Habari za saa hizi jamani Nina ndugu yangu yupo mwaka wa tatu ,huyu ndingu yangu ujuzi wake zaidi ni katika water supply project, water treatment, waste water treatment , sanitation projects , solid waste nk. naomba msaada jinsi ya kupata field yaani mafunzo kwa vitendo katika migodi kama acacia au viwandani kama kiwanda cha bia akajifunze jinsi ya waste water treatment , lakin hata pia kama anaweza pata sehemu ya project za maji anaweza kwenda , msaada jamani afanyaje apate field huko akajifunze asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app