Recent content by Domo Kaya

  1. Domo Kaya

    JamiiForums Tanzania kilichowapa jeuri wana mtwara ni hiki hapa baada ya ku kila tu

    Chafuuuuu
  2. Domo Kaya

    JamiiForums Tanzania Mbadala wa DSTV

    Mie ni mtumiaji wa huduma ya DSTV na sijawahi kukutana na hilo tatizo hata mala moja ndio kwanza nasikia kwako mkuu, tatizo ambalo wanalo DSTV ni kipindi cha mvua huwa inasumbua wakilekebisha hilo DSTV is the best among the Best hana mpinzani TZ.
  3. Domo Kaya

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni, mwanangu anaumwa!

    Mpeleke pale Kinondoni B dispensary, omba kumuona dr. Anton ni mzuri sana kwa watoto hope atapata nafuu.
  4. Domo Kaya

    JamiiForums Tanzania Mh.Peter Msigwa una lako jambo unastahili kufungwa.

    Hiki chama kinachojiita Chadema hakina jipya,kimeshafilisika kisiasa, maana tangu kianzishwe sijawahi kuona zuri kilichofanya kwa Watanzania zaidi ya chuki, ubinafsi, na uchochezi, na nina wasiwasi hata hizi vurugu za Mtwara kuna mkono wa Chadema..... Sie yetu macho bana tutaona nini mwisho wa...
  5. Domo Kaya

    JamiiForums Tanzania JB na Ray: Tumalize ubishi hapa

    JB nampa 150% na RAY nampa 15%
  6. Domo Kaya

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Dr. Slaa na Mbowe huwa hawatoi matamko ya kufariji waathirika kunapotokea majanga?

    Inashangaza kwa kweli!!! Au............
  7. Domo Kaya

    JamiiForums Tanzania BOMU LA ARUSHA: Serikali imeanza kucheza mchezo wa kisiasa?

    Chama fulani cha Siasa viongozi wake ndio wawe wa kwanza kuhijiwa
  8. Domo Kaya

    JamiiForums Tanzania Mlipuko Arusha: Watu 8 wakamatwa, wamo raia wanne wa Saudi Arabia

    Kuna chama fulani cha Siasa inabidi viongozi wake wachunguzwe!!!!!!
  9. Domo Kaya

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumchanganya mwanaume mpaka anakupa mshahara wote, anapiga deki, anakupikia...

    Mpe tigo tu lolote utakalosema atafanya
  10. Domo Kaya

    JamiiForums Tanzania Madeni Shamte Kipande Akaimu Ukurugenzi mkuu TPA

    Eng. Kipande.... Tangu apewe TPA masaa aliyokaa ofisini na kupitia nyaraka muhimu yanahesabika.
  11. Domo Kaya

    JamiiForums Tanzania Natafuta mark x

    Mie nauza Mark X yangu imetembea kilometa 80,000 ni model ya 2005 ila number ndio za zamani AWZ bei maelewano, km unatenda kuiona Ni PM.
  12. Domo Kaya

    JamiiForums Tanzania Kikwete asipopelekwa mahakamani nitaukana uraia wa Tanzania

    Pumba tupu
  13. Domo Kaya

    JamiiForums Tanzania Kati ya baba na mama wewe unampenda nani?

    Mie nampenda Mama yangu kwa 150% , na baba yangu nampenda kwa 0%
Back
Top Bottom