MASHABIKI WA YANGA ACHENI KUJIPENDEKEZA KWA KIDUME SIMBA

done12

Member
Nov 17, 2018
30
30
hivi nyie vyura mtacha lini ushoga.Jana mkana alivyoshinda gori la kwanza mlishangilia mpaka wengne mlijinyea. Lakin mkubwa chama alivyo wakalisha wanaume zenu red devils mkanza kija kwa simba kutafuta ndoa .sasa HV sisi sio wenzenu sisi wa kimataifa .
 
hakukuwa na haja ya kuwaita mashoga.
 
hivi nyie vyura mtacha lini ushoga.Jana mkana alivyoshinda gori la kwanza mlishangilia mpaka wengne mlijinyea. Lakin mkubwa chama alivyo wakalisha wanaume zenu red devils mkanza kija kwa simba kutafuta ndoa .sasa HV sisi sio wenzenu sisi wa kimataifa .
Mmeifunga timu dhaifu..mara ya mwisho kuchukua ubingwa wa Zambia 2013...kabla ya hapo 2001...miaka17 imechukua kombe mara moja....na kucheza mashindano haya kwa kuwa Zambia inatoa timu mbili...Refa mkenya mmempa sh ngapi????kama refa wa CAF anaongwa vp TPL
 
Baada ya kipigo cha mbwa koko cha timu mliyokuwa mnaishabikia jana imekuwa timu dhaifu tena??😂😂😂😂..tumempa sh ngapi kwani jana alitufungia goli...KINACHONIFURAHISHA KWENYE SOKA NI KUWA INAFUNGWA NKANA TIMU YA ZAMBIA WANAOUMIA NA KUTOA MAPOVU NI MASHABIKI WA YANGA TIMU YA TANZANIA
 
Mmeifunga timu dhaifu..mara ya mwisho kuchukua ubingwa wa Zambia 2013...kabla ya hapo 2001...miaka17 imechukua kombe mara moja....na kucheza mashindano haya kwa kuwa Zambia inatoa timu mbili...Refa mkenya mmempa sh ngapi????kama refa wa CAF anaongwa vp TPL

Kimsingi sisi kama Simba haituhusu kwamba Nkana alikua bingwa huko kwao ama la, sisi tunafuata ratiba tunayopangiwa na shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF), kama wakitupanga na Ndanda, Sofapaka, Asec Mimosas, Zamalek, PSG, Juventus, Yanga, Harambee stars, Chibuku FC, timu ya taifa ya riadha au mpira wa pete, Chicago bulls, timu ya volleyball, rugby au chochote sisi tunatandika tu. Nitoe rai tu kwenu watani kwamba muwe wavumilivu kwa kipindi hiki huku mkiendelea kupata burudani toka kwa CLATOUS CHOTA CHAPCHAP CHAMA
 
Mmemtoa MTU Kafara, hamfai ninyi fisi fc

Ile timu ni vibonde km nyi nyi bingwa wa Zambia ni Zesco km mngekutana nao sahizi mngekuwa mnatafuta biashara nyingine ya kufanya
 
Hao Zesco kama Nkana wapo kwenye kombe la shirikisho.
Wangekuwa timu nzuri sana wangeendelea na Champions League.
Mmeshakuwa Zesco sasa?Hata wale wa uwanja wa fisi sio hivyo.
Pukuchaka.
 
hivi nyie vyura mtacha lini ushoga.Jana mkana alivyoshinda gori la kwanza mlishangilia mpaka wengne mlijinyea. Lakin mkubwa chama alivyo wakalisha wanaume zenu red devils mkanza kija kwa simba kutafuta ndoa .sasa HV sisi sio wenzenu sisi wa kimataifa .
Nendeni mkaolewe huko, maana Hanna cha maana mtatuletea kama taifa
 
Back
Top Bottom