu za ukawa idadi kubwa ya wananchi wamezidi kumwamini zaidi Dr John Pombe Magufuri akiwa kama tumaini lao.

Naona kauli ya Jk kwamba ule ni moto wa mabua imetimia sasa.
 
Mtaa ninaoishi kuna wakina mama majirani zangu kama watano ambao walikuwa huwaambii kitu juu ya Magufulu

Nimeshangaa sana jioni jana wote wakimzungumzia Lowasa kama tumaini walilobaki nalo huku mmoja akionekana bado kuwa na msimamo wake

Alinifurahisha mmoja akinukuu bango moja kuwa magufuli atakuwa kama decorder (king'amuzi) lakini remote ya kum-control wanayo wengine

CCM msijipe moyo kwenye keyboard za laptop, tangazeni sera huko mtafute kurejesha imani ya Chama kwa Wananchi....katika.majadiliano yao ni dhahiri wanamwamini na hawana shida na Magufuli ila shida kubwa ni Chama ndiyo kinaonekana tatizo
 
Kama magufuli sio ccm tutamchagua lakini kama ni ccm asahau
 
Nimependa hapo mwishon tu... Na kwa vile wanaumwamini na hawana shida nae bas watampa tu... Wakina mama tena!
 
Karibu miez miwili toka kampeni zianze wapinzani hasa ukawa walianza kampeni zao kwa mbwembwe nyingi sana, tuliona watu wengi wakihudhuria kwenye mikutano yao, lakini kadri uchaguzi unavyokaribia naona watu wamezidi kuwakimbia ukawa baada ya kuona Sera zao ni mbovu mfano :Lowasa kipaumbele chake alitamka kuwa atamtoa Babu Seya na Uhamsho.... Said Kubenea naye ambaye anagombea ubunge kwa ticket ya chadema Ubungo kipaumbele chake amedai kuwa ni kutaja majina ya escrow na Richmond kwa vile atakuwa na Kinga ya bunge huku wananchi wa Ubungo wakisumbuliwa na shida ya maji toka enzi za Mnyika aliyelikimbia jimbo hilo baada ya kushindwa kutatua kero za wananchi wake..... Kutokana na mfululizo wa Sera mbovu za ukawa idadi kubwa ya wananchi wamezidi kumwamini zaidi Dr John Pombe Magufuri akiwa kama tumaini Lao....
Naona kauli ya Jk kwamba ule ni moto wa mabua imetimia sasa.
Eddo anawaumiza vichwa sana mmesema mgonjwa tumempenda ivo ivo na mnashangaa hajawahi kuanguka jukwaan wala kukauka sauti, mmesema fisadi uwo wimbo unatuburudisha nyoyo zetu, Mara mzee jaman sie tumependa tumekufa tumeoza...EDDO EDOO LOWASSA
 
karibu miez miwili toka kampeni zianze wapinzani hasa ukawa walianza kampeni zao kwa mbwembwe nyingi sana, tuliona watu wengi wakihudhuria kwenye mikutano yao, lakini kadri uchaguzi unavyokaribia naona watu wamezidi kuwakimbia ukawa baada ya kuona sera zao ni mbovu mfano :lowasa kipaumbele chake alitamka kuwa atamtoa babu seya na uhamsho.... Said kubenea naye ambaye anagombea ubunge kwa ticket ya chadema ubungo kipaumbele chake amedai kuwa ni kutaja majina ya escrow na richmond kwa vile atakuwa na kinga ya bunge huku wananchi wa ubungo wakisumbuliwa na shida ya maji toka enzi za mnyika aliyelikimbia jimbo hilo baada ya kushindwa kutatua kero za wananchi wake..... Kutokana na mfululizo wa sera mbovu za ukawa idadi kubwa ya wananchi wamezidi kumwamini zaidi dr john pombe magufuri akiwa kama tumaini lao....
Naona kauli ya jk kwamba ule ni moto wa mabua imetimia sasa.

nadhani huelewi vyena neno kipaumbele!!!!!!!!!!!
 
Wana hali mbaya kwa kweli ... Ingekuwa watoto wanaruhusiwa kupiga kura basi wangepata nyingi sana maana sera zao za kitoto mno.

Tuna hali mbaya sie au nyie? Mnaotumia nguvu kubwa ili mbaki madarakani Mara mmeongeza watu time ya uchaguzi mara mmebadilisha wakuu Wa mikoa...kweli manahangaika hamna pa kushika...
 
