Uchaguzi 2020 Lindi: Majengo ya Serikali yachomwa, magari yaharibiwa kisa Uchaguzi

Tusubirie teuzi zitoke, Mkuu wa mkoa Hana Kazi labda kama atathibitisha kwamba pamoja na uharibifu huo amefanikiwa kuua waandamanaji kumi, anaweza samehewa kidogo.
 
Kwangu hawa ndio wanaofaa kuishi katika dola la kiimla la jiwe! siyo hayo makamasi ya kaskazini! Ninakumbuka lindi nimeishi miaka ya 90! miaka hiyo wakati demokrasia ya vyama vingi ikiwa changa!

CCM kama kawaida yao ya kuchakachua kura za maoni walikosea wakawapelekea kiongozi asiye chaguo lao!. Alipigwa kipigo cha mbwa koko! na askari walipoenda kuwashunghulikia wananchi wakakutana na janga la mawe ambako silaha zao zilishindwa kutema risasi( sayansi ya kiafrika) ikabidi watimue! . Mwishowe walirudisha chaguo la wananchi!

Nasema amkeni watanzania: Lindi wameanzisha, Tarime juzi wametuonyesha walipomshambulia yule mlevi!
 
Ni upambafu kabisa kikundi cha kihuni cha watu wachache kutoheshimu maamuzi ya wananchi wengi waliochagua viongozi wanaowataka. Hadi kiongozi amechaguliwa wananchi wamemuamini huyo, wamuache aanze kuwatumikia wananchi waliomchagua.
 
Yaani Media ziliogopa kuripoti hii habari au mimi ndio sikusikia?

Hao Lindi nawapongeza sana.

CCM ishakufa huko.
Hao ni wavuta bangi wachache tu kama wewe hapo!! maana naona unavuta sana bangi yaan mpaka znakuchanganya,hujui kilichokufa na kilicho hai!!!!! achana na bangi dogo
 
ndio maana BBC Swahili ,Voa na redio nyinginezo za kiswahili za nje hazirushwi hewani kweli media zetu hazipo huru
 
Back
Top Bottom