Jamani huyu dada anaitwa Chidinma nampenda kuliko maelezo

Jombaaaa hizo Twitter Facebook Instagram zote zinakuwa control na ma director wakee
So kumpata mwenyewe Direct inakuwa ishuuu

Hizo samjo tu babaa, hajafika level za huko. We bonga nae wala usianye. Halafu kuna kagugu ingine hapo juu imesema inamzidi, cheki nayo uthaminishe kama vipi.
 
Mimi kwangu mwanamke hata awe mzuri namna gani, kama hana mkia kwa kweli hata salam yangu kuipata ni shida sana.

Huyo binti ana sura nzuri ila ni flat screen, kwangu ana maksi sifuri.
 
Mbona rahisi tu.. Jitahidi usambaratishe Boko Haram, Buhari akiikuuliza unataka zawadi gani unataja Chidinma
 
Ni msanii mcute sana afu anavaa kwa heshima kweli!
All the best kwenye kumsaka! Hope utampata umpe hata mkono
 
Mimi pia nampenda huyo dada....kaigiza vizuri kwenye nyimbo ya perfect combo ya J makini
 
Heeeehhh mkia upi mweeeehh?
a-big-butt-is-a-healthy-butt-scientists-say-that-women-with-big-butts-are-smarter-and-healthier.jpg

Huo ndio mkia mama angu.
 
Me nkiwa kumbuka hawa tu bhas akili inahama cjui hata nitumie njiaa gani kuwapata mmoja wao yan

1,kidot
2,shakira
 
Back
Top Bottom