Hv pale Ikulu ofisı za Raıs zipo ground floor?Huwa naona vighorofa km viwıli au vıtatu.Jamaa anashikiliwa kupanda helikopta,sasa sıjuı!!!Yangu masıkıo.
 
Karibu miez miwili toka kampeni zianze wapinzani hasa ukawa walianza kampeni zao kwa mbwembwe nyingi sana, tuliona watu wengi wakihudhuria kwenye mikutano yao, lakini kadri uchaguzi unavyokaribia naona watu wamezidi kuwakimbia ukawa baada ya kuona Sera zao ni mbovu mfano :Lowasa kipaumbele chake alitamka kuwa atamtoa Babu Seya na Uhamsho.... Said Kubenea naye ambaye anagombea ubunge kwa ticket ya chadema Ubungo kipaumbele chake amedai kuwa ni kutaja majina ya escrow na Richmond kwa vile atakuwa na Kinga ya bunge huku wananchi wa Ubungo wakisumbuliwa na shida ya maji toka enzi za Mnyika aliyelikimbia jimbo hilo baada ya kushindwa kutatua kero za wananchi wake..... Kutokana na mfululizo wa Sera mbovu za ukawa idadi kubwa ya wananchi wamezidi kumwamini zaidi Dr John Pombe Magufuri akiwa kama tumaini Lao....
Naona kauli ya Jk kwamba ule ni moto wa mabua imetimia sasa.

UKO VERY BIased!!! jana uliangalia itv news!! ni kuwa morogoro alivunja record ya umati wa watu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! uwongo acheni!!
 
Serikali ya Magufuli itafanya hivi na itafanya vile,good. Sasa angeenda mbali na kueleza serikali ya Kikwete ambayo Nayo ni ya ccm hiyohiyo kwa mini haikufanya iliyosema? Au wao kazi ni mdomoni tuu?
Maana kibwagizo chao ni " ccm ni ileile na mambo ni yaleyale!" Sasa kwa mini anazuga wananchi?
Wameshafanya maamuzi wanasubiri siku tuu
 
Karibu miez miwili toka kampeni zianze wapinzani hasa ukawa walianza kampeni zao kwa mbwembwe nyingi sana, tuliona watu wengi wakihudhuria kwenye mikutano yao, lakini kadri uchaguzi unavyokaribia naona watu wamezidi kuwakimbia ukawa baada ya kuona Sera zao ni mbovu mfano :Lowasa kipaumbele chake alitamka kuwa atamtoa Babu Seya na Uhamsho.... Said Kubenea naye ambaye anagombea ubunge kwa ticket ya chadema Ubungo kipaumbele chake amedai kuwa ni kutaja majina ya escrow na Richmond kwa vile atakuwa na Kinga ya bunge huku wananchi wa Ubungo wakisumbuliwa na shida ya maji toka enzi za Mnyika aliyelikimbia jimbo hilo baada ya kushindwa kutatua kero za wananchi wake..... Kutokana na mfululizo wa Sera mbovu za ukawa idadi kubwa ya wananchi wamezidi kumwamini zaidi Dr John Pombe Magufuri akiwa kama tumaini Lao....
Naona kauli ya Jk kwamba ule ni moto wa mabua imetimia sasa.

Kua mkweli siku zote niadhina yako kwamungu wetu. Kipaumbele cha mheshimiwa lowassa chakwanza ni ELIMU chapili ni ELIMU na chatatu pia ni ELIMU. Hivyo ndivyo tulivisikia pale jangwani.
 
Mleta propaganda amekosea kidogo...karibu angefanikiwa kutuongopea
 
Kama ukawa wameshashindwa si uanze kufurahia ushindi? Mbona humwongelei Dovutwa, Mtikila etc Mdomoni ukawa - Lowasa, ukawa Lowasa, ya nini?
 
Kua mkweli siku zote niadhina yako kwamungu wetu. Kipaumbele cha mheshimiwa lowassa chakwanza ni ELIMU chapili ni ELIMU na chatatu pia ni ELIMU. Hivyo ndivyo tulivisikia pale jangwani.

Hukuwepo mkutanoni ww tuulize tuliokuwepo tena hapo nime summarize tu ila zipo Sera nyingi za ovyo mjomba yenu alizitamka ambazo only a child of 12 yrs and below can understand them.
 
Back
Top Bottom