Recent content by DoPe

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 2030: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki

    huyo waziri wa utamaduni hana mamlaka ya kuifungia ngoma ya Roma msanii msomi anyejua ni nini maana ya sanaa' Safi sana Roma mtoto wa mkulima zidi kuandika vitu vya maana kama hivyo. Wimbo nimeusikia na niimeununua kwa buku tatu tu. Fanyeni hivy dogs kwani ndivyo tunavyotambulika na hao...
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Slama Jabiri aikashifu Yanga

    Hakukosea wala nn yupo sahihi!!!11111
  3. D

    JamiiForums Tanzania Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

    hata mm nikiwekwa kwenye madaraka, siwezi kukuweka wewe wakati mtoto wangu anaweza kukaa hapo au mtoto wa mjomba anaweza' kufa kufaana
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hii Ni kweli Kuhusiana na Sigara??

    hamna lolote ni ulimbukeni tu na ujinga, kwani hamna uhusiano wa hasira na kuvuta sigara. Bora KUVUTA BANGI KULIKO kuvuta sigara kwani ina chemical sana..(
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

    yalaaa! huyo ndo handsome boy..mzee wa kuuza sura taifa baadaaeee
  6. D

    JamiiForums Tanzania Chadema huu ni wakati wa mabadiliko

    wana m4c wanachokipigania ni wananchi wa tanzania kuelezwa ilikuwa kuwa aje mpaka tukaungana na sio mengine. Unajua watanzania wengi wao wanachojua ni kuchanganywa kwa udongo basi,,; kumbe nyuma ya pazia kuna mengi..(
  7. D

    JamiiForums Tanzania Je Mwazijua Hizi Tovuti???....

    umekosa cha kusema au
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ah!!!! Jaman yamenikuta msaada plz

    hawana alama yoyote, ila mimi mwana mke wangu wa kwanza kujamiana naye k -yake haijabadilika ipo vilevile mnato.. ILA eti nimesikia akija jifungua tu lazima iongezeke, nikafanya utafiti kwa wakubwa zangu wakaniambia kuwa ni lazima iongezeke akijifungua kupitia uke.. Akitaka uke wake usiongezeke...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Uko wapi wa kunitoa Upweke?

    vipi umeshampata?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Uko wapi wa kunitoa Upweke?

    if only i would know what????????
  11. D

    JamiiForums Tanzania Madaktari Bingwa nao wagoma

    huelewi nn sasa????????/
  12. D

    JamiiForums Tanzania maziwa madogo (matiti)

    oooohho waooo. mjo unipe hiyo kazi
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete, thibitisha au kanusha

    :shetani: ACHA KOROPOKA CHALII YANGU KWANI INGEKUWA NI WW, BABA YAKO NI RAIS UNGEJENGA CHUMBA KIMOJA TU. KAA UKIJUA KUA YEYE ANA NAFASI KUBWA SANA YA KUPATA MICHONGO TAZANIA NA NJE YA TANZANIA NI HILO TU TAFAKARI YEYE KWA DAKIKA KU DEPOSIT MAMILION SIONI JAMBO LA AJABU:flypig:
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania i love u so much please understand me

    Ukisusa wenzio wala, njoo nikukune hicho kidonda kinachokuwasha lol..; raha ya kidonda ipate mkunaji..(
  15. D

    JamiiForums Tanzania Madaktari Bingwa nao wagoma

    Sisi walipa kodi ndo tuna athirika, ila mafidi wata enda kwenye hospital zao wanazo miliki kwa kuzombea huko dawa zetu..ILA ipo siku tu yataisha kwani hamna marefu yasiyo na mwisho..
Back
Top Bottom