bahati mbaya
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 578
- 193
Kwangu mama ni zaidi ya kitu chochote katika maisha yangu. Ingawa Baba yangu alishatangulia mbele ya haki.
Wewe kama mimi baba ni zaidi ingawa kashaniponda sana nilipokuwa mdogo lakini namkubali zaidi
.
duuuuuh! ... hebu tumegee kidogo siri ya hayo malovee!!
Mambo vipi mtu wangu wa nguvu, kama kawaida ni siku nyingine tena ambayo Mungu ametujalia kuiona tayari tunaendelea kubofya keyboard japo wengine tumesahau hata kumshukuru asubuhi kwa uzima na ulinzi aliotupa.
Hope mko poa na mupo bize si unajua life goes the way yo direct it!
Back to the Topic: Kati ya baba na mama (wazazi) wewe unampenda nani?
Mimi Binafsi nimejikuta nampenda sana mama yangu kwani aliyonitendea ni makubwa sana, ni stori ndefu haimanishi
baba hayupo, hapana yupo na wanaishi wote na wanaelewana na ndoa yao ni ya miaka mingi. Lakini katika maisha
yangu mama amekuwa nguzo kuu na amekuwa na upendo ambao sijawahi kuuona popote pale, kwani nikipata shida
mama yangu lazima augue, '' mwaka 2003 nilikosa ada ya sekondari, nilimkuta mama analia sana, nikamwuliza mama
imekuwaje? akasema Mwanangu nimekosa pesa hata ya nauli ya kwendea shule, Mungu alivyo mwema nilikuwa
tayari nimeshafanya vibarua kwa masista wakawa wamenisupport, nilipomwambia ninayo daah! akafuta machozi"
....yapo mengi aliyoyafanya mama juu yangu, so mpaka sasa nampenda sana mama kuliko hata baba na siku zote
namkumbuka sana mama kuliko baba", SO I LOVE MY MUM than MY DAD, WEWE JE?
Hapa nakufundisha nini?
Katika maisha jaribu kuwajibika hususani ukiwa man ili uweze kuweka alama ktk familia yako, alama ya upendo,
alama ya kuheshimika na kuthaminika, tusiwaachie wanawake majukumu ya familia, aibu itakuja uzeeni pindi watoto wakifanikiwa, Si mnamwona Diamond na Baba yake? Marehemu Kanumba(R.I.P the great) na Baba yake?
MUNGU AWABARIKI WOTE, ASUBUHI NJEMA
On top of that,hivi kuna kaukweli dat watoto wa kiume huwa close na mama zao wakati watoto wa kike huwa karibu with their dads?Mambo vipi mtu wangu wa nguvu, kama kawaida ni siku nyingine tena ambayo Mungu ametujalia kuiona tayari tunaendelea kubofya keyboard japo wengine tumesahau hata kumshukuru asubuhi kwa uzima na ulinzi aliotupa.
Hope mko poa na mupo bize si unajua life goes the way yo direct it!
Back to the Topic: Kati ya baba na mama (wazazi) wewe unampenda nani?
Mimi Binafsi nimejikuta nampenda sana mama yangu kwani aliyonitendea ni makubwa sana, ni stori ndefu haimanishi
baba hayupo, hapana yupo na wanaishi wote na wanaelewana na ndoa yao ni ya miaka mingi. Lakini katika maisha
yangu mama amekuwa nguzo kuu na amekuwa na upendo ambao sijawahi kuuona popote pale, kwani nikipata shida
mama yangu lazima augue, '' mwaka 2003 nilikosa ada ya sekondari, nilimkuta mama analia sana, nikamwuliza mama
imekuwaje? akasema Mwanangu nimekosa pesa hata ya nauli ya kwendea shule, Mungu alivyo mwema nilikuwa
tayari nimeshafanya vibarua kwa masista wakawa wamenisupport, nilipomwambia ninayo daah! akafuta machozi"
....yapo mengi aliyoyafanya mama juu yangu, so mpaka sasa nampenda sana mama kuliko hata baba na siku zote
namkumbuka sana mama kuliko baba", SO I LOVE MY MUM than MY DAD, WEWE JE?
Hapa nakufundisha nini?
Katika maisha jaribu kuwajibika hususani ukiwa man ili uweze kuweka alama ktk familia yako, alama ya upendo,
alama ya kuheshimika na kuthaminika, tusiwaachie wanawake majukumu ya familia, aibu itakuja uzeeni pindi watoto wakifanikiwa, Si mnamwona Diamond na Baba yake? Marehemu Kanumba(R.I.P the great) na Baba yake?
MUNGU AWABARIKI WOTE, ASUBUHI NJEMA
Ampendaye adui yake huyo ndiye mwenye upendo wa kweli kinyume chake mnajifunza kupenda.
we usifikiri kuwa baba yako alikuwa haumii pindi akishindwa kutatua matatizo yako ww, wazazi wote huwa wanaumia pindi watakaposhindwa kutimiza wajibu wao katika familia sema wazazi wakiume huwa hawaonyeshi hisia zao wazi kama kulilia ila kwa wazazi wakike huwa wanashindwa kuzui hisia zao ndipo hapo utakapomuona mama wa muhimu kuliko baba, japokuwa baba na yeye anaumia kama mama au zaidi ya mama.
Mi nawapenda wazazi wangu wote.
hapana sijakopi mtu wangu, kawaida huwa nakuwa creative, yani kukopi na kupaste unalemaza ubongo! wewe si unaona wengi wamefunguka nduguIli swali limekaa kifesibuku zaidi, peleka kunakohusika.
we usifikiri kuwa baba yako alikuwa haumii pindi akishindwa kutatua matatizo yako ww, wazazi wote huwa wanaumia pindi watakaposhindwa kutimiza wajibu wao katika familia sema wazazi wakiume huwa hawaonyeshi hisia zao wazi kama kulilia ila kwa wazazi wakike huwa wanashindwa kuzui hisia zao ndipo hapo utakapomuona mama wa muhimu kuliko baba, japokuwa baba na yeye anaumia kama mama au zaidi ya mama.
Mi nawapenda wazazi wangu wote.
Nyama na ugali mi napenda mboga majani.