Utata wa Kifo Cha Hayati Sokoine

Unataka ujue ni akina nani walio muua waziri wakati wanajulikanat wazi? Si ni yule Msouth Africa? Na jina lake walimtaja wazi siku ileile? Anaitwa Dube
 
Waulize Dr Kashimba alie na Siri aina ya majeraha ambayo hata Familia ilikataliwa kuona, pia Muulize Mzee Kizota yule mwenye Bar viwanja vya Saba Saba, alikuwa bodi gadi yake, wakimbizi waliokuwepo maeneo ya karibu na ajali wanadai kuona bodi gadi huyo akifyatua risasi, muda mfupi tu baada ya mheshimiwa kutoka nje ta gari kujaribu kukimbia. Muulize Mwalimu Nyerere aliekuwa Rahisi wa Tanzania

Mkuu huyu Dr Kashimba yupo hai mpaka sasa?
 
wadau ningependa kujua chanzo halisi cha kifo cha waziri mkuu wa zamani hayati sokoine kwa vile alipo fariki nilikua bado sijazaliwa,nimejaribu kupitia baadhi ya makala mbali mbali naona hazielezi mazingira halisi ya ajali hiyo kwa msingi huo napenda kushare na nyie maswali kadhaa;

1.ajali iliyo sababisha kifo cha sokoine ilikua ya aina gani? Kupinduka kwa gari,kugongana uso kwa uso? Ama kugonga mti?

2.katika hiyo ajali hayati sokoine na dereva wake walifia papo hapo ama hospitali?

3.kama ni ajali ya magari kugongana uso kwa uso vipi kuhusu dereva na watu walio kuwemo kwenye gari ya pili walikufa ama wako hai?

4.kama wakk hai vipi dereva alichukuliwa hatua gani? Maelezo ya dereva yanasemaje?

4.ushahidi wa mashuhuda wa hiyo ajali wanasemaje?

5.uchunguzi wa polisi unatoa maelezo gani kuhusu ajali iliyo sababisha kifo cha sokoine? Ni uzembe wa madereva? Au ni matatizo ya kiufundi? Ama ni conspiracy?

6.eneo la ajali ni wapi? I mean kijiji,kata,wilaya na mkoa gani na ilikua mda gani mchana au usiku?

7.kwa nini hakuna sokoine day kwenye kalenda ya nchi yetu kama ilivyo nyerere day na karume day?

kuna maswali mengi sana ila kwa leo naomba niyaweke hayo muhimu.

Chinga 1.

majibu ya maswali yako yalitolewa 1984, na kama ulikuwa hujazaliwa basi archives za uhuru na daily news kasome ukweli
 
Kuna taarifa kuwa, kaburi lake lililo jengewa kwa cement liliwekewa maaskari wa kulilinda usiku na mchana.

1. Ni utaratibu wa serikali kuyawekea ulinzi makaburi ya viongzi wakuu? Vipi makaburi ya Omari A Juma, Mzee Karume, Kawawa n.k nayo yaliwekewa uliniz kama huu wa Sokoine?

2. Kama haikuwa na sio utaratibu wa kuwaweka walinzi kulinda makaburi ya viongozi hao wakuu....Kwani Sokoine alizikwa akiwa amewekewa fedha pembeni yake? Au madini ya thamani kwamba kuna watu wanaweza waje usiku kufukua kaburi na kuiba ukwasi huo?

3. Au lilindwa ili isije itokee kwa mwanafamilia au wananchi walioguswa na kifo chake, kuja kulifukua kaburi hilo ili kuukagua mwili kuyaona majeraha ya hiyo "ajali" ya gari?
 
Enough of majonzi. We now have a list of possible killers. Mzee wa kizota. Cleopa. Kawawa. Lowassa. But why lowassa of all the people? He was by then still a juvenile delinquent right? And you can't rule out Kawawa because he died poor. Look at his boss jk he also died poor right? In those days you couldn't play fisadi openly. We need to summarise a really true verdict and announce the real murderer.

Huyo mzee wa Kizota ndiyo nani wajameni?
Yote mia -kuna sababu za mauaji hayo.
Moja hilo hapo chini ,lakini lingine nila wahujumu Uchumi.
Kwangu mimi hili hapo chini inaweza kuwa na nguvu.


 
wakuu nimeomba kuliza swali hili sababu nchi yangu TANZANIA inanza kinitia mashaka zidi ya hujuma zidi ya viongozi na wanasia wakubwa nilianza kusikia MWAKYEMBE analalamika kua anataka kuwawa na akawataja na waliopanga njama za kumuua lakini sikujuwa yalishia wapi SLAA hii ni mala ya pili kama mnatunza kumbu kumbu ZITO yeye walimukosa kosa kwa ajali na wengine mtanikumbusha kama nimewasau walio kufa na walionusurika kufa hapo ndipo nilipopata hofu kuwa yawezekana SOKONNE nae aliuwawa je? kaka aliuwawa nani alieunda mipango ya kumuwa mzalendo kama huyo nisaidieni kujua hilo
 
wakuu nimeomba kuliza swali hili sababu nchi yangu TANZANIA inanza kinitia mashaka zidi ya hujuma zidi ya viongozi na wanasia wakubwa nilianza kusikia MWAKYEMBE analalamika kua anataka kuwawa na akawataja na waliopanga njama za kumuua lakini sikujuwa yalishia wapi SLAA hii ni mala ya pili kama mnatunza kumbu kumbu ZITO yeye walimukosa kosa kwa ajali na wengine mtanikumbusha kama nimewasau walio kufa na walionusurika kufa hapo ndipo nilipopata hofu kuwa yawezekana SOKONNE nae aliuwawa je? kaka aliuwawa nani alieunda mipango ya kumuwa mzalendo kama huyo nisaidieni kujua hilo

labda nikuulize nani aliyemuua mkwawa? nani aliyemuua kinjeketile?
 
Uko mbali sana, tuanze kuhoji nani aliwateka na kuwatesa wakina Ulimboka, Kibanda na Yule kiongozi wa waliohitimu JKT???
 
Back
Top Bottom