Kwa nini kitabu cha Kaptula la Marx na vitabu vengine vilipigwa stop Tz

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,598
8,729
Naomba moderator usifute maana unaweza kuwa sehemu kupiga marufuku hapa JF.

Hiki kitabu nilikujua baada ya kusoma kama kile kitabu cha kusadikika na mfalme juha ndio nikapata kuelewa hiki kitabu cha Kaptula la Marx .

Kwa nini vitabu hiki kilipigwa marufuku bila sababu na vile kilichoandikwa na shaaban robert kama vilifutwa kwenye elimu hii wanayosoma.watoto.
download%20(1).jpg
images%20(6).jpg
 
View attachment 2525366View attachment 2525367
Daaah, hizi ni enzi zipi mkuu, mbona wengine hatujui lolote?
 
Mambo ni mengi mkuu, ila nasikia sababu ya kuvipiga marufuku ilikuwa ni ileile iliyofanya kitabu cha Wasomi Wajinga kikapigwa marufuku. Fuatilia mkasa wa huyu Dokta utapata kitu
 
Attachments

  • 1693605321.jpg
    1693605321.jpg
    44 KB · Views: 7
Back
Top Bottom