Madeni Shamte Kipande Akaimu Ukurugenzi mkuu TPA

Nawashangaa sana mleta mada pamoja na Dr. Mwakyembe. Hapo mmeingia choo cha kike cha JK kinachonuka udini na ukabila bila kuangalia tija. MITANZANA NDIVYO TULIVYO.

Ebu jiulize huyo kipande vipi habari ya mizani? Vipi habari za road safety? Mbona hatuambiwi hapo Wizara ya ujenzi alikuwa nani na anafanya nini? Kama alikuwa benchi ni kwa nini? Ana stadi zipi za kuongoza bandari hata kwa saa moja tu?

Sasa suluhisho lako ni lipi?
 
Sasa suluhisho lako ni lipi?

Swali zuri. Kwanza tuondoe shaka kuwa serikali imeshindwa katika kusimamia mashirika hasa ya sekta ya uchukuzi. Kwa mimi mtaalamu mzoefu ipo sababu moja tu. Serikali imejisalimisha kwa wafanyi biashara kwenye sekta uchukuzi, kifo cha reli kwa sababu ya wenye malori, bandari; kifo cha ATCL kwa sababu ya Kenya Airways na Precison. Wanaotumika kuua ni vingozi wa kuchaguliwa wanaowachagua wakuu wa mashirika hayo kwa maslahi ya wafanya biashara. Kumbuka uchaguzi wa mawaziri, makatibu wakuu ni mkakati wa wafanya biashara kuidhibiti serikali kwa maslahi yao.

Suluhu Uongozi wa kisiasa uondoke madarakani upishe uongozi makini wa kuinusuru nchi.

Mwakyembe pamoja na yote anacheza ngoma ya wafanyabiashara wanaofanyia biashara Ikulu. NILIKWISHASEMA AWALI SERIKALI NI ZAIDI YA KUHESHIMU TAALUMA. Unamleta Dr. wa sheria kwenye uchukuzi unategemea awe na uelewa na afanye maamuzi muafaka. Haya, kamchukua Kipande a complete failure kwa sababu ya kukanganyikiwa na fitina, uchochezi wake na misifa ya kuwa na nasaba na Kikwete. Mgawe alichaguliwa kwa hila na akina Maua Daftari a sasa ametoka kwa hila. Kwa nini tunaendelea kufanya makosa kama haya kila wakati, ni kwa sababu watu wameingia madarakani kimaslahi na sisi wananchi tumewaingiza na hatuwaulizi kwa sababu wanavuna uwekezaji wao kwenye ujinga na umaskini wetu.

Kama mnataka tuljadilli hili kwa kina twende Duru za Siasa
 
Mkuu hapo kwenye red, nadhani hasira zimekufanya ukosee kutype japo bora ulivyokosea maana ungepatia ungekuwa umetudhalilisha Watanzania wote including you.

Wote tunajua kuwa tatizo la nchi yetu sio watu bali ni mfumo. kuna watu wazuri sana kwenye utendaji na waadilifu ila mfumo unawanyima nafasi ya kutenda mema.

La muhimu ni kukusanya nguvu zetu hapo 2015 ili tubadili mfumo kwa pamoja ili nchi isonge mbele. Kwa sasa ni kuvumilia maumivu tu na serikali hii ya kijambazi. Japo kwenye ujambazi kuna wale wenye roho ya woga kidogo ndo wakina Mwakyembe na wengine wachache.

Ni bora tuwaunge mkono kwa mda uliobaki angalau kama watu walipanga kula 100% basi wale 45% tu.

2015 ndo habari yenyewe japo watanzania tunapenda kulalamika bila kuchukua hatua.
KWA MSAADA WA WATU WA TANGANYIKA, MABADILIKO NA MAENDELEO YA KWELI YANAWEZEKANA. IT BEGINS WITH YOU.

Nakupongeza kwa uelewa wako pia NAKUHAKIKISHIA 2015 sifanyi kosa
 
Eng. Kipande.... Tangu apewe TPA masaa aliyokaa ofisini na kupitia nyaraka muhimu yanahesabika.
 
Swali zuri. Kwanza tuondoe shaka kuwa serikali imeshindwa katika kusimamia mashirika hasa ya sekta ya uchukuzi. Kwa mimi mtaalamu mzoefu ipo sababu moja tu. Serikali imejisalimisha kwa wafanyi biashara kwenye sekta uchukuzi, kifo cha reli kwa sababu ya wenye malori, bandari; kifo cha ATCL kwa sababu ya Kenya Airways na Precison. Wanaotumika kuua ni vingozi wa kuchaguliwa wanaowachagua wakuu wa mashirika hayo kwa maslahi ya wafanya biashara. Kumbuka uchaguzi wa mawaziri, makatibu wakuu ni mkakati wa wafanya biashara kuidhibiti serikali kwa maslahi yao.

Suluhu Uongozi wa kisiasa uondoke madarakani upishe uongozi makini wa kuinusuru nchi.

Mwakyembe pamoja na yote anacheza ngoma ya wafanyabiashara wanaofanyia biashara Ikulu. NILIKWISHASEMA AWALI SERIKALI NI ZAIDI YA KUHESHIMU TAALUMA. Unamleta Dr. wa sheria kwenye uchukuzi unategemea awe na uelewa na afanye maamuzi muafaka. Haya, kamchukua Kipande a complete failure kwa sababu ya kukanganyikiwa na fitina, uchochezi wake na misifa ya kuwa na nasaba na Kikwete. Mgawe alichaguliwa kwa hila na akina Maua Daftari a sasa ametoka kwa hila. Kwa nini tunaendelea kufanya makosa kama haya kila wakati, ni kwa sababu watu wameingia madarakani kimaslahi na sisi wananchi tumewaingiza na hatuwaulizi kwa sababu wanavuna uwekezaji wao kwenye ujinga na umaskini wetu.

Kama mnataka tuljadilli hili kwa kina twende Duru za Siasa

Sizani kama ni lazima uwe wa fani husika ili kuiongoza wizara fulani Mf Kawambwa ni mwalimu wizara ya elimu inamshinda,Mwinyi ni Daktari ona hii wizara inavyoendeshwa,Uongozi ni zaidi ya fani uliyoisomea unaweza nijibu nyerere alisomea wapi URAISI but he was an excellent leader ata Sokoine
 
Sikujibu kama unavyotaka kwa sababu sina sababu ya kukujibu kwa kulingana na mchango wako kama ulivyokusudia. Pia ikumbukwe ndiyo taratibu mliojengewa na watawala/CCM kutokujali taaluma.
 
Hapana mkuu nadhani hukumuelewa Njowepo alipotoa hio mifano. Nafikiri tujikite kwenye point yake kuwa uongozi ni zaidi ya fani kwa maana unaweza kuwa sio fani yako lakini ukawa ni hivyo vihezo vingine zaidi vya zaidi ya fani. Nafikiri weledi na utaifa unaweza kutoa kiongozi bora!
 
Sikujibu kama unavyotaka kwa sababu sina sababu ya kukujibu kwa kulingana na mchango wako kama ulivyokusudia. Pia ikumbukwe ndiyo taratibu mliojengewa na watawala/CCM kutokujali taaluma.
Weka hoja plus mifano usitumie jazba!
To me waziri n political figure tuu pale ila watendaji ndo angalau wanatakiwa kuwa wataalamu wa fani inayoenana na iyo wizara.
 
Sikujibu kwa hoja maana natumia jazba
 
Back
Top Bottom