mchawi wa kusini
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 830
- 902
0.3Mbps nayo ni changamoto??..huo ni upuuzi..kina voda wapo 8.7MbpsMe sidhan kama Africa Kuna mtandao ambao uko bora 100% kila mtandao una changamoto zake
Hata yangu ina roaming. Maana yake nn?Hata kama nilikuwa nafanya roaming hakuna shida as long as napata huduma za ttcl
0.3Mbps nayo ni changamoto??..huo ni upuuzi..kina voda wapo 8.7Mbps
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mteja au uko kazini?.Unaweza kununua kwa Tigo pesa au mpesa au kwa app za account za bank
Zaman ilikuwa nikiwa nasafiri nikifika mbezi mwisho natoa laini ya TTCL naweka ya hallotel au Tigo coz najua hapo ndio mwisho wa ttcl
But kwa Mara ya Kwanza Leo nimetoka zanzibar mpaka kigoma nikiwa na lain yangu ya ttcl, napata internet na napiga simu fresh kabisa sehemu Zote ambazo nimepita, sehem ambayo kidogo network ilisumbua ni mlima senkenke ila sehemu zingine Zote mpaka nimefika kigoma network iko poa kabisa
Hongereni Sana
Samahani mkuu,kwani huduma hiyo ya mawasiliano na Internet si ulilipia??Zaman ilikuwa nikiwa nasafiri nikifika mbezi mwisho natoa laini ya TTCL naweka ya hallotel au Tigo coz najua hapo ndio mwisho wa ttcl
But kwa Mara ya Kwanza Leo nimetoka zanzibar mpaka kigoma nikiwa na lain yangu ya ttcl, napata internet na napiga simu fresh kabisa sehemu Zote ambazo nimepita, sehem ambayo kidogo network ilisumbua ni mlima senkenke ila sehemu zingine Zote mpaka nimefika kigoma network iko poa kabisa
Hongereni Sana
Samahani mkuu,kwani huduma hiyo ya mawasiliano na Internet si ulilipia??
Mbona umefurahi kanakwamba ulipewa ofa,au kanakwamba ni jambo jipya sana hapa duniani???!!!