Recent content by don twelve

  1. D

    Siyo Siri CHADEMA Imepata Jeraha

    amuulize mrema kilicho mkuta
  2. D

    Hivi kwanini CCM huwa wanapendwa sehemu zisizokuwa na maendeleo?

    Wanapapenda pasipo na maendeleo cz pasipo namaendeleo kwanza hakuna wasom na mtu akikosa elimu uta m buruza mpaka utakapo choka ndomana asilimia kubwa ccm vijijin ndo wko juu mana nikazi rahisi kumdanganya mjinga na nikazi kubwa kumuelimisha mjinga kma amedanganywa
  3. D

    GE2015 Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC!

    Urais labda mondui uko ljn sio rais wa ving'ora
  4. D

    Sababu ya kupita kwa katiba pendekezwa na anguko la urais kwa UKAWA

    Ukiona mwanasiasa hoja yke udin ujue hana hoja ya kuwakomvisi watu na nidalili ya kuishiwa hoja inshort dunia inaendeshwa kikristo jpo mm muislamu na ilo liko wazi
  5. D

    Lissu awazuia wabunge wa CHADEMA kuhudhuria uzinduzi wa ACT - wazalendo

    Ulie post iyo habar ww muongo liss ana mamlaka ya kuwakataza wabunge wa chadema na m bunge anaweza akaenda kma mtu wa kawaida msikipe pro act kwakupitia mgongo wa chadema
  6. D

    Prof. Baregu: Zitto ni mzigo

    Mh kweli nduguyetu kapotea
  7. D

    Anna Makinda: Natambua Zitto Kabwe bado ni mbunge

    Nilichokiona mm nikumkomaza kisiasa na kumpa changamoto tu kma kweli chadema wako siriazi wangesha fanya taratibu zote sema nao awajiamin cz wanajua umuhimu wke asa kwa wakati huu wa tuhuma za escrow
  8. D

    Alichokiongea Zitto Kabwe huko Mwandiga, Kigoma - Machi 15, 2015

    Bado ujatuambia msimamo wko upi kwnye chama chaka ikiwa ndochama ulichokipigania mpaka hapa kilipo fika
  9. D

    Utata wa Kifo Cha Hayati Sokoine

    Mh serikal yke
  10. D

    Clouds FM na Kuipromote CCM,TCRA mpo wapi?

    Siamin mtoa hoja kma kafikiria vizuri kuhusu burudan japo mm chadema dam simuungu mkono cz moja ya sifa ya nyimbo nikuburudisha au kukufundisha na kukuelimisha so labda wameweka kwaniaba ya kukuburudisha tu na sio vinginevyo
  11. D

    Mpango wa Zitto kuondoka CHADEMA na wabunge 3 wagundulika!

    Siamini ilo cz zitto nimiongon ya m bunge ambae ajawai kuwa kwenye chama kingine zaid ya chadema leten hoja za msingi bnha
  12. D

    Anne Makinda: Sitogombea tena ubunge 2015

    Ata agombee awezi kurud bungen kwa madudu aliyo ya fanya
  13. D

    Dennis Kitambi mchambuzi bora kuliko wote wa mpira

    Mchambuzi wa media hip jaman mbona mm simjui na mm nimiongon mwa wadau wa michezo
Back
Top Bottom