Siyo Siri CHADEMA Imepata Jeraha

Siyo Siri CHADEMA Imepata Jeraha

Rejea siri ya mabilioni ya ZITO aliyopitishiwa Ujerumani na yale ya kampuni aliyoiunda ya Dutigite Company iliyomiminiwa ngawira na TANAPA
 
Mimi pamoja na familia yangu pamoja na marafiki wangu watano tumechoma kadi za uachama wa chadema pamoja na nguo zao, chama gani cha ukabila na ukoo namna ile.
kutoka watu 12 ndani ya chadema ni pengo, huoni kwamba ni hasara?

Mimi na familia yangu pamoja na marafiki wangu kumi na tano tumejiunga chadema.
 
Back
Top Bottom