Wana Simba mliokua mnabeza, haya Gor Mahia yaibuka mshindi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,650
48,415
Full time
Gor Mahia 1
Petro de Luanda 0

Tunabanana humu hadi mtoto azaliwe tujue wa nani.
Simba kule Dar hakukaliki wanavyobeza mashabiki wa Yanga.
 
Sasa vile Zamalek hawakufaulu CAF champions league ina maana Simba ni mababe kuwaliko? Hiyo Simba ukiondoa Meddie Kagere ni paka tu. Bandari iliwanyorosha sportpesa., robo fainali yenye wameingia kibahati baada ya kufungwa magoli mengi ni mwisho wa Simba., ngoja mpewe TP Mazembe.,
hivi ww unaakili kweli ww , ukifeli form four sis tunajuwa ww kilaza hata ukienda riskti ukifaulu bado ww ni kilaza , ndo mfano wa huyo mahia ameshafeli club bingwa ametolewa so hyoo ni kilaz huwezi fananisha na simba

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Now that EAC imeamka in football, this coming weekend Uganda wapanulie kirahisi Taifa Stars, tuingie nchi Tatu za EAC African Cup of Nations, ila niliona Cranes wanadai wao wanataka kumaliza unbeaten!
Full time
Gor Mahia 1
Petro de Luanda 0

Tunabanana humu hadi mtoto azaliwe tujue wa nani.
Simba kule Dar hakukaliki wanavyobeza mashabiki wa Yanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa vile Zamalek hawakufaulu CAF champions league ina maana Simba ni mababe kuwaliko? Hiyo Simba ukiondoa Meddie Kagere ni paka tu. Bandari iliwanyorosha sportpesa., robo fainali yenye wameingia kibahati baada ya kufungwa magoli mengi ni mwisho wa Simba., ngoja mpewe TP Mazembe.,

Sent using Jamii Forums mobile app
hivi michuano ya sportpes watazamaji huwa wanafika hata nusu ya uwanja wa mkapa? si ukiona ivyo hatudeal na mabonanza, tupo makini na vitu vitakavyo tufikisha sehemu fulani kumbuka kuwa mpaka sas tz imeshaongezew timu za kushiliki michuano ya caf na kama simba akiingia nusu fainali tz itapeleka timu nne kwenye mashindano ya caf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa vile Zamalek hawakufaulu CAF champions league ina maana Simba ni mababe kuwaliko? Hiyo Simba ukiondoa Meddie Kagere ni paka tu. Bandari iliwanyorosha sportpesa., robo fainali yenye wameingia kibahati baada ya kufungwa magoli mengi ni mwisho wa Simba., ngoja mpewe TP Mazembe.,

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mchezo una approach yake, hapa tulikua tunapambania points. huwezi kufika hatua ya makundi kwa bahati halafu tena uchukue point 9!! Then uingie robo fainali. Hii siyo kamali msee watu wanatoa jasho uwanjani. Hiko kikombe cha sportpesa timu za Simba na Yanga hazijawahi kukichukulia serious sijui kwanini. Simba waliyatumia mashindano yaliyopita kama sehemu ya kuwajaribu wachezaji wapya wakimataifa ambao mwisho wote wali fail trials! Swala la Kagere kuwa Simba ni bora usilizungumzie, ni aibu kwa timu ambayo ni kubwa kwenu kukimbiwa na top striker. Tuyisenge na Kahata na wenyewe wapo karibu na simu zao kungoja offer ya Simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Full time
Gor Mahia 1
Petro de Luanda 0

Tunabanana humu hadi mtoto azaliwe tujue wa nani.
Simba kule Dar hakukaliki wanavyobeza mashabiki wa Yanga.
Nani aliibeza Gor Mahia wewe mkikuyu? Simba na Gor Mahia zinawakilisha ukanda huu.
Ila Simba ni baba lao, wakitaka mchezaji wa Gor Mahia wanamchukua. Hawazuiliki na huu ndio ukweli.
 
Sasa vile Zamalek hawakufaulu CAF champions league ina maana Simba ni mababe kuwaliko? Hiyo Simba ukiondoa Meddie Kagere ni paka tu. Bandari iliwanyorosha sportpesa., robo fainali yenye wameingia kibahati baada ya kufungwa magoli mengi ni mwisho wa Simba., ngoja mpewe TP Mazembe.,

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakunaga bahati kwenye professional soccer. Umejipanga vibaya umepoteza.. umejipanga vizur unashinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana unawaongelea Yanga kwakuwa hawana pakutoea Mara wapo Nkana Mara Saoula Mara Al ahyl Mara vital hata hawaeleweki
Simba na Gormahia hatuna maneno mengi sisi vitendo
 
Gor wapo ligi ndogo, huu uzi nikama kulinganisha faidi ya KCB Vs HSBC au uzuri wa Bujumbura Vs Beijing

Sent using Jamii Forums mobile app
Jombaa kabla uanze kuwapa wakenya lecture kuhusu michezo, hebu tuletee ranking za FIFA tujionee nafasi za Kenya na Tanzania duniani. Alafu hapo tunaongea kuhusu soka tu. Ukimaliza cheki kuhusu riadha kwa IAAF, rankings za raga kwa IRB, kwenye mpira wa wavu pia na ukiwa na muda umalizie kwenye Hockey na Cricket.
 
Unajua tofauti ya CAF confederation cup na CAF champions league...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom