Recent content by donge

  1. D

    Maeneo yenye baridi la kufa mtu Tanzania

    Kigoma eneo la Manyovu nako baridi lake si mchezo.
  2. D

    Uchaguzi 2020 Lindi: Majengo ya Serikali yachomwa, magari yaharibiwa kisa Uchaguzi

    ITV waliripoti hii taarifa juzi kwenye taarifa yao ya habari ya saa 2.
  3. D

    Wizara ya Elimu iifuatilie Shule ya Fountain Gate Dodoma

    Hii shule ya Tulia nasikia ni ya masista wa St.Gema, ambao pia ni wamiliki wa hospital ya St.Gema. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. D

    Unafungia harusi Mjini badala la Kijijini ulikotoka eti kisa washikaji

    Mimi niliachana kabisa na hii kasumba,washikaji zangu niliwaeleza kwa uwazi kabisa kuwa ndoa yangu itafungiwa kijijini kwetu atakayeweza kunichangia fine atakayeshindwa pia fine. Changamoto kidogo ilikuwa kwa mke wangu ambaye kwa asili amezaliwa na kukulia mjini,nilipomueleza kuhusu mpango...
  5. D

    Kigoma yaanza kufunguka

    Barabara ya Simbo Ilagala mpaka Kalema Rukwa ni ya muhimu sana kwa uchumi wa watu wa kusini lakini haizungumziwi popote na wabunge wote wawili wa eneo hili nikama hawapo.
  6. D

    Lukuvi kufanya maamuzi magumu Ijumaa uuzwaji wa kiwanja cha Kanisa Katoliki kwa bilionea wa kilokole pale msimbazi centre

    Ukimsikiliza vizuri yule mzee aliyetambulishwa na ITV kama mzee wa kanisa Katoliki japo kanisa katoliki halina wazee wa kanisa, alieeleza vizuri kuwa eneo lile kanisa walilikabidhi serikali chini ya uongozi wa Askofu Msaidizi wa wakati huu Dr. Methodius Kilaini kwa sharti kuwa eneo hilo lijengwe...
  7. D

    Jinsi wauza Nyama Buchani wanavyowaibia wateja

    Tegeta kwa ndevu pale ni balaa, niliwahi kununua nyama kilo 3, nikaenda kwa mama muuza mchele nikamuomba anipimie ile nyama kwenye mzani wake ukasoma 2.25 kg nikarudi kwenye ile bucha nikawaeleza waipime tena upya maana na mashaka na kipimo huku nikiwa mkali kweli kweli, wale vijana walichukua...
  8. D

    Hongera TTCL

    TTCL kwa sasa ni moto!!!
  9. D

    DAR: Mmoja afariki baada ya Fuso kuangukia Toyota Starlet

    Njiapanda ya mbuyuni, ni njiapanda ya barabara ya Kunduchi na Salasala barabara kuu ya Bagamoyo kabla ya Tegeta, ni kweli ajali hiyo imetokea nimepita hapo alfajiri na kukuta hali hiyo.
  10. D

    Haya yanahuzunisha sana humu duniani

    Asante kwa somo nzuri.
  11. D

    SUMATRA! SUMATRA!hawa watu wamejisahau kabisaa waangaliwe upya hawa.

    Kigoma kwenda Dodoma utatozwa nauli ya Dar, ni ajabu kabisa.
  12. D

    Wanawake wa Kigoma (Waha) na uvumilivu wa maisha

    Nimeoa mwanamke wa Kiha kwa hakika najisia fahari sana kwa kupata mwanamke wa ndoto ya maisha yangu, pamoja na kuwa wote ni waajiliwa lakini anatimiza majukumu ya nyumbani ipasavyo haswa kuanzia kuwatunza watoto, mpishi mzuri sana, usafi wa nyumba, heshima kubwa kwa mume, mahusiano mazuri na...
  13. D

    TTCL badilikeni mtoe huduma kama mitandao mingine

    Karibu sana katika kizazi cha T-tumefanikisha, sisi wengine tumeshawahi mapema huku na tunafurahia huduma ya kampuni yetu ya Kitanzania.
Back
Top Bottom