Recent content by dontgiveup

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majeruhi wa mapenzi, tushauriane tufanye nini

    Ni kama yapi hayo?
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majeruhi wa mapenzi, tushauriane tufanye nini

    Unaweza ukadhani kuwa ni mtu sahihi kwako,ukampenda,kumjal kwa kila hali,kumheshim na kuthamini lakini mwisho wa cku yanajiridia yaleyale, kwa kweli inaumiza sana hadi unakata tamaa
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    Hivi dada una akili timamu kweli? Af unajiita msomi? Wasomi hawapo kama wewe, shame upon you! Nenda kwa huyo sharo uone mziki wake!
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania tujengeneni nchi yetu kwa kizazi,; tuacheni kuoa/kuolewa na watu wafupi

    Unamkufuru Mungu ndugu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa serikali za mtaa: Wakurugenzi watano wafukuzwa kazi

    CCM ni zaidi ya uijuavyo
  6. D

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu niliyemkopesha anataka kunidhulumu, Nifanyeje arudishe pesa yangu?

    Nimekusoma mkuu Tyta nitajaribu kufanya hivyo, nashukuru sana wadau kwa ushauri wenu
  7. D

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu niliyemkopesha anataka kunidhulumu, Nifanyeje arudishe pesa yangu?

    Habari wana JF, Miezi kama miwili hivi iliyopita kuna jirani yangu alikuja nyumbani akaniomba nimkopeshe laki sita kwani ana matatizo ya kifamilia na aliahidi kuwa akipokea mshahara mwez unaofuata atanirudishia. Mimi bila kinyongo nilimpa ile ela na niliamin atanirudishia kwan anaonekana ni...
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majirani na rafiki wa mke wangu wanadai nimehusika kuchota mabilioni ya escrow

    Tumewazoea, mnapenda sana kujisifia na kujikweza
  9. D

    JamiiForums Tanzania CCM kwachafuka,mchawi anatafutwa

    Rushwa wanatoa na bado wanapigwa chini,inauma sana.R I P CCM
  10. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Uchaguzi Serikali za Mitaa - Dec 14, 2014

    Habari za asubuhi wandugu. Mbunge wa CCM Mtwara mjini Murji jana kagawa elfu ishirini ishirini kwa vijana wa mtaa wa kizota hapa Mtwara na kina mama na wazee kuambulia kofia, tisheti na elfu tano tano. Hayo yamefanyika wakati mbunge huyo alipokuwa akifunga kampeni za CCM mkoani hapa. Kazi kweli...
  11. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu kimerushwa iko, kikuuma jirekebishe mwanamke

    Du! Napita
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu ndio mpenzi nilie nae

    Kama hivyo vitu havifanyi kwako basi kuna mwenzako anfanyiwa,akili kichwani
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Nashukuru sana wana jf kwa mawazo yenu.nitayafanyia kazi
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Habari wana JamiiForums. Nina mchumba mwanajeshi ambaye kwa sasa yupo mkoa tofauti na mimi. Uchumba wetu una miaka miwili sasa. Mwanzoni tulikuwa tunawasiliana vizuri lakini ghafla mawasiliano yakawa magumu kwa upande wake, kwani wakati mwingine nikimpigia simu hapokei na nikimtumia meseji...
  15. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ni kiumbe katili kuliko hata unavyofikiria

    Ukatili wa mwanamke unasababishwa na mwanaume hasa kwenye suala zima la mapenzi, na mifano hai ipo
Back
Top Bottom