Recent content by Donep

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ajali ya MV Nyerere: A wake up call

    Tumelia sana, tumeomboleza sana, tumesikitika sana, sasa tuamke usingizini kuanzia Leo. ✍🏿 21/05/1996 tulipatwa na janga kubwa sana la kuzama kwa MV Bukoba iliyo tengenezwa tangu 1979 ikawa imefanya kazi kwa miaka 17 ndipo ikazama ziwa Victoria. ✍🏿MV Bukoba ilikua na uwezo wa kubeba watu...
  2. D

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bob Wine akamatwa airport akienda nje ya Uganda. Maandamano yaanza usiku huu

    Mbunge wa Upinzani nchini Uganda ambaye pia ni mwanamuziki, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine ambaye anadaiwa kupigwa na kuteswa baada ya kukamatwa mapema mwezi huu, inasemekana amezuiwa kuondoka kwa ajili ya kwenda kupata matibabu nje ya nchi. Kwa mujibu wa BBC akizungumzia kukamatwa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania ZIMBABWE: Rais Mnagangwa amteua Jenereli Mstaafu Davis Mwamunyange katika tume ya tathmini ya uchaguzi uliopita

    Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnagangwa amteua Mkuu wa Majeshi wa Tanzania Mstaafu, Jenerali Davis Mwamunyange katika Tume ya Kutathmini athari za ghasia zilizotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo. Jenerali Mwamunyange ambaye alikuwa mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa miaka 10...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola amewatoa nje Makamanda zaidi ya 30 kwa kosa la kutaja Jeshi la Zimamoto bila kumalizia ‘na Uokoaji’

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewatoa nje Makamanda zaidi ya 30 kwa kosa la kutaja Jeshi la Zimamoto bila kumalizia ‘na Uokoaji’ ambapo amesema hilo jeshi lao halitambui. Hali hiyo imejitokeza leo Alhamisi Agozti 30, jijini Dodoma kwenye ufunguzi wa kikao cha mwaka cha...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Lugola awachimba mkwara Wakuu wa Wilaya na Mikoa wanao waweka ndani wananchi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola amewaonya wakuu wa mikoa na wilaya kutotumia vibaya sheria na kuwaweka ndani wananchi. Amesema Serikali ya Awamu ya Tano haitakubali wananchi wanyanyaswe. Agosti 14, 2018 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta Alivyokutana na Trump Ikulu ya Marekani

    Rais Donald Trump wa Marekani amekutana na mwezake wa Kenya Uhuru Kenyatta mjini Washington na kuzungumzia masuala mbalimbali, zaidi wakiangazia biashara na usalama. Kwa mujibu wa taarifa ya ikulu ya Marekani, wakati wa ziara hiyo mataifa hayo mawili yalikubaliana na kutangaza mikataba ya...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Menelik II: Mtawala wa kiafrika aliyekomesha ukoloni wa wazungu

    Menelik II (17 Agosti 1844 – 12 Desemba 1913) alikuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kutoka 1889 hadi 1913. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Sahle Miriam. Alikuwa mtemi (Ras) wa jimbo la Shoa kati ya 1865-1889. Akashinda katika mvurugo baada ya kifo cha Yohane IV kwa msaada wa Italia akakubaliwa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Menelik II: Mtawala wa kiafrika aliyekomesha ukoloni wa wazungu

    pamoja sana mkuu ubarikiwe sana
  9. D

    JamiiForums Tanzania Menelik II: Mtawala wa kiafrika aliyekomesha ukoloni wa wazungu

    Mfalme menelik II a.k.a Dagmawi sahle maryam menelik alikuwa mtawala wa Ethiopia kati ya 1889 hadi 1913 ambapo alianza kama mtawala wa eneo la shewa kuanzia 1866-1889. Alizaliwa mwaka 1884 na kufariki mwaka 1913 na inaelezwa alitoka kizazi cha uzao wa Queen of sheba (Makeda) na Mfalme suleiman...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hafanyi kazi kwa kushinikizwa, wanaodhani Mwigulu atajiuzulu mmegonga mwamba

    Mhusika sio Mbowe ni Mkurugenzi kuchelewesha kuwapa kiapo na Mtulia kwa nini alijiuzuru kwa Tamaa na kurudi kuomba cheo kilekile
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Zimbabwe: Nchi yawekwa chini ya Jeshi, Mugabe kung'olewa?!

    Kwa ufupi Kuna fununu kwamba jeshi linaweza kumsimika jenerali huyo wa zamani kuwa mkuu wa serikali huku Mugabe akibaki mtu mwenye cheo asiye na mamlaka. Harare, Zimbabwe. Rais Robert Mugabe aliyetawala Zimbabwe kwa miaka 37 amekamatwa na jeshi na kuwekwa kizuizini, chama tawala cha Zanu-PF...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Tuwapongeze Wabunge hawa wa CCM wampa makavu Waziri wa Fedha. Ndassa asema Waziri huwa ana kiburi na si msikivu

    Wabunge wengi wa CCM wakianza kutumia akili zao na kwenda kama wawakilishi wa wananchi BUNGENI na sio kama sasa hivi wana akili za kuwakilisha chama wakaanza na kuisimamia pamoja na kuikosoa Serikali kama Hivi tutafika mbali sana nasio kila kitu ku support tu Wakiamini kila kitu kitapitishwa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Hoja za Prof. Luoga zilivyozima makali ya Barrick kwenye majadiliano ya mkataba na kodi

    Pia wanawalalia wanyonge kwenye NSSF ni usumbufu mtu ananyimwa haki yake.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kisa cha MwanaHALISI kufungiwa ni Habari ya "Nani anastahili kuombewa kati ya Lissu au Magufuli"

    we ni mchumia tumbo huna mpya na hujitambui kabisa wewe ni "mbumbumbu"
Back
Top Bottom