Recent content by done12

  1. D

    NITAPATAJE ENEO LA KUFANYIA FIELD HASA KATIKA MIGODI NA VIWANDA

    Yupo engineering miaka minne so wanafanya field ,wakifika mwaka wa nne hawafanyi wanadili na dissertation mkuul Sent using Jamii Forums mobile app
  2. D

    NITAPATAJE ENEO LA KUFANYIA FIELD HASA KATIKA MIGODI NA VIWANDA

    Habari za saa hizi jamani Nina ndugu yangu yupo mwaka wa tatu ,huyu ndingu yangu ujuzi wake zaidi ni katika water supply project, water treatment, waste water treatment , sanitation projects , solid waste nk. naomba msaada jinsi ya kupata field yaani mafunzo kwa vitendo katika migodi kama acacia...
  3. D

    Mbona Mo Dewji haonekani kwenye vikao vya kamati ya Bashite&Taifa Stars

    Hapo kuna watu wanapiga pesa , team ni ya taifa na uwanja in was taifa kama yeye mkuu wa mkoa anauchungu na team kwa nn asiwaruhusu watanzania waingie bure , wakajaze uwanja washangilie team yao Sent using Jamii Forums mobile app
  4. D

    Wana Simba mliokua mnabeza, haya Gor Mahia yaibuka mshindi

    hivi ww unaakili kweli ww , ukifeli form four sis tunajuwa ww kilaza hata ukienda riskti ukifaulu bado ww ni kilaza , ndo mfano wa huyo mahia ameshafeli club bingwa ametolewa so hyoo ni kilaz huwezi fananisha na simba Sent using Jamii Forums mobile app
  5. D

    Joshua Nassari avuliwa Ubunge wa Arumeru Mashariki kwa “Utoro” Bungeni

    Safi sana Sent using Jamii Forums mobile app
  6. D

    Lissu aanza kuchangiwa fedha na wananchi!

    Sichangi mm mwenyewe pesa ya andazi sins then ni mchangie MTU Sent using Jamii Forums mobile app
  7. D

    MWANA SIMBA TOA MAONI YAKO LEO DHIDI YA STAND UNITED KUHUSU KIKOSI

    sisi kikubwa tunataka maoni ya simba na sio sio stand united wala yanga Sent using Jamii Forums mobile app
  8. D

    MWANA SIMBA TOA MAONI YAKO LEO DHIDI YA STAND UNITED KUHUSU KIKOSI

    Ya tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
  9. D

    MWANA SIMBA TOA MAONI YAKO LEO DHIDI YA STAND UNITED KUHUSU KIKOSI

    Husika na kichwa cha habari hapo juu naamini viongozi wakubwa wa simba wapo humu kwa hyo kama shabiki toa maoni yako kuelekea mchezo huo kuanzia kikosi kianze kipi na wachezaji wapeni ushauri wafanye nn kuelekea mchezo huo ambao ni muhimu kwetu sisi wote kama washabiki na wapenzi wa simba .simba...
  10. D

    "Simba nguvu moja." Tujadiliane namna ya kuwaua Waarabu na kuongoza Kundi D

    "#,* Sent using Jamii Forums mobile app
  11. D

    "Simba nguvu moja." Tujadiliane namna ya kuwaua Waarabu na kuongoza Kundi D

    Kama kawaida wa Kimaitaifa leo tumeshapangiwa group letu lenye timu kutoka Uarabuni moja na Congo moja. Toa ushauri wako tufanyaje tuweze songa mbele katika hatua ya robo fainali na nusu na kisha kulichukua kombe zima tulilete Msimbazi Karibuni wana SIMBA Sent using Jamii Forums mobile app
  12. D

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Tot band simba anaunguruma nchini tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
  13. D

    SIMBA KAMA BORA KIJITOA MAPINDUZI KULIKO KUCHEZESHA WALEVI

    Yaani Jana nimeumia sana ni heri kujitoa katika kombe la mapinduzi kuliko kuchezesha wachezaji walevi.maana nasikia eti tunagawnya kikosi chezesheni kikosi cha kwanza jamani sisi tunaumia sana washabiki yanga wanatucheka sana yaani huku mtaani Jana hatukulala tunaomba mtuchezeshee wachezaji wetu...
  14. D

    Mashujaa waivua nguo Simba Taifa, timu 32 zafuzu simba haimo

    Husika na kichwa cha habari hapo Huyu kocha wa Simba ana dharau sana hawezi kutupangia kikosi cha kijinga kama kile. Hizo zote ni dharau kwa mfumo huu Simba hatutafika popote; ligi hatachukua na hata huko Africa tutatolewa mapema sana. Kwa dharau ya leo tumeumia sana aisee tunachekwa sana...
  15. D

    MASHABIKI WA YANGA ACHENI KUJIPENDEKEZA KWA KIDUME SIMBA

    hivi nyie vyura mtacha lini ushoga.Jana mkana alivyoshinda gori la kwanza mlishangilia mpaka wengne mlijinyea. Lakin mkubwa chama alivyo wakalisha wanaume zenu red devils mkanza kija kwa simba kutafuta ndoa .sasa HV sisi sio wenzenu sisi wa kimataifa .
Back
Top Bottom