Recent content by Don255

  1. Don255

    Goli la Simba dhidi ya Azam ASFC 2021

    Wangefunga Azam goli kama lile refa angekubari?
  2. Don255

    The Official Azam FC Thread

    Mfungaji wetu Prince Dube ameshindwa kueendelea na mchezo wa leo baada ya kupata maumivu dk ya 7....kuhusu hari yake tuendelee kusubiri taarifa rasmi ya club
  3. Don255

    The Official Azam FC Thread

    FT Rhino Rangers 1-3 AZAM FC ....Tumefanikiwa kusonga mbele hatua ya nusu fainali...na tutacheza na simba sc baada ya wao kupata ushindi dhidi ya Dodoma jiji fc
  4. Don255

    The Official Azam FC Thread

    Bila ya kusahau kuelekea mchezo wa kesho wa ASFC vs Rhino Rangers
  5. Don255

    The Official Azam FC Thread

    Tukutane hapa mashabiki wa Azam fc kwa kufahamiana,kujadiri changamoto,na Mafanikio ya club yetu...#Timubora#bidhaabora#sisisiokamawao#
  6. Don255

    Nipeni maarifa kuhusu biashara ya kuprint Tshirt

    Ni elimu kubwa kidogo, nikipata muda nitakuelekeza.
  7. Don255

    Nguvu ya Azam FC kwa Taifa Stars

    ni zao la Azam academy
  8. Don255

    Msaada: Hii vita mimi na Wife

    Aisee....
  9. Don255

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Embu likeni na hii kama ni kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Don255

    Msaada wa kupata notes za Form 1 Hadi 4 kwa PDF

    napata ugumu kutokna na ubize wa kazi....ntajitahid tuanze na hizo nnazo nyingi sana wakuu
  11. Don255

    Msaada wa kupata notes za Form 1 Hadi 4 kwa PDF

    Nilikuwa mbali kidogo...kesho asubuhi nazimwaga hapa...pole kwa kusubiria mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Don255

    Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe

    Unaeza mfuatilia huyu jamaa anaitwa "Brandon Carter" you tube kwa wale wenye mda mchache wa kufanya mazoez jamaa ana clip za dk 15-30 Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Don255

    Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe

    Hiko ni kitairi...piga magot una kiendesha kwenda mbele unajirudisha nyuma Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Don255

    Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe

    Tafuta roller... Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom