Huyu ndio mpenzi nilie nae

Huyu ndio mpenzi nilie nae

Si sahihi kuendelea kukaa na huyo loser.

Njoo kwa baller ule maisha.

Trips za South Beach (siyo ile ya Kigamboni, no no no), Rodeo Drive, shopping Buckhead na kila aina ya bata imaginable.

Naona box limekukubali
 
Make him do what you want...muwekee mazingira kwa kufanya wewe ndio tatizo,as long umesema unampenda die on his hands.....but kwa haraka wewe ndio tatizo,true love never counts bads but goods,kma unafikia hatua ya kuanisha hutojal hata kama akikufanyia zuri lipi,,kwa upande wa pili mapenz huja automatic cha kukushaur tafuta relation nyingine am sure 100 petrcent hapo ulipo sio sahihi na ndio mana huridhiki hata kwa kidogo anachokupa so kuliko kuendelea kusbir mvua wakat hakuna mawingu fanya maamuz magumu now....


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nyote ni wadogo sana na hamjajitambua bado. Muoneni mtu anayeitwa kungwi awashauri. Mtaona ni jinsi gani nyote mnachemka. Hata wewe unayejifanya umevijua vyote utaona ulikuwa kiwango cha chini. Kwa kawaida unafurahia kinacholika. Huenda wewe ni "frigid' (asiyesisimka hata kwa tashkota na matwari). usilaumu sana hivyo tafuteni suluhu huenda mkafurahia maisha sana baadaye. Nawatakia fanaka.
 
Dada mapenzi yanatoka moyoni na siku vinywani mwa wengine kama mwenyewe ushaona hakufai hata ukipewa ushauri hapa naona kama haisaidii.,.

Cha msingi kama vipi chapa mwendo wala sio dhambi jamaa atampata mwenzie asiyewaza kesho kama yeye
 
Pole sana wanasema mapenzi ni kama upofu wale wnaopendwa huwa hawajali na kurudisha upendo kwa mwenzi wake. Usifanye haraka kumuacha tafuta mazingira ambayo ni tulivu then mkalishe mweleze kila ulilonalo ndani ya nafsi yako halafu uone atakujibu nini baada ya hapo kama hakuna changes zozote,angalia ustaarabu mwingine tu kama akiendelea hivyo atakuaja kukuumiza sana baadae.
 

Mlianza kuonjana mapema sana.. Mlianza ana miaka 22 na wewe 19 ambao ni umri wa foolish age bado. Ni wazi jamaa hana mapenzi yeyote kwako kwani msingi wa penzi lenu ambao ni genye umekwisha na kutoweka. Jamaa ameshaanza kutafuta wa kumpenda kuwa mke na ni wazi haupo kwenye mapigo yake. Kistaarabu toka nje ya box upate mwanamme atayekuona kama mwanamke na akupende kwa dhati ya moyo wake ufaidi raha ya kuumbwa mwanamke. Uking'ang'ania utajutia. Pili inawezekana jamaa hajui mapenzi kama ilivyo wewe japo unamzidi kwa kuangalia Tamthilia mbalimbali ktk TV na kutamani yale maisha ambapo hapa utakua unaingia choo cha wanaume tena site ya ujenzi.
 
acha kupeperusha njiwa wa watu.....
Njiwa kishajipeperusha mwenyewe labda amuwahi na manati ya kisogo....
Madame Imani 20141109_144948.jpg
 
Ndo tatizo mnakutana m1 wa bara mwingine wa Pwani, inabidi m1 awe mwalimu hapo
 
Mwaka juzi nilisema tena hivi.....'Natamani ningekufahamu' hadi leo natamani cause huishi vituko. Real you make my 5yrs Anniversary of marriage today much more happy.
Wow!!!happy 5th anniversary kaka akee Mungu akuzidishie furaha katika ndoa yako....
 
una uhakika kama wewe sio chanzo cha matatizo hayo? wewe unajua kucare, unajua kubembeleza, ni mjuzi kitandani miaka mingapi? unapenda kudiscus future yenu kama mwanamke unayetaraji kuwa mama au siku zote kulalamika tu???????????????????
 
Mambo mengine tusiwe walalamikaji tu,
aya yote uliyoyaeleza na mengine umewahi kumfanyia yeye au unaangalia kwa upande wako tu.
UNAPOSEMA WA NINI RAFIKI ZAKO WANASEMA TUTAMPATA LINI?
ko unapofanya uamuzi fikiria mara mbili mbili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom