Recent content by donation

  1. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja Mwanza

    Njoo kisesa boss, viwanja vinapatikana.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta eneo zuri la kujenga Mwanza

    Kisesa, usagara nyashishi zote ni miji mipya na unapata access ya barabara. Umeme upo barabara kuu, maji ndo kazi. Maana makazi si mengi Sana. Sasa inategemea na eneo lako la kazi lilipo.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta eneo zuri la kujenga Mwanza

    Nenda kisesa.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Shirika la “One Acre Fund” na shughuli za kiutapeli kwa wakulima wadogowadogo, Singida

    Mobisol pia wana utapeli wa aina gani boss. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji visima vya maji kwa mashine: Tutakupa pampu, UPVC Pipes, utasafishiwa kisima na kupewa tenki

    Underground water survey kujua maji yapo umbali gani, mnafanya kwa bei gani?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupakua (download) Apps za kulipia kutoka playstore Bure

    Hiyo Aptoide inakubali mpaka sasa au?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupakua (download) Apps za kulipia kutoka playstore Bure

    Safi sana mkuu, tupe link hiyo sasa.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Jamani huyu dada anaitwa Chidinma nampenda kuliko maelezo

    Ana nyimbo kali sana, tafuta nyimbo moja hv inaitwa kedike.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Add me please! 0769226028
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nani zaidi kati ya Paul Pogba na N'golo Kante?

    **nimeipenda**
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nani zaidi kati ya Paul Pogba na N'golo Kante?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] nineipenda hii boss!!
  12. D

    JamiiForums Tanzania Nadaiwa deni la miaka minne na HESLB wakati walinilipia mwaka mmoja tuu, nifanyeje?

    Hii kitu iliwahi nikuta!! Nilisoma bila mkopo wowote, halafu nimekuja ingia kwenye ajira natumiwa email na loan board as nadaiwa tsh 9m!! Nilishangaa sana!! Nilichokifanya, nilimpigia hr, na kumwambia sijawahi pata mkopo wa chuo, HR akasema niwasiliane na watu wa board, nikaomba contact zao...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Taarifa Rasmi Kuhusu Maandamano ya Vijana kesho tarehe 13.09.2016

    Mmekaa nyumbani miaka mingapi baada ya kumaliza chuo kwanza?? Kuna watu mmewakuta nyumbani wana miaka mitatu hawajapata ajira!! Wao nao wasemeje?? Wakiajiriwa wao, nanyi mtafuata!!! Kingine, wakati mnasoma, kuna sehemu mlisaini mkataba as mkimaliza serikali itawaajiri?? Halafu, mnaposema zoom...
Back
Top Bottom