Recent content by Don Calipso

  1. Don Calipso

    JamiiForums Tanzania Somo la jinsi ya kutongoza kuingizwa rasmi kwenye mtaala wa elimu nchi jirani

    Habari wanajamvi! Katika pitapita zangu nimekutana na kitabu cha daktari mmoja anaitwa Dkt. Dyaboli. Kitabu kinaitwa JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE YEYOTE UKAMPATA. Sasa wakati nafuatilia kutaka kumjua zaidi huyu daktari kuna jamaa zangu wako Kenya huko wakaniambia huyu daktari ni mkenya, na...
  2. Don Calipso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shuleni inabidi waanze kutoa somo la namna ya kutongoza, ubakaji na ulawiti kwa watoto wadogo vimezidi

    Hiki hapa kimeshaingizwa kwenye mtaala wa elimu Kenya
  3. Don Calipso

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu njooni mnifundishe kutongoza

    Mkuu soma kitabu cha Dkt. Dyaboli kinaitwa JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE YEYOTE UKAMPATA: Mbinu 7 Rahisi zilizosaidia mamilioni ya wanaume duniani kote. Hakuna demu anaweza kuchomoa ukitumia madini ya humo ndani. Mimi ni shuhuda niliye hai, hawachomoi kaka
  4. Don Calipso

    JamiiForums Tanzania Freemasons tafsiri yake kwa lugha ya kiswahili ni “wajenzi huru”

    Illuminati ndio ilianzia Bavaria, na kimsingi Illuminati na Freemason ni jamii mbili tofauti, ingawa illuminati wameweza kupenyeza kwa siri members wao kwenye karibu societies na institutions zote kubwa duniani. Hii ni kusema hata ndani ya Freemason wamo members wa Illuminati. Sijui kama...
  5. Don Calipso

    JamiiForums Tanzania Umasikini umewageuza Wasomi kuwa Wajinga

    Dkt. Dyaboli amesema yote akamaliza kwenye kitabu chake cha Wasomi Wajinga. Kitafute ukisome ukiweza kaka. Kina madini adimu sana
  6. Don Calipso

    JamiiForums Tanzania Niijuavyo Freemasonry

    Mkuu tunaposema Freemason ni Secret Society hatumaanishi ni Jamii ya Siri; tunamaanisha ni Jamii Yenye Siri. Ndiyo maana jamii inafahamika na hata baadhi ya members wake wanafahamika, lakini yanayofanyika ndani ya hii jamii ndiyo hayafahamiki kwa wasio wanachama zaidi ya speculations na...
  7. Don Calipso

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2050 mwisho wa Afrika kuliita bara la Afrika nyumbani (bara lao)

    Kwenye kitabu cha WASOMI WAJINGA, mwandishi Dkt. Dyaboli ameweka wimbo aliouita Wimbo Mtakatifu wa Makanjanja. Ni wimbo ambao ukiusoma kwa akili kubwa utagundua unatia hasira kwasababu unazungumzia hii mikopo ya masharti nafuu tunayopewa pamoja na masharti yanayofungamanishwa na mikopo na...
  8. Don Calipso

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya viongozi wa bara la Afrika ni kama manyampala wa wazungu. Je, Hayati Magufuli alikuwa nyampala wa nchi gani Ulaya?

    JPM aliukataa ukibaraka wa hao watu, ndiyo sababu wakaamua kumwondoa wakamweka mtu wao waliyeamini asingekuwa kikwazo kwao. Na wamefanikiwa.
  9. Don Calipso

    JamiiForums Tanzania Bila kujali kelele na yaliyosemwa juu ya Hayati Magufuli, kuna ulazima wa haraka sana kumpata mwingine wa aina yake

    Kabisa mkuu. Huyu atakuwa mwalimu wa shule ya msingi. Hajajua bado mchezo wa siasa unavyochezwa. Pengine akisoma hiki kitabu hapa kinaweza kumsaidia kuelewa walau kidogo
  10. Don Calipso

    JamiiForums Tanzania Bila kujali kelele na yaliyosemwa juu ya Hayati Magufuli, kuna ulazima wa haraka sana kumpata mwingine wa aina yake

    Mkuu mawazo yako kama nayaona kwenye hiki kitabu kinachopigwa vita vya Wasomi Wajinga. Humu ndani kama mwandishi anatoa siri nyingi sana za CCM. Nafikiri ndiyo sababu hiki kitabu wamekipiga marufuku na mwandishi wake Dkt. Dyaboli hajulikani aliko mpaka sasa
  11. Don Calipso

    JamiiForums Tanzania Tafsiri za ndoto na ufafanuzi wake siku ya leo

    Tafsiri za ndoto
  12. Don Calipso

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula achambua wimbo wa 'mnatuona nyani' na kutoa ushauri kwa watawala

    Ndani ya kitabu cha Wasomi Wajinga Dkt. Dyaboli anasema ' Watawala ndio wanaoruhusiwa kufikiri. Wajibu wa watawaliwa ni kufanya kile kinachoipendeza serikali, sio kinachowapendeza wao.
  13. Don Calipso

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kitabu cha Kaptula la Marx na vitabu vengine vilipigwa stop Tz

    Mambo ni mengi mkuu, ila nasikia sababu ya kuvipiga marufuku ilikuwa ni ileile iliyofanya kitabu cha Wasomi Wajinga kikapigwa marufuku. Fuatilia mkasa wa huyu Dokta utapata kitu
  14. Don Calipso

    JamiiForums Tanzania Dkt. Dyaboli Moyo aliyeandika kitabu chenye "ukakasi" Wasomi Wajinga ni nani?

    Kuna dokta mmoja pale Muhimbili aliniambia huyu Dkt. Dyaboli alifukuzwa kazi pale Mhimbili miaka kadhaa nyuma kwasababu ya uandishi wake, hasa hicho kitabu cha Wasomi Wajinga. Ila juzi kati hapa nimeskia eti jamaa alikamatwa kimyakimya na wanausalama kwa madai kwamba kitabu chake kinachochea...
Back
Top Bottom